Posts

Showing posts with the label Omary Nondo

BABA, NIMEPOKEA TAARIFA ZA KUPOTEA KWA NONDO

Image
Baba Mzazi wa Abdul Nondo (Aliyepo Pichani) asema amezipokea taarifa za mtoto wake kupotea,  aonyeshwa kusikitishwa asisitiza kuwa anungana na ndugu zake kuendelea kumtafuta mtoto wake. Asubuhi ya leo mwanafunzi mwenzetu wa chuo kikuu cha DSM comrade Abdallah Mtonda amefika nyimbani ujiji huko Kigoma kwa baba yake kumzazi ili kujua kama ana taarifa za mtoto wake Abudl kupotea. Abdalah Mtonda anaeleza kuwa baba yake ameweka wazi kuwa ni kweli amepewa taarifa za mtoto wake kupotea. Niliombe jeshi la polisi lifanye kazi ya kulinda raia na mali zake..... Inashangazwa sana watu kila uchwao wanapotea, wanateswa na hata kuuawa na jeshi la polisi lipo. Ikumbukwe kuwa Abdul Nondo amepotea akiwa jijini DSM usiku wa jana. Taarifa zinaelezwa kuwa mama yake mzazi yupo DSM muda huu analia kwa majonzi makubwa kufuatia kupotea/kutekwa kwa  mtoto wake  (anasimulia  Abdalah Mtonda). #Pichani Abdalah Mtonda asubuhi ya leo alivyoenda nyumbani kwa Baba wa Abdul ili kuj...

SABABU KUU 3 KWANINI MGOMBEA WA CCM SIHA ,GODWIN MOLLEL HATOSHINDA UCHAGUZI LABDA NGUVU ITUMIKE*

Image
Na *Abdul Nondo* Uchambuzi mfupi kwanini Godwin Mollel hatoshinda jimbo la Siha,isipokuwa kwa  nguvu na udanganyifu (election rigging) Tuelewane kwa kitaalamu kabisa,kisayansi ya siasa kuna aina tatu zinazotumiwa na wananchi kupiga kura. 1. *party Identification model* hii ni aina ambayo mpiga kura humpigia mgombea wake sababu tuu,ni mgombea wa chama chake hivyo lazima ampigie.Tuelewe kuwa mkoa wa Kilimanjaro sio ngome ya CCM ,ile ni ngome ya Chadema ikiambatana na arusha hizi ni ngome za Chadema hivyo,watu ambao watampigia moleleli kwa misingi ya Chama cha CCM sio wengi,hivyo wengi sababu ni wanachama wa Chadema watampigia Elvis Christopher Mosi sababu ya misingi ya uchama kuwa ni kutoka chama chao.hivyo kwa sababu hii MOLLELI hana nafasi ya ushindi kwa kigezo hiki.sababu wanachama wa chadema Kilimanjaro na Siha,hadi maeneo ya Soweto,Longuo  kwa ujumla Chadema ni wengi zaidi ya CCM,pia tukumbuke hao hao CCM ambao ni wachache bado hawakubaliani na wamechafukwa n...