Posts

Showing posts from June, 2023

MANENO MAPYA YA KUTUMIA WAKATI UNATONGOZA

Image
  Ili uweze kumpata kirahisi mwanamke unayemtaka unatakiwa kujifunza mbinu mpya za kutongoza. Wengi wanashindwa kuwapata watoto wanaowapenda kwa sababu ya kutumia maneno ya kawaida au ambayo yamepitwa na wakati. Hivyo ili uweze kumpata mwanamke unayempenda kwa dhati basi unatakiwa kujifunza kutumia maneno yafuatayo; 1. Nipe makinikia ya moyo wako. 2. Naahidi kulipa mirahaba yako na kodi zote za mapenzi. 3. Sitakudanganya kiwango cha madini kilichoko kwenye mchanga wa madini ya mapenzi kama acacia. 4. Please usizuie contena la mchanga wa madini ya penzi langu kwenye bandari ya moyo wako. 5. Usiniundie kamati za marafiki zako kufanya uchunguzi wa makanikia ya upendo wangu. 6. Usinitangaze kuwa naiba utajiri wa mgodi wa moyo wako hadharini mbele ya vyombo vya habari. 7. Nitakuomba ukae kwenye meza ya mazungumzo ili uniruhusu kuchimba sukari ya moyo wako. 8. Usiwahusishe viongozi wastaafu ma X wako katika katika ombi langu sababu wengine watakuwa walikusainisha mikataba mibovu ikakuumi...

Habari kubwa kimataifa Leo jioni Juni 26/2023

Image
  Jioni katika Dunia Yetu: 👉Licha ya ikulu ya Urusi, Kremlin, kusema hakungekuwa na mashtaka dhidi ya kiongozi wa kundi la kijeshi la Wagner (pichani) na wapiganaji wake, duru kutoka nchini humo zinasema uchunguzi wa uhalifu dhidi ya kiongozi wake Yevgeny Prigozhin bado unaendelea. Prigozhin alielezwa kwenda uhamishoni nchini Belarus kufuatia upatanishi wa rais wa nchi hiyo Alexander Lukashenko. Ripoti zinasema Prigozhin ameonekana mjini Minsk, ambao ndiyo mji mkuu wa Belarus. 👉Suala la uasi wa kundi la mamluki la Urusi la Wagner linatarajiwa kutawala ajenda kwenye mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya unaofanyika leo nchini Luxemburg. Kando na kadhia ya vita vya Ukraine, mkutano huo pia utajadili jinsi ya kushughulikia mizozo inayotokea ndani ya Umoja huo. 👉Wapiganaji wa kundi la jihadi la Al-Shaab wameripotiwa kuwauwa raia watano, baadhi kwa kuwakata vichwa mashariki mwa Kenya kwa mujibu wa mashuhuda na duru za Polisi. Je, kundi hili linapata wapi tena nguvu za...

Não há sobreviventes no submarino desaparecido em busca do Titanic – OceanGate ‼️

Image
As cinco pessoas que se encontravam a bordo do submersível  desaparecido "Titan" morreram num evento classificado como "uma implosão catastrófica", confirmaram fontes oficiais, pondo assim fim à busca maciça da embarcação que se perdeu durante uma viagem submarina para observação dos destroços do navio "Titanic", naufragado no início do século, em 1912. A Guarda Costeira norte-americana, apoiada por vários aviões e navios, intensificou hoje as buscas para tentar retirar os cinco tripulantes no dia em que se esgotaram as 96 horas – o tempo estimado para manter o oxigénio para os cinco tripulantes do Titan.  A empresa OceanGate Expeditions é a única que possui o submarino chamado capaz de chegar ao fundo do oceano para ver de perto os destroços do "Titanic" - o lendário navio, que já foi tema de um filme de mesmo nome. Assista aqui como é estar no interior do submarino Titan  https://www.facebook.com/reel/975931080492061 Fonte: DW com agências

