Posts

Showing posts with the label Masshele Aid

15 Shocking Reasons Why You Should Eat Bananas Every Day

Image
There are 15 important reasons why you should eat bananas every day. It’s very important also to plant a banana so as to boil it or ripen for eating. If nobody has ever told you the importance of eating a banana, here is why you should eat at least one everyday: They Boost Your Mood When you’re feeling down, pick up a banana! Bananas help depression due to high levels of tryptophan. This is converted into serotonin — the happy-mood brain neurotransmitter that instantly perks you up. 2. Quitting smoking? With high levels of B-vitamins, potassium and magnesium, bananas speed up recovery from the effects of withdrawal. 3. Eat two bananas on your way to the gym to pack an energy punch and sustain your blood sugar while you work out. They Keep You Healthy 4. The high levels of vitamin B-6 in bananas reduce swelling, protect against type II diabetes, aid weight loss, strengthen the nervous system, and help with the production of white blood cells. 5. Because they’re high in potassium and...

Watanzania tumsaidie msanii Wastara kupata matibabu

Image
Na Anitha Jonas – WHUSM Dar es Salaam. masshele media. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania kujitokeza kumchangia msanii wa Filamu Wastara Issa ili aweze kwenda kupatiwa matibabu India ya mguu wake unaomsumbua. Mheshimiwa Mwakyembe ametoa wito huo alipokwenda kumtembelea msanii huyo wa filamu nyumbani kwake jana Tabata Sanene jijini Dar es Salaam kutokana na msanii huyo kuwa anasumbuliwa na mguu wake uliyokatwa mpaka kufikia kuhitajika kufanyiwa upasuaji mwingine. “Ndugu zangu watanzania najua kutoa ni moyo na siyo utajiri ninawaomba mjitokeze kwa kumsaidia msanii huyo kwani mpaka sasa anahitaji kiasi cha milioni kumi na nane kwa ajili ya kufanikisha safari yake hiyo ya kwenda kupata matibabu na anatarajia kwenda kwenye matibabu hayo mwezi ujao,”Dkt.Mwakyembe. Naye Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bibi.Joyce Fissoo alitoa wito kwa wasanii wote wa filamu nchi kujitokeza na kumsadia mwanatansia mwenza...