MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE 2022/2023
MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA NNE 2022/2023| Necta examination results 2022

Matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022/2024 yametangazwa na baraza la mitihani Tanzania NECTA EXAMINATION RESULT 2022 (NECTA).


Kuona Matokeo ya kidato Cha nne 2022/203 BOFYA >>HAPA>>

Maudhui (form four examination Results 2022/2023)

1.0 Historia ya Baraza la mitihani Tanzania


    1.1 Tovuti ya NECTA kuangalia matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022/2023

2. Matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022


3.0 Matokeo ya mitihani kidato cha nne 2022/23

    3.1 Matokeo ya kidato Cha nne mikoa yote 

      3.2. Matokeo ya mitihani kidato Cha nne wilaya zote.

4. Jinsi ya kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022)2023

   4.1 Kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 Kwa njia ya SMS

5. Maswali na majibu kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 (FAQ)  form four examination results 2022

6. Jinsi ya kuwasiliana na NECTA , kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022

Historia ya Baraza la mitihani Necta 

Baraza la mitihani Necta ndilo lenye dhamana ya kutangaza matokeo ya kidato Cha nne 2022
Baada ya Tanzania Bara kujitoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki, mwaka 1971 na kabla ya NECTA kuanzishwa kwa Sheria, mwaka 1973, Sehemu ya Mitaala na Mitihani ya Wizara ya Elimu ndiyo iliyohusika na mitihani yote. Kwa kuanzishwa kwa NECTA, Mitihani ikawa jukumu lake kwa mujibu wa sheria. Mtaala huo uliendelea kuwa chini ya Wizara ya Elimu na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi ulipochukuliwa na Taasisi mpya ya Ukuzaji Mitaala (ICD) iliyoanzishwa mwaka 1975, ambayo mwaka 1993 ilibadilishwa jina na kuitwa Taasisi ya Tanzania. Elimu (TIE).

Kati ya mwaka 1972 na 1976 watumishi wa kwanza wa NECTA waliajiriwa, miongoni mwao ni Bw. P. P. Watumishi wengine waliendelea kuajiriwa na hasa wakati majengo ya NECTA yalipohama kutoka Makao Makuu ya Wizara ya Elimu hadi eneo la sasa la Kijitonyama karibu na Mwenge. Kwa sasa idadi ya watumishi wa NECTA ni zaidi ya 250.

Kuanzishwa kwa NECTA
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ni Taasisi ya Serikali ambayo ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 21 ya mwaka 1973. NECTA ndiyo yenye dhamana ya kusimamia Mitihani yote ya Taifa Tanzania.

Uamuzi wa kuanzisha NECTA ulikuwa ni ufuatiliaji wa hatua ya awali, Aprili 1971, wakati Tanzania Bara ilijiondoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki (EAEC) na kufanya mitihani yake mwenyewe. Zanzibar ilijiondoa katika EAEC mwaka 1970. Kabla ya kujiondoa, kati ya 1968 na 1971, Tanzania ilifanya Mitihani ya Shule za Sekondari za kigeni iliyofanywa kwa pamoja na Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambayo kabla ya hapo ilikuwa ikifanywa na Baraza la Mitihani la Ndani la Cambridge pekee. Mitihani iliyofanywa na Baraza la Mitihani la Cambridge wakati huo ilikuwa Cheti cha Shule na Mitihani ya Cheti cha Shule ya Juu. Mitihani ya Cheti cha Shule ilifanywa na Wanafunzi wa Kiafrika kwa mara ya kwanza mnamo 1947 na ile ya Cheti cha Shule ya Juu mnamo 1960.

1.1 Kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 kupitia tovuti ya NECTA.

Kwanza hakikisha una internet katika kifaa chako, Kisha Ingia mtambo tafutishi wa Google au kitembezi Cha chrome Andika www.necta.go.tz Kisha tafuta matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023

3. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022/2023
kuona matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 Bofya >>HAPA>> kuangalia  matokeo ya kidato Cha nne 2022

3.1 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MIKOA YOTE

 •Matokeo ya mtihani kidato Cha nne 2022/2023 mkoa wa Dar es salaam fungua >>Hapa>>
• Matokeo ya kidato Cha nne 2022/23 mkoa wa Pwani >>Hapa>>
• Matokeo ya  kidato Cha nne 2022/2023 Mkoa wa Mbeya angalia >>Hapa>>
• Matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 mkoa wa Tanga angalia >>Hapa>>
• Matokeo ya kidato Cha nne 2022/23 mkoa wa Iringa angalia >>Hapa>>
• Angalia matokeo ya kidato Cha nne Mikoa wa Kagera >>Hapa>>
• Angalia matokeo ya mtihani kidato Cha nne Mikoa wa Kilimanjaro >>Hapa>>
MAtokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 mikoa ya Katavi, njombe, songwe, manyara, Arusha, Singida, shinyanga, Geita, Simiyu, Mwanza, Mtwara, na Kagera angalia >>Hapa>>


4. Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 

Unaweza kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 kwa njia mbili 
 a) kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 kwa njia ya kutembelea tovuti ya NECTA results Tanzania ambayo ni www.necta.go.tz
b) kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 kwa njia ya SMS Kama ifuatavyoa
 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022/2023 KWA SMS.
1. piga *150*00#
2. Chagua namba 8 . Elimu
3. Chagua namba mbili. NECTA
4. Chagua aina ya huduma . Matokeo ya kidato Cha nne 2022
5. Chagua aina ya mtihani CSEE
6. Andika namba ya mtihani kidato Cha nne 2022, mfano. S. 3335-0709-2022
7. Chagua aina ya malipo ni TSH 100
8. Kamilisha malipo. NB, fanya hivyo baada ya matangazo ya kidato Cha nne 2022/2023 kutangazwa.

5. Maswali na majibu kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 (FAQ)  form four examination results 2022

Swali , QN , ni link matokeo ya kidato Cha nne  2022 yatatangazwa na baraza la mitihani NECTA

JIBU, and
Matokeo ya mitihani kidato Cha nne kwa wanafunzi walilofanya mitihani yao November 2022 yanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni endelea kutembelea tovuti ya NECTA www.necta.go.tz

Swali. Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato cha nne 2022/2023


Jibu 
Kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 unaweza kuangalia kupita tovuti au kwa njia ya SMS

Swali, je ufaulu wa mitihani kidato Cha nne 2022/2023 

Jibu

MwanafunI huhesabika kufaulu mtihai endapo amepata Kati ya alama A Hadi D katika somo na kupata Division 1 Hadi division 4 kumbuka hivi sio vigezo vya kuchaguliwa kwenda kidato Cha tano 2022, kidato Cha tano huchukuliwa kwa wenye ufaulu Kati ya daraja la kwanza Hadi la tatu. 


6. Jinsi ya kuwasiliana na NECTA, kuhusu matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022, unaweza kuwasiliana na Baraza la mitihani Necta kwa kupitia MAWASILIANO ya simu 
0222700493
Au barua Pepe info@necta.go.tz

Hitimisho
Hakikisha unakumbuka kituo chako Cha mtihani na namba yako ya mtihani ili iwe rahisi kuangalia matokeo ya mtihani kidato Cha nne 2022/2023 pindi yatakapotangazwa hivi karibuni