Posts

MAANA YA KITABU NA UTATA WAKE

  Kwa mujibu wa Neil Fraistal (1985), wanafafanua kuwa kitabu ni makala iliyoandikwa  kisanaa na makala hii inaweza kuzalishwa na mtu yoyote yule mwenye uwezo wa kufanya hivyo. Tunaona fasili hii inajikita katika swala la sanaa na kufanya kitabu kiwe kipana zaidi kwani swala la sanaa ni pan asana na mtaalamu huyu hafafanui ni sanaa ipi. Halikadhalika, TUKI (2014), wanafasili kitabu ni maandishi yaliyowekwa pamoja katika kurasa zilizoandikwa kwa mkono au zilizopigwa chapa na kupangwa kwa utaratibu maalumu na kutiwa jalada. Tunaona fasili hii inajikita katika kurasa kuelezea maana ya kitabu huku haiweki wazi utaratibu maalumu ambao kitabu inabidi kiwe nao. Pia Kamusi pevu ya Kiswahili (2016) wakifafanua maana ya kitabu wanaeleza kuwa  ni kurasa zenye maandishi zilizofungwa pamoja kwa utaratibu. Pia fasili hii inajikita katika kuelezea utaratibu maalumu na kurasa lakini pia haiweki wazi huo utaratibu maalumu ni upi. Kwa mujibu wa Oxford Advanced Leaners Dictionary (2012), wa...

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024

Image
  Vigezo vya kujiunga Na kidato cha tano 2023 Baada ya Matokeo ya kidato channel kutangazwa wanafunzi wengi wamekuwa wakijiuliza Je ni vigezo vipi vitatumika katika selection za kidato cha tano 2023? Vigezo vinavyotumika katika miaka yote katika uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha tano ni hivi hapa -Awe amesoma angalau masomo 7 nakuyafanyia mtihani. -Awe umepata  division 1 hadi division 3 -awe amefaulu masomo matatu kwa kiwango cha credit yani A-C, Na ufaulu huo usihusishe masomo ya dini. -katika masomo aliyofaulu yawe Na uwezo wakuumba combination/taasusi isiyozidi salama kumi(10) A=1 B=2, C=3 , D=4 F=5 Mfano alipata Chem A, Bios B phy C A+B+C = 6 -Kwenye combination aliyoichagua kusiwe Na somo lenye F. -Awe alijaza selfom kwaajili ya kuchagua kujiunga Na kidato cha tano. Wengine huchagua kujiunga Na vyuo. -Awe Na umri usiozidi miaka 25  NB kwa kawaida wale waliofaulu sana kulingana Na taasusi walizozichagua hupewa kipaumbele. Lakini pia serikali hujitahidi kadri iwezav...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NECTA 2023/2024

Image
Haya hapa matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024  Matokeo ya Kidato Cha nne Necta 2023/2024 (form four examination results 2023/2024. Baraza la mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne mwaka 2023 ambapo matokeo hayo yametangazwa leo na katibu wa baraza la mitihani Tanzania leo January 25, 2024 Angalia matokeo ya Kidato Cha nne >HAPA> Yaliyomo  Historia ya barasa la mitihani Necta  Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 (form four Necta examination results) Jinsi ya kuangalia matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 Kuhusu sifa za kujiunga na Kidato Cha Tano 2024 Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mikoa yote Tanzania Bara Hitimisho Historia ya baraza la mitihani Necta  Baada ya Tanzania Bara kujiondoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki, mwaka 1971 na kabla ya NECTA kuanzishwa kwa Sheria, mwaka 1973, Sehemu ya Mitaala na Mitihani ya Wizara ya Elimu ndiyo iliyohusika na mitihani yote. Kwa kuanzishwa kwa NECTA, Mitihani ikawa jukumu lak...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019/2020 NECTA FORM FOUR RESULTS 2019/2020

Image
MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE (SFNA), KIDATO CHA PILI (FTNA) 2019 NA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2019 YAMETANGAZWA RASMI. Bofya HAPA  kuona matokeo yote

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022/2023 SHULE ZOTE

Image
Matokeo ya kidato channel 2022   Matokeo ya kidato Cha nne walilofanya mtihani 2022 yametangazwa Leo jumapili januari 29,2023. Form four examination results 2022 announced today. Kuangalia matokeo ya kidato channel wanafunzi wote shule zote na mikoa yote Bofya >>HAPA>> kufungua na kuona matokeo yote ya kidato Cha nne 2022/2023 Au unaweza kutazama matokeo kupitia tovuti ya necta www.necta.go.tz au kwa njia ya SMS.

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023/2024

Image
  MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA NNE 2022/2023| Necta examination results 2022 Matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022/2024 yametangazwa na baraza la mitihani Tanzania NECTA EXAMINATION RESULT 2022 (NECTA). Kuona Matokeo ya kidato Cha nne 2022/203 BOFYA >>HAPA>> Maudhui (form four examination Results 2022/2023) 1.0 Historia ya Baraza la mitihani Tanzania     1.1 Tovuti ya NECTA kuangalia matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022/2023 2. Matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022 3.0 Matokeo ya mitihani kidato cha nne 2022/23     3.1 Matokeo ya kidato Cha nne mikoa yote        3.2. Matokeo ya mitihani kidato Cha nne wilaya zote. 4. Jinsi ya kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022)2023    4.1 Kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 Kwa njia ya SMS 5. Maswali na majibu kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 (FAQ)  form four examination results 2022 6. Jinsi ya kuwasiliana na NECTA , kuhusu matokeo ya kidato Cha n...

MATOKEO YAKIDATO CHANNE 2023 KUTOLEWA KESHO

Image
  Baraza la mitihani Tanzania Necta linatarajia kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne 2023. (CSEE) na Maarifa QT . Matokeo hayo yanatokana na  mitihani waliyofanya mwaka Jana 2023. Ambao wanafunzi watakaofaulu kuanzia Division 1 Hadi Division 3 wanatarajiwa kujiunga na shule mbalimbali za Kidato Cha Tano nchi Jinsi ya kutazama matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 Matokeo ya Kidato Cha nne yatakapotangazwa yatapakiwa katika tovuti mbalimbali ikiwemo tovuti hii na tovuti rasmi ya Baraza la mitihani Necta.go.tz