Posts

Showing posts with the label Musicians news

MSUVA APIGA HATRICK TIMU YAKE IKISHINDA 10--0

Image
Mtanzania Saimon Msuva amepiga hat trick timu yake ya Difaa Al Jadid ikishinda kwa mabao 10-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Benfica Bissau ya Guinea Bissau. Mechi hiyo ambayo Jadid walikuwa nyumbani, Msuva amefunga mabao hayo matatu mshambuliaji mwingine Ahaddah Hamed akifunga matano. Ndiaye na El Magri nao walifunga mabao mengine na kukamilisha mauaji hayo ya shelabela ya Al Jadid. Mtanzania huyo alionyesha soka safi ikiwa ni pamoja na kutengeneza mabao ya wenzake. Msuva aliyejiunga na timu hiyo akitokea Yanga, alifunga mabao hayo katika dakika za 45, 73 na lile la kukamilisha 10 dakika ya 87.

Amber Lulu afunguka historia ya kusikitisha ya maisha yake

Image
  Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alipata umaarufu kwa kupiga picha za utupu na kuweka mitandaoni, Amber Lulu, amesimulia historia ya maisha yake ambayo imemfanya abadilike na kuwa alivyo sasa. Akizungumza kwenye Backstage ya Bongo Fleva Top 20 ya East Africa Radio, Amber Lulu amesema maisha yake ya nyuma yalikuwa yenye mahangaiko ya maisha akiwa na umri mdogo, huku akilazimika kujitafutia hadi pesa ya shule. Amber Lulu amesema wakati yupo mdogo akisoma mama yake alikuwa na tatizo na lililomfanya ashindwe kutimiza majukumu mengi ya kifamilia, hivyo akaamua kujiingiza kwenye masuala mbali mbali ya kujitafutia riziki ili aweze gharama za kumudu maisha.

Vyuma vimekaza : Sangoma ajiua kwa kukosa wateja

Image
Wakazi wa eneo la Maili Saba katika Jimbo la Trans Nzoia wamepigwa na butwaa baada ya mganga Joshua Shalongo kujiua kwa sababu ya kukosa wateja na hali ngumu ya maisha. Shalongo ambaye ni mganga maarufu katika eneo la Kitale nchini Kenya inasemekana suala la kukosa wateja lilimtatiza sana kiasi cha kuchukua uamuzi wa kujiua. Mwili wake umepatikana ukining’inia kwenye paa la nyumba ukiwa umefungwa kamba taarifa hii imeripotiwa katika jarida la Citizen’s Edaily. Chief wa eneo hilo Esther Waswa amethibitisha tukio la mganga huyo kujiua.

Shomari Kapombe kurudi uwanjani, baada ya miezi mitano

Image
  Mlinzi wa pembeni wa klabu ya Simba Sports Club Shomari Kapombe amesafiri na timu kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Mapinduzi Cup. Kapombe ambaye alisajiliwa na timu hiyo akitokea Azam ameshindwa kucheza mchezo wowote hadi hivi sasa kutokana na kuwa na majeraha aliyoyapata wakati akiitumikia timu ya Taifa dhidi ya Rwanda Julai mwaka uliopita. Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha klabu ya Simba Haji Sunday Manara amesema Kapombe ataanza kuonekana kwenye michuano hiyo pamoja na wachezaji Haruna Niyonzima na Emmanuel Okwi ambao nao walikuwa na majeraha. -Wachezaji Salim Mbonde na Said Mohammed 'Nduda' wao tumewaacha Dar, Ila Kapombe tutajiunga naye Zanzibar ameshaanza mazoezi mepesi mepesi kwa hiyo tutakuwa naye, na Okwi yeye ameshatua nchini na tutakuwa naye," Manara amesema. Simba wamesafiri asubuhi hii kuelekea visiwani Zanzibar ambapo katika michuano hiyo wataanza kwa mchezo dhidi ya timu ya Mwenge FC Jumanne ya Januari 2, 2018. P...

Transfer news: Chelsea ready to beat Spurs in January

Image
  Chelsea are leading the race to sign England international Ross Barkley from Everton during the January transfer window. Blues boss Antonio Conte was hoping to bring Barkley to Stamford Bridge last summer and launched a deadline day move to secure his signature. Barkley was interested in the switch but decided to turn Chelsea down as he wanted to regain his fitness before making such a major decision over his future. He is yet to play a game during the 2017-18 campaign and will be out of contract come the summer but Chelsea are nevertheless hoping to finally bring him to west London next month. Tottenham have also been keeping tabs on Barkley but would rather sign him as a free agent, putting Chelsea firmly in the driving seat ahead of the January transfer window. It is claimed both Chelsea and Everton, who have moved into the top-half of the table under Sam Allardyce, hope Barkley’s future is resolved in early January to avoid another saga running through th...

7 Of The Best: The Labels Who Defined 2017

Image
Dekmantel Clash named J Hus' 'Common Sense' as our album of the year 2017 few short hours ago, ending weeks of discussion in the office. One recurring thread emerged, however: what does it mean to be signed in 2017? After all, if some of our favourite albums are self-released, this placed the traditional label structure under huge pressure. Thankfully, some labels are still smashing it. Some have kept a concise roster, specialising in one sound; others have broadened, absorbing fresh influence; still others, though, have proved that they don't care about expectation, and signed whoever they liked. Here, Clash staff name some of the imprints who have kept them on their toes during the past 12 months... Dekmantel   (Felicity Martin) Killer festivals and events, now a ten-year label exposing some of the most exciting dance music going - everything these guys touch turns to gold. It’s p...

Ten Things You Never Knew About Bob Marley

Image
The Jamaican Legend Worshiped by millions, Rastafarian reggae superstar Bob Marley captivated audiences worldwide. We delved deep to find some hidden truths about the Jamaican legend. 1.  Bob Marley’s original name was Nesta Robert Marley but his middle and first name were swapped around to preserve his masculinity after a comment was made that Nesta was seen as a girl’s name. This was not the only thing which was noticeably different from his birth certificate. After Bob was born on 6th February 1945, it took his mother a while to finally get him officially registered, meaning the date on his birth certificate was incorrect, stating he was born on 6th April. 2.  From the age of four it was discovered Bob Marley could read palms. When Cedella (Bob’s mother) first heard of this from relatives and neighbours she took it as a joke. These palm readings invariably came true, which left his mother quite shaken. When Bob was a lot older ...