USHAIRI WA KISWAHILI NA NADHARIA PDF
USHAIRI WA KISWAHILI Nadharia, Maendeleo, Mwongozo kwa Walimu wa Kiswahili na DIWANI YA MEA Method Samwel (PhD) Amina J. Seleman MEVELI PUBLISHERS (MVP) Akech J.Kabiero 2 USHAIRI WA KISWAHILI Nadharia, Maendeleo, Mwongozo kwa Walimu wa Kiswahili na DIWANI YA MEA © MEVELI Publishers & Method Samwel Toleo la kwanza 2013 Kitabu hiki kinapatikana kwa kuwasiliana moja kwa na waandishi au mchapishaji: Dkt. Method Samwel Simu:+255718165528 Baruapepe: method_samwel@yahoo.com Akech Kabiero Simu:+255685046179 Baruapepe: akeckabiero@yahoo.com na akabiero@gmail.com Amina J. Seleman Baruapepe: aminamikina@yahoo.com ISBN: 978-9987-9735-0-7 Haki imehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri, kupiga chapa au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi yoyote ile bila idhini ya mchapishaji na Method Samwel. Hata hivyo, inaruhusiwa kuchukua vipande vifupi vya kitabu hiki kwa minajili ya kufanya marejeo na nukuu au kufanya mapitio. 3 SHUKRANI Tunapenda kutumia fursa hii kuwashukuru watu, taasisi na ma...