Posts

Showing posts with the label Kijamii

FACEBOOK YA WACHONGEA WATU WALIOTUMIANA VIDEO ZA NGONO

Image
Hii inatokana na Facebook kuitaarifu polisi nchini Dernmark kuhusu vijana wapatao 1,004 Si kitu cha ajabu kwa mtandao wa Facebook kutoa taarifa wakati kunapokuwepo na ushahidi wa vitendo vya uhalifu, lakini tukio la hivi karibuni ni tofauti na linaweza kuwa na athari kuliko kawaida. Hii inatokana na Facebook kuitaarifu polisi nchini Dernmark kuhusu vijana wapatao 1,004 (baadhi wakiwa na umri chini ya miaka 18) baada ya kugundua kuwa watumiaji wake wa Messenger walikuwa wakitumiana video zinazoonyesha watoto wawili walio na umri chini ya miaka 15 wakifanya mapenzi, kwa mujibu wa Engadget. Kitendo hicho ni kukiuka sheria inayozuia usambazaji wa picha zisizo za maadili za watoto. Wengi walioshiriki kutuma (kushare) video hiyo walifanya hivyo mara chache, polisi ilisema, lakini wengine walituma mara nyingi. Polisi walisema waliotuma mara nyingi walijua wanafanya nini japokuwa hawakujua kuwa ni kinyume cha sheria. Yeyote atakayepatikana na hatia ataka...

Mvua yaua watoto wawili Chato

Image
Chato. Mvua kubwa iliyonyesha katika kijiji cha Mwekako kata ya Kasenga wilayani Chato mkoani Geita imesababisha vifo vya watoto wawili na kuharibu mali. Diwani wa kata ya Kasenga wilayani hapa Damian Vilarie amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kusema mbali na vifo pia   mvua imesababisha uharibufu wa miundombinu ya barabara. Alisema mvua hiyo iliyonyesha kwa masaa matatu jana januar 11 ilisababisha mafuriko yaliyowasomba watoto wawili wa mzee Kurwa waliotoka soko la Igalula kununua bidhaa za nyumbani. Alisema watoto hao wa mzee Kurwa mmoja anakadiriwa kuwa na miaka 13 na mdogo miaka mawili. Alisema pia mvua hiyo imebomoa boma la zahanati lenye vyumba 17 ambalo bado lilikua linajengwa. Alisema kwa sasa uongozi wa kata unapita kwa wananchi kuangalia madhara yaliyojitoleza na kufanya tathmini.

KUMRADHI: Tunaomba Radhi kwa kutoa Habari hii isiyo ya kweli

Image
Tunaomba Radhi kwa familia ya mzee kingunge kwa kuandika habari zisizoB sahihi kuhusu Mzee wetu mpendwa mzee Kingunge. Habari za kweli ni hizi.. MTOTO WA MZEE KINGUNGE AKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA BABA YAKE ZINAZOSAMBAA MITANDAONI.. Mtoto wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombae Mwiru,Tonny Ngombale Mwiru amekana taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu kifo cha baba yake mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Tonny amefanya mahojiano na waandishi wa habari jioni ya leo na kuwaeleza kuwa baba yake yuko hospitali akipata matibabu baada ya kung’atwa na mbwa hivyo kupata majeraha Kwenye miguu ambayo ndiyo anayouguza hospitalini kwa sasa. Kuhusu mazishi ya mke wa mwanasiasa huyo ambaye alifariki jana katika hospitali ya Muhimbili Tonny Ngombale Mwiru amesema familia itatoa taarifa mapema kesho baada ya baba yao mzee kingunge kuelezwa na kutoa maelekezo kama baba mzazi na kiongozi wa familia hiyo.

Past Exhibitions Mwana Hiti: More Than Just a Doll

Image
EXHIBITION OBJECTS ABOUT THE EXHIBITION The Mwana hiti: More than Just a Doll catalogue and exhibition are the result of study based on the Belgian private collection of Guibert Hairson. Initiation trunk figures, staffs of high-ranking members of the community, a fly whisk, container for medicinal and magical substances, a memorial post and throne-stool, spoons for the ceremonial preparation and food consumption, as well as more than forty hairpins, combs and hair decorations are brought together by one image – the mwana hiti. The mwana hiti appeared as a freestanding figure or image incorporated in objects used in ceremonies and on other important occasions that marked the lives of the Zaramo and neighbouring peoples. Depending on the context, the mwana hiti carried sacred, status, magical, or religious properties founded on the authority of the ancestors. The sculptural form and real life function of the mwana hiti motif reveals that it unites all male a...