KIJANA ALIYELALA MZIMA NA KUAMKA KIPOFU ASIMULIA MAZITO

Image
  KIJANA anayejulikana kwa jina la Alphaxad Robert amesimulia mkasa wa maisha yake baada ya kupofuka macho alipokuwa na umri wa miaka 11. Alpha anasema siku moja ya Ijumaa asubuhi aliamka lakini aligundua kuwa alikuwa hawezi kuona kitu chochote ambapo aliamua kuwataarifu wazazi wake na wakaanza jitihada za kumtibia sehemu tofauti tofauti ikiwa ni hospitali pamoja na kwa waganga. Ilimchukua miaka 4 kutibiwa lakini hakufanikiwa kupona na amekuwa kipofu mpaka leo na mambo yake yanaenda vizuri, kwani tatizo lake la macho halikumfanya akate tamaa. Video Credit : GP

Jinsi ya kuondoa rangi nyeusi kwapani

Image
WEUSI makwapani ni mabadiliko ya ngozi yanayotokea na hufanya watu wengi wasiwe na starehe wakivaa nguo za wazi mbele za wenzao. Hali hii husababishwa na kunyoa mara kwa mara, seli zilizokufa, mtu anapotumia ‘ deodorant ’ yenye pombe inayobadili rangi, matumizi ya  creams  za kunyolea (kupakwa makwapani), kikwapa (yaani jasho la kwapani), kuvaa nzuo nyingi au nzito, na mwili kukosa hewa vizuri. Vipo vitu vya asili unavyoweza kutumia kumaliza kabisa hali hii  Unaweza ukatoa weusi huo kwa kutumia vitu ambavyo havina kemikali (au visivyo na kemikali zenye athari hasi) kama vile; Limau Chukua limau au ndimu na ukate vipande vya mduara. Kwa vipande hivi paka sukari au asali juu yavyo na kisha chukua hivyo vipande ujipake makwapani mara mbili kwa siku. Wakati unapaka unashauriwa uache kwa dakika 10 kabla ya kuoga. Baadaye osha kwa maji ya fufutende (luke warm). Limau inatumika kama ‘bleach’ kutoa hiyo rangi na kutoa seli zilizokufa kwenye hiyo ngozi ya kwapani. Hamira (Baking s...

Universidade Eduardo Mondlane Moçambique | mestrados na uem 2023/2024 Pdf

Image
universidadessA Universidade Eduardo Mondlane é a maior e mais antiga universidade de Moçambique. A UEM está localizada em Maputo e tem cerca de 30.000 alunos matriculados. Todos os alunos da Universidade Eduardo Mondlane são a tempo inteiro, alunos de contacto, não existindo alunos a distância ou a tempo parcial. Universidade Eduardo Mondlane  Moçambique | mestrados na uem 2023/2024 Pdf  Nota Histórica A Universidade Eduardo Mondlane (UEM)   é uma instituição pública de âmbito nacional, a mais antiga instituição de ensino superior em Moçambique. Foi fundada no dia   21 de Agosto de 1962,   pelo Decreto-Lei nº. 44530, sob a designação de Estudos Gerais Universitários de Moçambique. Em 1968, ascendeu à categoria de Universidade, sendo então designada por Universidade de Lourenço Marques. A 1 de Maio de 1976, o Presidente Samora Moisés Machel atribuiu a esta Instituição o nome de Universidade Eduardo Mondlane, em homenagem ao relevante papel histórico representad...

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA WA SHERIA DARAJA LA II - MDA's NA LGA's 13-06-2023

Image
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji kazi wote walioomba kazi kwa nafasi ya Afisa wa  Sheria Daraja la Pili (Legal Officer II) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 14 - 15/06/2023 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- i. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. ii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask) iii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; iv. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria. v. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,ki...

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI AJIRA MPYA 2023

Image
    Serikali imetengaza majina ya WALIOITWA KWENYE USAILI wa AJIRA mpya 2023 katika nafasi mbalimbali za AJIRA zilizotolewa mapema mwaka huu 2023. SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA JA.9/259/01/A/312 04/06/2023 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Kituo cha Kimataifa  cha Mikutano Arusha (AICC), Local Government Training Institute ( LGTI), Shirika la Elimu  Kibaha (KEC), National Institute of Transport (NIT), OFISI YA WAZIRI, Tanzania Library  Services Board ( TLSB), Tengeru Institute of Community Development (TICD), Taasisi ya  Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Shirika la Reli Tanzania  ( TRC), Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Water Institute, Bodi ya Filamu  Tanzania, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu  Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe...

