Posts

Showing posts with the label Tamisemi

IDADI YA WAALIMU WALIOAJIRIWA

Image
  Kwa upande wa kada za Ualimu, Waombaji wenye sifa waliokidhi vigezo na kupangiwa vituo vya kazi ni 9,800 ambapo jumla ya walimu 5,000 wamepangwa shule za Msingi na walimu 4,800 Shule za sekondari, wakiwemo walimu wenye ulemavu wa shule za Msingi na Sekondari 261. Kati ya Walimu 5,000 wa shule za Msingi wanawake ni 2,353 sawa na asilimia 47.06 na wanaume ni 2,647 sawa na asilimia 52.94. Kwa upande wa walimu 4,800 wa Shule za sekondari wanawake ni 1,289 sawa na asilimia 26.85 na wanaume ni 3,511 sawa na asilimia 73.15.  Aidha, walimu wenye ulemavu 261 wa shule za Msingi na Sekondari walioajiliwa ni sawa na asilimia 2.66 ya walimu wote walioajiliwa wakiwemo wanawake 84 na wanaume 177. Napenda ieleweke pia kuwa, kwa walimu wa sekondari tumetoa ajira za walimu wa sayansi kwa asilimia 76 ya nafasi 4,800 tulizopewa.

TAASISI ZAIDI YA 10 ZIMEHUSISHWA KWENYE UCHAMBUZI

Image
  Ili kufanikisha mchakato wa ajira, Ofisi ya Rais – TAMISEMI iliunda Timu Maalum, ya kufanya Uchambuzi wa Maombi ya Ajira, iliyohusisha Taasisi mbalimbali. Taasisi hizo ni pamoja na Ofisi ya Rais Ikulu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi (NACTVET), Sekretarieti ya Ajira, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), na Mabaraza ya Kitaalamu katika Sekta ya Afya.

HIVI HAPA VIGEZO VILIVYOYUMIKA KUPATA AJIRA ZA TAMISEMI

Image
 VIGEZO VILIVYOTUMIKA i. Mwaka wa kuhitimu Katika kigezo hiki, kipaumbele kimetolewa kwa waombaji wenye sifa waliotangulia kuhitimu kwa mfuatano wa mwaka, kulingana na hitaji la kada/kozi au kiwango cha Elimu, na pia mwaka wa kozi ilivyoanza kutoa wahitimu. ii. Umri wa kuzaliwa Waombaji wenye sifa waliopangwa kwa mujibu kigezo namba (i) hapo juu walipangwa kulingana na umri wa kuzaliwa. Lengo ni kuwawezesha waombaji wenye umri unaokaribia miaka 45 kuingia katika utumishi wa umma kwa masharti ya kudumu, kwa mujibu wa Sera ya Ajira Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma toleo la Pili la mwaka 2008. iii. Waombaji Wenye Ulemavu Uchambuzi wa maombi ya watu wenye Ulemavu ulifuata vigezo vyote vya mwaka wa kuhitimu na umri wa kuzaliwa, vilivyooneshwa kwenye kipengele cha (i) na (ii). Hata hivyo, vigezo hivi vilitumika kuwashindanisha waombaji wenye ulemavu peke yao, kwa kuzingatia takwa la Sheria ya Watu Wenye Ulemavu Na. 9 ya mwaka 2010, kifungu cha 31 (1)-(3). Uchambuzi huu ulifan...

AJIRA MPYA ZA UALIMU PDF 2022

Image
  Waziri wa TAMISEMI mh Innocent Bashungwa ametangaza Leo majina ya waalimu wapya 6000 waliopangiwa vituo vya kazi. WAZIRI AKITANGAZA            MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU 26 June 2022 TANGAZO LA KUITWA KAZINI  TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA ZA AFYA NA UALIMU JUNI, 2022.pdf TANGAZO LA TAARIFA KWA UMMA  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA JUNI 2022.pdf kUONA MAJINA KADA ZA AFYA  BOFYA HAPA   AFYA_AJIRA_JUNI2022.pdf KUONA MAJINA KADA YA ELIMU BOFYA HAPA   ELIMU_AJIRA_JUNI2022_compressed.pdf

12 Job Opportunities at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)

Image
    Job Overview 12 Job Opportunities at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) 12 New Job Vacancies at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS). Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) started as the Dar es salaam medical school in 1963. The school then transformed into the faculty of medicine of the university of Dar es salaam that in 1991 was upgraded and became a college–the Muhimbili University College of Health Sciences (MUCHS). The objectives of the University are the advancement of knowledge, diffusion and extension of technology and learning, the provision of higher education and research and, so far as is consistent with those objectives, the nurturing of the intellectual, aesthetic, social and moral growth of the students at the University. The Global HOPE MUHAS Pediatric Haematology and Oncology Program (Global HOPEMUHAS PHO) is a program that aims at building capacity in Paediatric Ha...