Posts

Showing posts with the label Betting

FROM RUSSIA, STANDING TABLE IN FIFA WORLD CUP, JUNE 28

Image
WORLD CUP - GROUP A # TEAM GP W L PT 1. Uruguay 3 3 0 9 2. Russia 3 2 1 6 3. Saudi Arabia 3 1 2 3 4. Egypt 3 0 3 0 WORLD CUP - GROUP B # TEAM GP W L PT 1. Spain 3 1 0 5 2. Portugal 3 1 0 5 3. Iran 3 1 1 4 4. Morocco 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP C # TEAM GP W L PT 1. France 3 2 0 7 2. Denmark 3 1 0 5 3. Peru 3 1 2 3 4. Australia 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP D # TEAM GP W L PT 1. Croatia 3 3 0 9 2. Argentina 3 1 1 4 3. Nigeria 3 1 2 3 4. Iceland 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP E # TEAM GP W L PT 1. Brazil 3 2 0 7 2. Switzerland 3 1 0 5 3. Serbia 3 1 2 3 4. Costa Rica 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP F # TEAM GP W L PT 1. Sweden 3 2 1 6 2. Mexico 3 2 1 6 3. South Korea 3 1 2 3 4. Germany 3 1 2 3 WORLD CUP - GROUP G # TEAM GP W L PT 1. England 2 2 0 6 2. Belgium 2 2 0 6 3. Tunisia 2 0 2 0 4. Panama 2 0 2 0 WORLD CUP - GROUP H # TEAM GP W L PT 1. Japan 2 1 0 4 2. Senegal 2 1 0 4 ...

KIJANA WA TARIME ASHINDA SH MILIONI 1 YA SOKABET

Image
Kijana wa Tarime aliyejishindia Sh milioni moja kwa kubeti kwa Sh 1,000 tu KAMPUNI ya Sokabet imeendelea kuwaneemesha Watanzania na watu wote ambao wanashiriki katika kubashiri matokeo ambapo kijana wa Tarime amejishindia Sh milioni moja kwa kubeti kwa Sh 1,000 tu. Akizungumza mara baada ya kushinda kiasi hicho, kijana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Chacha Marwa alisema hakutegemea kama angeweza kushinda kiasi hicho kwa kuwa alikuwa akibeti kwa kubahatisha tu. Akizungumza kwa njia ya simu akiwa Tarime mkoani Mara alisema kiasi hicho cha fedha kimemfikia wakati sahihi kwa kuwa amekitumia kuongeza mtaji katika biashara zake ndogondogo na kuahidi kuendelea kubeti mara kwa mara katika Sokabet. “Kwa kweli sijui hata nimeshinda mechi ngapi, mimi natumia simu ya tochi, niliona tu Sokabet katika gazeti la michezo nikaamua kujaribu, nimekuwa nikifanya hivyo tangu Oktoba, mwaka jana lakini sikuwahi kushinda. “Sasa wiki iliyopita ndipo nikabeti ile kubwa wanaiita Jackpot...

SIMBA , YANGA MMEMSIKIA KAPOMBE?

Image
Mchezaji wa simba sc na  Beki mwenye kasi wa Simba na Timu ya taifa ya Tanzania , Shomari Kapombe amewaondoa hofu mashabiki wa timu ya simba  kuwa, wasiogopeshwe na sare dhidi ya Mwadui FC ambapo amesisitiza kuwa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwao bado upo palepale. Kapombe alisema kauli hiyo mara baada ya sare ya mabao 2-2 na Mwadui juzi Alhamisi kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Pamoja na kutoka sare hiyo, Simba imebaki kileleni katika msimamo wa ligi wakiwa na pointi 42 huku Yanga wakifuatiwa wakiwa na pointi 37. Kapombe alisema mashabiki wa Simba wasikatishwe tamaa na matokeo hayo waliyoyapata kwani bado wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu. Kapombe alisema kikubwa ni mashabiki wa timu hiyo waendelee kuisapoti timu hiyo kwa kuendelea kujitokeza uwanjani kwa ajili ya kuwashangilia ili waendelee kupata matokeo mazuri. “Ni ngumu kwa timu kuendelea kupata matokeo mazuri kwenye mechi za ligi, kwani wapinzani wetu nao wana...

Transfer news: Chelsea ready to beat Spurs in January

Image
  Chelsea are leading the race to sign England international Ross Barkley from Everton during the January transfer window. Blues boss Antonio Conte was hoping to bring Barkley to Stamford Bridge last summer and launched a deadline day move to secure his signature. Barkley was interested in the switch but decided to turn Chelsea down as he wanted to regain his fitness before making such a major decision over his future. He is yet to play a game during the 2017-18 campaign and will be out of contract come the summer but Chelsea are nevertheless hoping to finally bring him to west London next month. Tottenham have also been keeping tabs on Barkley but would rather sign him as a free agent, putting Chelsea firmly in the driving seat ahead of the January transfer window. It is claimed both Chelsea and Everton, who have moved into the top-half of the table under Sam Allardyce, hope Barkley’s future is resolved in early January to avoid another saga running through th...

Kikosi cha Simba Vs Ndanda, Djuma afanya mabadiliko makubwa

Image
Kocha Mrundi Masoud Djuma amefanya mabadiliko makubwa katika kikosi cha Simba SC ambacho kitacheza na Ndanda FC katika muendelezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Katika mabadiliko hayo Kocha Djuma amewaanzisha kiungo Mohamed Ibrahim 'MO' pamoja na kinda Paul Bukaba ambaye atacheza katika nafasi ya ulinzi. Aidha Pacha wawili Jonas Mkude pamoja na James Kotei kwa pamoja wameanza huku safu ya ushambuliaji ikipambwa na mkongwe John Bocco pamoja na Juma Luizio. Wanaoanza:  Aishi Manula, Paul Bukaba, Erasto Nyoni, James Kotei, Juuko Murshid, Jonas Mkude , Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, John Bocco, Juma Luizio na Mohamed Ibrahim Akiba : Emanuel Mseja, Hussein Mohamed, Jamal Mwambeleko, Yusuph Mlipili, Said Ndemla, Nicholas Gyan na Moses Kitandu. Mchezo huo unatarajiwa kufanyika katika Dimba la Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

BUKU YA SOKABET YAMPA DENTI WA MZUMBE MILIONI 1

Image
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo mkoani Morogoro, Mlack Ibrahim. MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo mkoani Morogoro, Mlack Ibrahim amefanikiwa kushinda shilingi milioni moja baada ya kubashiri katika kipengele cha Jackpot katika Kampuni ya Sokabet. Ibrahim ambaye ni mwenyeji wa Dar ana sema kuwa kiasi hicho cha fedha amekipata katika muda sahihi kwa kuwa kimekuwa na msaada mkubwa katika masomo yake anayoendelea nayo. Akifafanua ilivyokuwa mshindi huyo ambaye ana umri wa miaka 22 amesema alishiriki kipengele hicho wikiendi iliyopita ambapo mshindi anaweza kupata hadi zaidi ya shilingi milioni 100 ikiwa atapatia matokeo ya michezo 13. “Unajua Jackpot ya Sokabet unatakiwa kupatia michezo 13 lakini kunakuwa na mitatu mingine ya dharura, sasa mimi nilipatia michezo kumi kati ya ile 13 ambayo nilitakiwa kupatia ndiyo nikashinda kiasi hicho cha fedha. “Nimekuwa na kawaida ya kushiriki mara kwa mara na kupata fedha ndogondogo mara kwa mara la...