Posts

Showing posts with the label Semantiki na pragmatiki

Maana ya Vikoa vya Maana

mashele Swahili info.masshele@gmail.com www.masshele.blogspot.com Dhana ya vikoa vya maana Vikoa vya maana ninini? Umuhimu wa vikoa vya maana Sifa za vikoa vya maana Marejeleo kuhusu vikoa vya maana Vikoa vya maana PDF. Utangulizi Swali hili limegawanyika katika sehemu tatu, utangulizi, kiini na hitimisho. Utangulizi unajumuisha ufafanuzi wa nadharia ya vikoa vya maana, fasili mbalimbali ya vikoa vya maana pamoja na maelezo mafupi kuhusu vikoa vya maana pamoja na sifa za vikoa vya maana, katika kiini maelezo kuhusu umuhimu wa vikoa vya maana na mwisho ni hitimisho la swali. Nadharia ya vikoa vya maana imeasisiwa na Mjerumani Jost Strier (1930) akiegemea katika msingi wa kusema kuwa kuna maneno yanayofanana yanaweza kuwekwa pamoja. Mawazo haya ya Strier, Lyons (1970) anadai kuwa hayakuwa mawazo ya Strier bali yalikuwa ni ya Mjerumani mwenzake Von Hambolt. Wataalamu wengine waliokubaliana na mawazo ya Strier ni pamoja na Idsen, Jolls pamoja na Gao na Xu (2013). Hivyo ...