Posts

Showing posts with the label BIBLIA

Mungu hapendezwi na sadaka ya mwenye dhambi wala kuyasikia maombi ya Muovu

Image
Karibu mpendwa tujifunze maandiko pamoja kwa siku yaleo. Tutajikita katika Kitabu cha nabii Isaya 1:10-17 10 Lisikieni neno la Bwana, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sharia ya Mungu wetu, Enyi watu wa Gomora  11 huu wingi wa sadaka zenu mnazonitolea unafaida gani? Asema bwana. Nimejaa mafuta yawanyama walionona, nami sifurahii damu ya ng'ombe wala ya mwana-kondoo wala ya mbuzi waume 12 mjapo ili kuonekana mbele zangu, ninani aliyetaka neno hili mikononi mwenu,  kuzikanyaga nyua zangu? 13 msilete matoleo ya ubatili, uvumba ni chukizo kwangu, mwezi mpya na sabato, kuitaka makutano, siyawezi maovu hayo na makutano ya ibada. 10: 15-17 15 Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha  macho yangu nisiwaone,  Sam, hata muombapo maombi mengi sitasikia, mikono yenu imejaa damu 16 jiosheni, jitakaseni, ondoeni uovu wa matendo yenu usiwe mbele za macho yangu, acheni kuenda mabaya 17 jifinzeni kutenda mema, takeni hukumu ya haki, wasaidieni walioonewa, m...

MUNGU ALIYE HAI SIO DHALIMU HATA AISAHAU KAZI YAKO

Image
Lakini, wapenzi, ijapokuwa twanena hayo, katika habari zenu tumesadiki mambo yaliyo mazuri zaidi, na yaliyo na wokovu.  Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia.  Nasi twataka sana kila mmoja wenu aidhihirishe bidii ile ile, kwa utimilifu wa matumaini hata mwisho;  ili msiwe wavivu, bali mkawe wafuasi wa hao wazirithio ahadi kwa imani na uvumilivu. Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapia, aliapa kwa nafsi yake,  akisema, Hakika yangu kubariki nitakubariki, na kuongeza nitakuongeza.  Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi. Maana wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao; na kwao ukomo wa mashindano yote ya maneno ni kiapo, kwa kuyathibitisha.  Katika neno hilo Mungu, akitaka kuwaonyesha zaidi sana warithio ile ahadi, jinsi mashauri yake ...

BWANA TUFUNDISHE KUZIHESABU SIKU ZETU

Image
“BWANA, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote. Kabla ya kuzaliwa milima au hujaumba dunia na ulimwengu, wewe ni Mungu tangu milele hata milele. Huwarudisha watu mavumbini, ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.’’ Kwa maana kwako miaka elfu ni kama siku moja iliyokwisha pita, au kama kesha la usiku. Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi, ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka. Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako. Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za sirini katika nuru ya uwepo wako. Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza. Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, ikiwa tuna nguvu ni miaka themanini, lakini yote ni ya shida na taabu, nayo yapita haraka, nasi twatoweka. Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako, Tufundishe kuzihesabu siku ze...

UFUNUO WA YOHANA

Image
PLAY HII VIDEO MTU WA MUNGU