Haya hapa matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 

Matokeo ya Kidato Cha nne Necta 2023/2024 (form four examination results 2023/2024. Baraza la mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne mwaka 2023 ambapo matokeo hayo yametangazwa leo na katibu wa baraza la mitihani Tanzania leo January 25, 2024

Angalia matokeo ya Kidato Cha nne >HAPA>

Yaliyomo 

  1. Historia ya barasa la mitihani Necta 
  2. Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 (form four Necta examination results)
  3. Jinsi ya kuangalia matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024
  4. Kuhusu sifa za kujiunga na Kidato Cha Tano 2024
  5. Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mikoa yote Tanzania Bara
  6. Hitimisho

Historia ya baraza la mitihani Necta 

Baada ya Tanzania Bara kujiondoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki, mwaka 1971 na kabla ya NECTA kuanzishwa kwa Sheria, mwaka 1973, Sehemu ya Mitaala na Mitihani ya Wizara ya Elimu ndiyo iliyohusika na mitihani yote. Kwa kuanzishwa kwa NECTA, Mitihani ikawa jukumu lake kwa mujibu wa sheria. Mtaala huo uliendelea kuwa chini ya Wizara ya Elimu na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi ulipochukuliwa na Taasisi mpya ya Ukuzaji Mitaala (ICD) iliyoanzishwa mwaka 1975, ambayo mwaka 1993 ilibadilishwa jina na kuitwa Taasisi ya Tanzania. Elimu (TIE).

Kati ya 1972 na 1976 watumishi wa kwanza wa NECTA waliajiriwa, miongoni mwao ni Bw. P. P. Gandye ambaye aliajiriwa mwaka 1972 na baadaye mwaka 1994 aliteuliwa kuwa Katibu Mtendaji. Watumishi wengine waliendelea kuajiriwa na hasa wakati majengo ya NECTA yalipohama kutoka Makao Makuu ya Wizara ya Elimu hadi eneo la sasa la Kijitonyama karibu na Mwenge. Kwa sasa idadi ya watumishi wa NECTA ni zaidi ya 340.

Kuanzishwa kwa NECTA
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ni Taasisi ya Serikali ambayo ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge namba 21 ya mwaka 1973. NECTA ndiyo yenye dhamana ya kusimamia Mitihani na Tathmini zote nchini Tanzania.

Uamuzi wa kuanzisha NECTA ulikuwa ni ufuatiliaji wa hatua ya awali, Aprili 1971, wakati Tanzania Bara ilijiondoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki (EAEC) ili kufanya mitihani yake mwenyewe. Zanzibar ilijiondoa katika EAEC mwaka 1970. Kabla ya kujiondoa, kati ya 1968 na 1971, Tanzania ilifanya Mitihani ya Shule za Sekondari za kigeni iliyofanywa kwa pamoja na Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambayo kabla ya hapo ilifanywa na Baraza la Mitihani la Ndani la Cambridge pekee. Mitihani iliyofanywa na Baraza la Mitihani la Cambridge wakati huo ilikuwa Cheti cha Shule na Mitihani ya Cheti cha Shule ya Juu. Mitihani ya Cheti cha Shule ilifanywa na Wanafunzi wa Kiafrika kwa mara ya kwanza mnamo 1947 na ile ya Cheti cha Shule ya Juu mnamo 1960. Historia hii Ni kwa mujibu wa tovuti ya Baraza la mitihani Necta.go.tz
  1. Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 (form four Necta examination results)
Baraza la mitihani tanzania necta limetangaza matokeo yote ya wanafunzi wa Kidato Cha nne waliofanya mitihani kwa Mwaka 2023, leo January 25. Kuangalia matokeo yote Bofya >HAPA>


2. Jinsi ya kuangalia matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024


Unaweza kuangalia matokeo ya form four kupita tovuti au kwa njia ya sms . Kuangalia kwa njia ya tovuti tembelea tovuti ya baraza la mitihani Tanzania www.necta.go.tz kuangalia kwa njia ya Ussd fuata Hatua hizi hapa chini

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua namba 8.ELIMU

  3. Chagua namba 2.NECTA

  4. Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO

  5. Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE

  6. Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
  7. Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
  8. Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo

3. Sifa za kujiunga na Kidato Cha Tano 2024 kulingana na matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 

Ili kuweza kuchaguliwa kujiunga na na Kidato Cha Tano mwanafunzi anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo
  • Mwanafunzi awe anefaulu mitihani ya Kidato Cha nne 2023 na kupata Kati ya Division 1 Hadi iii
  • Mwanafunzi awe na Tahsusi (combination iliyo balance)
  • Mwanafunzi awe alichagua kuendelea na Kidato Cha Tano
  • Awe na chini ya miaka 28
Pamoja na hayo mwanafunzi anaweza kuchaguliwa vyuo vya Kati au kusubiri second selection kutokana na uchache qa shule za vidato vya tano na sita nchini.


4. Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mikoa yote Tanzania Bara

Haya hapa matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mikoa yote
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa Dar es salaam
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa pwani
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa morogoro
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa Tanga 
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa kilimanjaro
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa Arusha
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Arusha
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023-2024 mkoa wa Manyara 
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa Singida
  • Matokeo ya Kidato channel mkoa wa Tabora
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa shinyanga
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Simiyu
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa mwanza
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Geita
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mkoa wa kigoma
  • Matokeo ya Kidato Cha nne mkoa wa Mara 2023/2024
  • Matokeo ya mtihani Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa Dodoma
  • Matokeo ya mtihani Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Mbeya
  • Matokeo ya mtihani Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Songwe
  • Matokeo ya mtihani Kidato Cha nne mkoa wa Katavi
  • Matokeo ya mtihani Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Rukwa 
  • Matokeo ya mtihani Kidato Cha nne 2023 mkoa wa Mtwara
  • Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 mkoa wa Ruvuma
Angalia mpangilio hapa

Hitimisho
IKiwa unapata changamoto yeyote katika kuperuzi mtandaoni ili kuweza kuona matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 inaweza kuwa Ni changamoto ya kimtandao hivyo Subiri kidogo na uingie Tena