Matokeo ya kidato Cha Sita 2022
Matokeo ya kidato Cha Sita 2022

FORM SIX NECTA EXAMINATION RESULTS 2022

KUHUSU NECTA KIDATO CHA SITA 2022


NECTA ni Baraza la mitihani la taifa lililoanzishwa kwa sheria ya bunge na 21 ya mwaka 1973 likiwa na jukumu ya kusimamia mitihani yote ya Taifa, ikiwemo mtihani wa Taifa darasa la nne, mtihani ya Taifa darasa la Saba, mtihani wa Taifa kidato Cha pili, mtihani wa Taifa kidato cha nne na mtihani wa Taifa kidato Cha Sita 2022.


CONTENTS

   1. MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2022


2. ACSEE NECTA FORM SIX EXAMINATION RESULTS 2022 pdf


3.  JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 

  3.1 JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KUPITIA TOVUTI YA NECTA

 3.2 JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KUPITIA SMS.

4. MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022 

    4.1 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MIKOA YOTE 

4.2 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022 SHULE ZOTE.

HITIMISHO



5. REFERENCE

    

1. MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2022

Matokeo ya mitihani kidato Cha Sita yametangazwa hivi punde , Haya nikwaajili ya wanafunzi waliofanya mtihaniwa kidato Cha Sita 2022. Tembelea mtandao huu Mara kwa Mara ili matokeo ya kidato Cha Sita 2022 yatakapotoka uyaone vile vile unaweza kutembelea tovuti ya NECTA TANZANIA, www.necta.go.tz/matokeo/ya kidato-cha-sita-/2022


2. ACSEE NECTA FORM SIX EXAMINATION RESULTS 2022 pdf

Advance certificate secondary education examination result will be available pdf here soon


3. JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 

Zipo njia kuu mbili ambazo unaweza kuzitumia kuangalia MATOKEO ya kidato Cha Sita 2022 Kama ifuatavyo,

3.1 JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022  KUPITIA TOVUTI YA NECTA, MWANAFUNZI wa kidato Cha Sita 2022 unatakiwa kuwa na kifaa chenye internet kisha fanya yafuatayo 

 I. Fungua browser yako

2. Andika matokeo ya kidato Cha Sita 2022

3 chagua tovuti ya www.necta.go.tz kuona matokeo ya kidato Cha Sita 2022.

  3.2 JINSI YA  KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022 KWA NJIA YA SMS, 

Kwa mujibu wa BARAZA LA MITIHANI (NECTA) ili uweze kuangalia MATOKEO ya kidato Cha Sita 2022 unatakiwa kuwa na salio kuanzia Sh. 100 kwenye muda wa maongezi kisha fanya yafuatayo

1. Piga *152*00#

2.chagua no 8. Elimu

3. Chagua huduma na 2.  NECTA

4. Chagua huduma na 1. MATOKEO

5. Chagua aina ya matumizi  2. ACSEE

6. Andika namba ya mtihani mfano 002-053-2022

7. Baada ya kukamilisha utapokea ujumbe mfupi wa matokeo ya kidato Cha Sita 2022.


4.MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA MIKOA YOTE

matokeo ya kidato Cha Sita 2022 MIKOA YOTE yatapangwa kialfabeti , chagua mkoa husika wilaya na shule kuona Matokeo.



www.necta.go.tz



5. Reference

www.necta.go.tz

www.tamisemi.go.tz

NECTA