Baraza la mitihani Tanzania Necta linatarajia kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne 2023. (CSEE) na Maarifa QT . Matokeo hayo yanatokana na  mitihani waliyofanya mwaka Jana 2023. Ambao wanafunzi watakaofaulu kuanzia Division 1 Hadi Division 3 wanatarajiwa kujiunga na shule mbalimbali za Kidato Cha Tano nchi

  • Jinsi ya kutazama matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024
Matokeo ya Kidato Cha nne yatakapotangazwa yatapakiwa katika tovuti mbalimbali ikiwemo tovuti hii na tovuti rasmi ya Baraza la mitihani Necta.go.tz