Posts

Showing posts with the label Worldwide

Season : BLACK NINJA 1-FINAL imetafsiriwa

Image
Black Ninja ep1 Black Ninja ep2 Black Ninja ep3 Black Ninja ep4 Black Ninja ep5-6 Black Ninja ep7-8 Black Ninja ep9 Black Ninja ep10 Black Ninja ep11 Black Ninja ep12 Black Ninja ep13 Black Ninja ep14 Black Ninja ep15 Black Ninja ep16 Black Ninja ep17 Black Ninja ep18 Black Ninja ep19 Black Ninja ep20 Black Ninja ep21 Black Ninja ep22 Black Ninja ep23 Black Ninja ep24 Black Ninja ep25 Black Ninja ep26 Black Ninja ep27 Black Ninja ep28 Black Ninja ep29

Misimu katika lugha

Image
Masshele kiswahili -Aina za msimu -Sifa za msimu -Umuhimu wa kutumia msimu -Changamoto za kutumia msimu °Misimu au simo ni maneno ambayo kwa kawaida huwa siyo sanifu, yanayozushwa na watumiaji walugha  na baada ya muda mfupi huweza kutoweka ingawa kunamisimu inayodumu kwa muda mrefu na kisha kusanifishwa. Aina za misimu, tunaweza kuigawa kutokana na aina za uundwaji wake a, misimu inayotokana na kubuni maneno mapya kabisa, mfano Nyomi- kujaa watu Nguna- Ugali b, misimu inayotokana na kuunda nahau Mfano Piga pamba Piga mbonji Misimu inayotokana na kuchukua maneno ya lugha nyingine mfano Menyu- chakula Kumaindi- kuchukizwa Laivu- Bila kificho Misimu inayotokana na kuyapa maneno ya kawaida maana mpya Pochi- fedha Kitimoto- nguruwe Kumlalia- kudhulumu Misimu inayotokana na kuoanisha sifa Mfano Mguu wa kuku- bastola Sifa za misimu -Haidumu -Inachumvi nyingi -Ni maneno yasiyosanifu -Hueleweka na watumiaji wa lugha hiyo -Huchukuliwa kama lug...

Kaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri

Image
Wana akiolojia wamefanya ugunduzi usio wa kawaida - kaburi la kasisi mmoja ambayo halijapatikana kwa miaka 4,400. Mostafa Waziri, katibu kwenye baraza linalohusika na maeneo ya kale alitaja ugunduzi huo kama wa aina yake kwa miaka mingi iliyopita. Kaburi hilo ambalo liligunduliwa eneo linalojulikana kama Saqqara pyramid complex mjini Cairo lina sanamu za Firauni. Wana akiolojia wataanza kulichimba kaburi hilo leo na wanatarajia kufanya ugunduzi zaidi baadaye ukiwemo mwili wa aliyezikwa humo.

TANGA RAHA- Sehemu ya Pili ( 2 )

Image
MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA ILIPOISHIA    Rahma alizungumza huku akiwa ameishika bastola yangu huku akijipiga piga nayo mashavuni mwake, nakujikuta nikitoa toa miguno Akautoa ulimi wake na kuanza kuuchezesha juu ya kichwa cha bastola yangu ambayo ina tundu dogo la kutolea risasi zisizo na idadi kamili.Jinsi ulimi wa Rahma unavyo zunguka juu ya kichwa cha bastola yangu kwa ndivyo nilivyo hisi risasi zikitaka kutoka, na kujikuta nikianza kukoroma kama mtu aliye banwa na haja kubwa kwenye choo cha foleni kubwa ENDELEA Rahma akazidisha kasi na kunifanya nitoe miguno mizito ya kimapenzi.Gafla raha zikakata, mithili ya umeme wa tanesco unavyo katika. hii ni kutokana na simu ya Rahma kuita kwa mlio mkubwa kiasi, Akanyanyuka na kwenda kuipoke "Hallow mama" "Nipo kwa rafiki yangu sinto chelewa kurudi" Rahma akaendelea kuzungumza kwa lugha ya kiarabu, ambayo sikuielewa hata neno moja analo lizungumza.Akakata simu na kurudi nilipo "Mama naye" Rahma alizungumza huk...

