Posts

Showing posts with the label Ukoo wa Mashelle

Ukoo wa Mashelle

Image
Moja ya picha ya maadhimisho ya miaka 100 tangu kufariki kwa Mangi Mashelle wa shimbi Historia ya ukoo wa Mashelle Dhana ya ukoo  Ukoo Ni muunganiko wa kimbari ambao huunganisha familia zilizo na chanzo kimoja (Mababu) ukoo huweza kukua na kupelekea kugawanyika kwa vitongoji kadhaa. Vilevile ukoo huweza kugawanyika kwa sababu za kigeografia. Katika makala hii tutazungumzia ukoo wa Mashelle ambao unaasili ya Mkuu, Shimbi.  HISTORIA YA SHIMBI (chimbuko la ukoo wa Mashelle) Uruka wa Shimbi (nchi ya Shimbi) Ukoo wa Maria kawishe (Kavishe) Shimbi ndio chanzo hasa Cha Mashelle. Ukoo huu wa Maria kawishe ukianza Shimbi Karne nyingi zimepita na mwanzilishi wa ukoo huu aliitwa M'mamba aliyetokea mamba kwa kirie na wakati akitafuta makazi mapya ardhi yenye rutuba ndipo alipoweka maskani yake katika uruka wa Shimbi (nchi ya Shimbi) na hapo ndipo ukoo wa Maria kawishe ulipoanzia.  Kwa mujibu wa sensa ya wanaukoo mwaka 1993 hivi ndivyo vizazi vya wanaukoo M'mamba akamza Kitimbiri, Kit...