Posts

Showing posts with the label MATOKEO

HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024

Image
  Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la Saba  hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>>HAPA>> AU FUNGU MKOA HUSIKA HAPA CHINI NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2024 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU SONGWE

Hii hapa mikoa 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kitaifa. Dar es Salaan yatoa halmashauri nne 10 bora kitaifa. Dar es Salaam.  Kama bado unajiuliza ni mkoa gani ambao umefunika katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2021, basi fahamu kuwa mkoa huo ni Dar es Salaam ambao wanafunzi wake wamefaulu kwa asilimia 97. Katika matokeo ya mtihani huo uliofanyika Septemba 2021, Dar es Salaam imeungana na mikoa mingine tisa kuunda orodha ya mikoa 10 bora iliyofanya vizuri kitaifa.  Katibu Mtendaji wa Baraza la Mtihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 30 jijini Dar es Salaam amesema watahiniwa 1,108,023 sawa na asilimia 97.87 ya waliosajiliwa walifanya mtihani huo. Watahiniwa 907,820 kati ya 1,107,460 waliofanya mtihani huo wamefaulu sawa na asilimia 81.97. Dk Msonde amesema Mkoa wa...

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022 SHULE ZOTE PDF| Formsix NECTA examination results

Image
  Matokeo ya kidato Cha Sita 2022 FORM SIX NECTA EXAMINATION RESULTS 2022 KUHUSU NECTA KIDATO CHA SITA 2022 NECTA ni Baraza la mitihani la taifa lililoanzishwa kwa sheria ya bunge na 21 ya mwaka 1973 likiwa na jukumu ya kusimamia mitihani yote ya Taifa, ikiwemo mtihani wa Taifa darasa la nne, mtihani ya Taifa darasa la Saba, mtihani wa Taifa kidato Cha pili, mtihani wa Taifa kidato cha nne na mtihani wa Taifa kidato Cha Sita 2022. CONTENTS    1. MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2022 2. ACSEE NECTA FORM SIX EXAMINATION RESULTS 2022 pdf 3.  JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA    3.1 JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KUPITIA TOVUTI YA NECTA  3.2 JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KUPITIA SMS. 4. MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022      4.1 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MIKOA YOTE  4.2 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022 SHULE ZOTE. HITIMISHO 5. REFERENCE      1. MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA ...

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2022

Image
  Muda mfupi ujao majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Na kidato cha kwanza kwa mwaka 2022 yatatangazwa Na kuwekwa hapa. Tembelea mtandao huu Mara kwa Mara ili uyapate yakiwekwa. Au tembelea tovuti ya tamisemi kwa kubofya >> HAPA >> Kuona Video waziri akitangaza << HAPA >> Update  Fungua >>> HAPA >>kuona majina Na shule walizopangiwa wanafunzi wa kidato cha kwanza.

UCHAGUZI WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2022

Image
  Kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Na kidato cha kwanza 2022. Taarifa Na majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Na kidato cha kwanza kutoka Tamisemi Leo.

KUHUSU SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA NA CHA TANO 2021

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kitaifa. Baada ya baraza la mitihani tanzania NECTA, kutangaza matokeo ya kuhitimu kwa darasa la saba  kwa mwaka 2021, wengi wamekuwa wakiuliza ni lini hasa wanafunzi waliofaulu watapangiwa shule, Jibu lililopo kwa sasa ni kuwa baada ya baraza la mitihani kutangaza mabadiliko ya utolewaji wa machaguo  na kuwa machaguo yakidato cha kwanza yatatolewa pamoja na yale ya kidato cha tano, hivyo kwa  darasa la saba kwenda kidato cha kwanza watalazimika kusubiri mpaka matokeo ya kidato cha nne 2021 yatakapotolewa ndipo machaguo hayo  yatolewe kwa pamoja na huweza kuwa kati ya kipindi cha  mwezi wa 12  mwaka huu

393 wafutiwa matokeo ya mtihani

Image
    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 393 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Oktoba 30, 2021, na Katibu Mtendaji wa baraza hilo Dkt. Charles Msonde, na kusema kwamba NECTA imezishauri mamlaka zinazohusika, kuwachukulia hatua kwa mujibu wa kanuni za utumishi na sheria za nchi wale wote waliohusika ama kusababisha kutokea kwa udanganyifu huo. Aidha Dkt. Msonde akizungumzia ufaulu amesema kwamba, idadi ya watahiniwa waliofaulu kwa mwaka 2021 imeongezeka kwa watahiniwa 74, 130 sawa na asilimia 8.89 ikilinganishwa na mwaka 2020, ambapo somo la Kiswahili limeongoza kwa wanafunzi kufaulu huku ufaulu katika somo la English ukishuka na kuwa na asilimia 48.02.

Mara, Dar zaibuka kidedea wanafunzi 10 bora matokeo darasa la saba

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Wanafunzi watano wanatokea shule ya Twiboki ya mkoani Mara. Watano ni wavulana na watano ni wasichana. Orodha nzima imebebwa na mkoa wa Mara na Dar es Salaam.  Dar es Salaam.   Mikoa ya Dar es Salaam na Mara imeibuka kidedea katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2021 baada ya wanafunzi 10 bora waliofanya vizuri kitaifa kutoka katika mikoa hiyo pekee.  Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles Msonde akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 30, 2021 Jijini Dar es Salaam ametaja orodha ya wanafunzi 10 bora kuwa imetoka katika mikoa hiyo miwili tu. Dk Msonde akitaja wanafunzi hao amesema nafasi ya 10 kitaifa  imeenda kwa Jackline Manfred kutoka Shule ya Msingi Masaka ya Jijini Dar es Salaam akifuatiwa na Juliana Shimbala wa Shule ya Msingi ya St Joseph ya Dar es Salaam. Nafasi ya Nane imeenda kwa Rahma Juma k...

Shule 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Orodha hiyo inaongozwa na Shule ya Msingi Graiyaki ya mkoani Mara. Mkoa wa Kagera waingiza shule tatu. Kanda ya ziwa yaongoza kuingiza shule nyingi. Dar es Salaam.   Wakati matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa leo yakipokelewa kwa hisia tofauti, Shule ya Msingi Graiyaki ya mkoani Mara ndiyo imeongoza kitaifa katika matokeo hayo huku Mkoa wa Kagera ukiongoza kuingiza shule nyingi katika orodha ya shule 10 bora kitaifa.  Matokeo hayo ya mtihani huo uliofanyika Septemba mwaka huu yametangazwa leo Oktoba 30, 2021 na Baraza la Mtihani Tanzania (Necta) ambapo ufaulu wa ujumla umeongezeka kwa asilimia 6.6 ndani ya mwaka mmoja. Watahiniwa 907,820 kati ya 1,107,460 waliofanya mtihani huo wamefaulu sawa na asilimia 81.97 ikiwa ni ongezeko la wanafunzi 74,130 ikilinganishwa na mwaka jana. Katibu Mtendaji wa Necta, Dk...

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 MIKOA YOTE

Image
   NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2021 EXAMINATION RESULTS ARUSHA IRINGA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA DAR ES SALAAM RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA KAGERA TANGA MANYARA DODOMA GEITA KATAVI NJOMBE KIGOMA SIMIYU SONGWE