MWALIMU ATIWA MBARONI KWA MATUSI MTANDAONI

Image
JESHI  la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari  Mkolani, Deogratius Kisandu, akidaiwa kutumia lugha ya matusi, kejeli na kudhalilisha katika ukurasa wake wa Facebook. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, alisema  Kisandu alikamatwa jana baada ya kuwapo taarifa kuhusu kuonekana ujumbe wa matusi na lugha zisizofaa  katika ukurasa  wake ya Facebook. Alisema walimfuatilia mtuhumiwa na kumkamata akiwa na simu yake ambayo huitumia kupeleka na kuandika matusi hayo kinyume na Sheria Namba 4 ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015. “Polisi bado wanaendelea na  na mahojiano na upelelezi dhidi ya mtuhumiwa. Utakapokamilika atafikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria. “Taarifa zinaonyesha kuwa mtuhumiwa amewahi kushtakiwa kwa makosa kama hayo kipindi cha nyuma,” alisema Kamanda Msangi. Kamanda   amewataka  vijana wanaotumia mitandao ya  jamii kuacha k...

FACEBOOK YA WACHONGEA WATU WALIOTUMIANA VIDEO ZA NGONO

Image
Hii inatokana na Facebook kuitaarifu polisi nchini Dernmark kuhusu vijana wapatao 1,004 Si kitu cha ajabu kwa mtandao wa Facebook kutoa taarifa wakati kunapokuwepo na ushahidi wa vitendo vya uhalifu, lakini tukio la hivi karibuni ni tofauti na linaweza kuwa na athari kuliko kawaida. Hii inatokana na Facebook kuitaarifu polisi nchini Dernmark kuhusu vijana wapatao 1,004 (baadhi wakiwa na umri chini ya miaka 18) baada ya kugundua kuwa watumiaji wake wa Messenger walikuwa wakitumiana video zinazoonyesha watoto wawili walio na umri chini ya miaka 15 wakifanya mapenzi, kwa mujibu wa Engadget. Kitendo hicho ni kukiuka sheria inayozuia usambazaji wa picha zisizo za maadili za watoto. Wengi walioshiriki kutuma (kushare) video hiyo walifanya hivyo mara chache, polisi ilisema, lakini wengine walituma mara nyingi. Polisi walisema waliotuma mara nyingi walijua wanafanya nini japokuwa hawakujua kuwa ni kinyume cha sheria. Yeyote atakayepatikana na hatia ataka...

David Luiz to Man United?

Image
Manchester United have reportedly opened transfer talks Chelsea over a January swoop for David Luiz. The Brazilian centre-back has fallen out of favour with the Premier League champions following a row with boss Antonio Conte. He was kept out of the Chelsea side for 12 games before being included against Norwich in the FA Cup draw this weekend. And now, according to Caught Offside, Mourinho has begun talks with the Stamford Bridge club over a move for the former Paris Saint-Germain man. No fee has been agreed yet and it is thought that the recent spat between Mourinho and Conte could put the brakes on any transfer between the clubs.

Three Barcelona stars annoyed at Coutinho’s arrival

Image
Former Liverpool talisman Philippe Coutinho was presented as a Barca player on Monday 8 January after the S panish giants confirmed they were signing the Brazil international on Saturday afternoon in a £142m deal. However, according to Spanish transfer outlet  Don Balon , not everyone in the Nou Camp dressing room is pleased with Coutinho’s arrival. They claim Barca stars Andres Iniesta, Ivan Rakitic and Ousmane Dembele wanted Coutinho to join in the summer instead of this month. The Nou Camp trio do not want to be dropped ahead of the World Cup in Russia at the end of the season.  Don Balon  added that Iniesta and Rakitic have even threatened to quit Barca if their game time is reduced.

See what was trending in 2017 : HIKI NDICHO KILITAFUTWA ZAIDI GOOGLE 2017

Image
Searches Copied to clipboard. 1 Hurricane Irma 2 iPhone 8 3 iPhone X 4 Matt Lauer 5 Meghan Markle 6 13 Reasons Why 7 Tom Petty 8 Fidget Spinner 9 Chester Bennington 10 India National Cricket Team SHOW LESS People Copied to clipboard. 1 Matt Lauer 2 Meghan Markle 3 Nadia Toffa 4 Harvey Weinstein 5 Kevin Spacey 6 Gal Gadot 7 Melania Trump 8 Floyd Mayweather 9 Michael Flynn 10 Philippe Coutinho SHOW LESS Global News Copied to clipboard. 1 Hurricane Irma 2 Bitcoin 3 Las Vegas Shooting 4 North Korea 5 Solar Eclipse 6 Hurricane Harvey 7 Manchester 8 Hurricane Jose 9 Hurricane Maria 10 April the Giraffe SHOW LESS Actors Copied to clipboard. 1 Meghan Markle 2 Kevin Spacey 3 Gal Gadot 4 Louis C.K. ...