MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NECTA 2023/2024

Haya hapa matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 Matokeo ya Kidato Cha nne Necta 2023/2024 (form four examination results 2023/2024. Baraza la mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne mwaka 2023 ambapo matokeo hayo yametangazwa leo na katibu wa baraza la mitihani Tanzania leo January 25, 2024 Angalia matokeo ya Kidato Cha nne >HAPA> Yaliyomo Historia ya barasa la mitihani Necta Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 (form four Necta examination results) Jinsi ya kuangalia matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 Kuhusu sifa za kujiunga na Kidato Cha Tano 2024 Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mikoa yote Tanzania Bara Hitimisho Historia ya baraza la mitihani Necta Baada ya Tanzania Bara kujiondoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki, mwaka 1971 na kabla ya NECTA kuanzishwa kwa Sheria, mwaka 1973, Sehemu ya Mitaala na Mitihani ya Wizara ya Elimu ndiyo iliyohusika na mitihani yote. Kwa kuanzishwa kwa NECTA, Mitihani ikawa jukumu lak...