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2023/2024

Image
  Tamisemi form five selection 2023/24 | majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga formfive 2023 KIDATO CHA TANO 2023/2024 In this Blog Post you’ll Check Selection za Form Five 2023,Form Five Selection, Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2023/2024 Names Selected to Join Form Five, TAMISEMI Form Five Selection 2023 – Waliochaguliwa kidato cha Tano Downlod PDF,Form Five Selection 2023 – Waliochaguliwa kidato Cha Tano,Form Five Selection 2022 / 2023,Tamisemi form five selection 2023,Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo 2023   BOFYA >>HAPA>> KUONA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO  Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2023/2024 Names Selected to Join Form Five   Table of Contents TAMISEMI Form Five Selection 2023 – Waliochaguliwa kidato cha Tano Downlod PDF How to check TAMISEMI Form Five Selection 2023 online When will Form Five Selection 2023 Release? tamisemi selection 2023 kidato cha tano na vyuo How ...

USAJILI SIMBA : BALEKE KWENDA ULAYA?

Image
  Jean Baleke UONGOZI unaomsimamia Jean Baleke umeweka wazi kuwa umepokea ofa kutoka kwa timu nyingi zikiwemo zinazocheza katika ligi mbalimbali barani Ulaya. Jean Baleke ambaye anakipiga katika klabu ya Simba kwa mkopo akitokea TP Mazembe amekuwa akifanya vyema ndani ya Simba tangu atue amefunga mabao nane katika mechi nane alizocheza kwenye ligi jambo ambalo mashabiki wengi wamekubali uwezo wake. Akizungumza na Championi Jumatano, Faustino Mkandila ambaye ni moja kati ya wasimamizi waliomleta Simba mchezaji huyo ameweka wazi kuwa juu ya timu kutoka Ulaya zikiwa zinamhitaji mchezaji huyo kupitia dirisha kubwa jambo ambalo lazima Simba wafanye kazi kubwa kumbakisha mshambuliaji huyo. “Baleke yupo Simba kwa mkopo hivyo Simba wanatakiwa kufanya kazi kubwa sana kumbakisha Baleke kutokana na timu nyingi kumnyatia haswa kutoka Afrika na Ulaya. “Tayari timu nyingi zimeleta ofa ya kumhitaji Baleke hadi timu kutoka ligi za Ulaya wameonekana kuvutiwa na uwezo ambao ameuonyesha hivyo kuna ka...

VENCEDOR DO PRÉMIO DIÁRIO DA CAMPANHA AVIATOR

O Senhor Cláudio José Manuel da Província de Tete venceu o prémio diário de 2.500MT depois de apostar com o valor de 305MT e com o multiplicador de 10.48 no AVIATOR. Faça como ele aposte mais e mais no AVIATOR e ganhe prémios diários em dinheiro e uma Moto 0 KM semanalmente. Parabéns senhor Cláudio José Manuel🎊🎉🎊 CLIQUE>>AQUI >> Na Betika todos ganham. Para apostar acesse: ➡ betika.co.mz Digite *416# Termos e condições: https://betika.co.mz/terms-mz-pt.html Linha de apoio ao cliente: 852000401 / 852000403 #Betika #Moçambique #PodeApostar

Bunge laridhia ushirikiano na Dpword sekta ya bandari tanzania

Image
  Bunge limepitisha mkataba kuhusu Ushirikiano wa #Tanzania na Kampuni ya #Dubai ya #DPWorld katika Uendeshaji, Uendelezaji na Uboreshaji wa baadhi ya Bandari zote za Baharini na Maziwa zilizopo Tanzania Bara, ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam Mkataba huo uliibua maswali kutoka kwa Wananchi ikiwemo thamani na muda wa utekelezaji, pia sababu za Tanzania kuingia mkataba na kampuni inayotajwa katika kesi za ukwepaji kodi, migogoro katika utekelezaji mikataba iliyosababisha baadhi ya nchi kuvunja mikataba ______

Formfive selections 2023/2024 Kilimanjaro Region , waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kutoka mkoa Wa Kilimanjaro shule zote

Image
  OFISI YA RAIS - TAMISEMI UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2023 BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 yametolewa rasmi leo ambapo Orodha hiyo imejumuisha wanafunzi wote waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi CHAGUA MKOA ULIKOSOMA ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA GEITA IRINGA KAGERA KATAVI KIGOMA KILIMANJARO LINDI MANYARA MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA NJOMBE PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SIMIYU SINGIDA SONGWE TABORA TANGA