HISTORIA YA ELIMU MITINDO
Muasisi Wa elimu mitindo, Mikabala ya elimu mitindo, Mitazamo ya elimu mitindo. Aldin K. Mutembei Dhana ya Mtindo: Ni nini? Mikabala mbalimbali Elimumitindo kama somo Historia ya Elimumitindo Mchomozo: Ni nini? Ukengeufu Usambamba Ukariri Utangulizi … Elimumitindo ni ufafanuzi na uchambuzi wa ujitokezaji wa mitindo tofauti katika kutumia lugha. – Ndani ya mfumo wa lugha, yale yanayoongelewa yanaweza kuwasilishwa kwa namna tofauti na kwa zaidi ya mtindo Wataalamu wameufafanuaje Mtindo ? MAANA YA MTINDO Kuna namna 4 za kuangalia maana ya mtindo. Mtindo kama Uchaguzi ktk Lugha Mtindo kama ukiukaji wa taratibu za lugha; Mtindo kama ujirudiaji wa muundo wa kiisimu Mtindo kama ulinganishi Mitazamo kadhaa ya MTINDO “Mtindo ni mtu mwenyewe “( Buffon ) “Mtindo ni kina” Darbyshire “Mtindo ni Ukiukaji-Ukengeufu” Enkvist “Mtindo ni matokeo ya mafanikio ya mwandi...