Posts

Showing posts from January, 2024

MAANA YA KITABU NA UTATA WAKE

  Kwa mujibu wa Neil Fraistal (1985), wanafafanua kuwa kitabu ni makala iliyoandikwa  kisanaa na makala hii inaweza kuzalishwa na mtu yoyote yule mwenye uwezo wa kufanya hivyo. Tunaona fasili hii inajikita katika swala la sanaa na kufanya kitabu kiwe kipana zaidi kwani swala la sanaa ni pan asana na mtaalamu huyu hafafanui ni sanaa ipi. Halikadhalika, TUKI (2014), wanafasili kitabu ni maandishi yaliyowekwa pamoja katika kurasa zilizoandikwa kwa mkono au zilizopigwa chapa na kupangwa kwa utaratibu maalumu na kutiwa jalada. Tunaona fasili hii inajikita katika kurasa kuelezea maana ya kitabu huku haiweki wazi utaratibu maalumu ambao kitabu inabidi kiwe nao. Pia Kamusi pevu ya Kiswahili (2016) wakifafanua maana ya kitabu wanaeleza kuwa  ni kurasa zenye maandishi zilizofungwa pamoja kwa utaratibu. Pia fasili hii inajikita katika kuelezea utaratibu maalumu na kurasa lakini pia haiweki wazi huo utaratibu maalumu ni upi. Kwa mujibu wa Oxford Advanced Leaners Dictionary (2012), wa...

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024

Image
  Vigezo vya kujiunga Na kidato cha tano 2023 Baada ya Matokeo ya kidato channel kutangazwa wanafunzi wengi wamekuwa wakijiuliza Je ni vigezo vipi vitatumika katika selection za kidato cha tano 2023? Vigezo vinavyotumika katika miaka yote katika uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha tano ni hivi hapa -Awe amesoma angalau masomo 7 nakuyafanyia mtihani. -Awe umepata  division 1 hadi division 3 -awe amefaulu masomo matatu kwa kiwango cha credit yani A-C, Na ufaulu huo usihusishe masomo ya dini. -katika masomo aliyofaulu yawe Na uwezo wakuumba combination/taasusi isiyozidi salama kumi(10) A=1 B=2, C=3 , D=4 F=5 Mfano alipata Chem A, Bios B phy C A+B+C = 6 -Kwenye combination aliyoichagua kusiwe Na somo lenye F. -Awe alijaza selfom kwaajili ya kuchagua kujiunga Na kidato cha tano. Wengine huchagua kujiunga Na vyuo. -Awe Na umri usiozidi miaka 25  NB kwa kawaida wale waliofaulu sana kulingana Na taasusi walizozichagua hupewa kipaumbele. Lakini pia serikali hujitahidi kadri iwezav...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NECTA 2023/2024

Image
Haya hapa matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024  Matokeo ya Kidato Cha nne Necta 2023/2024 (form four examination results 2023/2024. Baraza la mitihani Tanzania Necta limetangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne mwaka 2023 ambapo matokeo hayo yametangazwa leo na katibu wa baraza la mitihani Tanzania leo January 25, 2024 Angalia matokeo ya Kidato Cha nne >HAPA> Yaliyomo  Historia ya barasa la mitihani Necta  Matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 (form four Necta examination results) Jinsi ya kuangalia matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 Kuhusu sifa za kujiunga na Kidato Cha Tano 2024 Matokeo ya Kidato Cha nne 2023 mikoa yote Tanzania Bara Hitimisho Historia ya baraza la mitihani Necta  Baada ya Tanzania Bara kujiondoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki, mwaka 1971 na kabla ya NECTA kuanzishwa kwa Sheria, mwaka 1973, Sehemu ya Mitaala na Mitihani ya Wizara ya Elimu ndiyo iliyohusika na mitihani yote. Kwa kuanzishwa kwa NECTA, Mitihani ikawa jukumu lak...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2019/2020 NECTA FORM FOUR RESULTS 2019/2020

Image
MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE (SFNA), KIDATO CHA PILI (FTNA) 2019 NA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2019 YAMETANGAZWA RASMI. Bofya HAPA  kuona matokeo yote

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022/2023 SHULE ZOTE

Image
Matokeo ya kidato channel 2022   Matokeo ya kidato Cha nne walilofanya mtihani 2022 yametangazwa Leo jumapili januari 29,2023. Form four examination results 2022 announced today. Kuangalia matokeo ya kidato channel wanafunzi wote shule zote na mikoa yote Bofya >>HAPA>> kufungua na kuona matokeo yote ya kidato Cha nne 2022/2023 Au unaweza kutazama matokeo kupitia tovuti ya necta www.necta.go.tz au kwa njia ya SMS.

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023/2024

Image
  MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA NNE 2022/2023| Necta examination results 2022 Matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022/2024 yametangazwa na baraza la mitihani Tanzania NECTA EXAMINATION RESULT 2022 (NECTA). Kuona Matokeo ya kidato Cha nne 2022/203 BOFYA >>HAPA>> Maudhui (form four examination Results 2022/2023) 1.0 Historia ya Baraza la mitihani Tanzania     1.1 Tovuti ya NECTA kuangalia matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022/2023 2. Matokeo ya mitihani kidato Cha nne 2022 3.0 Matokeo ya mitihani kidato cha nne 2022/23     3.1 Matokeo ya kidato Cha nne mikoa yote        3.2. Matokeo ya mitihani kidato Cha nne wilaya zote. 4. Jinsi ya kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022)2023    4.1 Kuangalia Matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 Kwa njia ya SMS 5. Maswali na majibu kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 (FAQ)  form four examination results 2022 6. Jinsi ya kuwasiliana na NECTA , kuhusu matokeo ya kidato Cha n...

MATOKEO YAKIDATO CHANNE 2023 KUTOLEWA KESHO

Image
  Baraza la mitihani Tanzania Necta linatarajia kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato Cha nne 2023. (CSEE) na Maarifa QT . Matokeo hayo yanatokana na  mitihani waliyofanya mwaka Jana 2023. Ambao wanafunzi watakaofaulu kuanzia Division 1 Hadi Division 3 wanatarajiwa kujiunga na shule mbalimbali za Kidato Cha Tano nchi Jinsi ya kutazama matokeo ya Kidato Cha nne 2023/2024 Matokeo ya Kidato Cha nne yatakapotangazwa yatapakiwa katika tovuti mbalimbali ikiwemo tovuti hii na tovuti rasmi ya Baraza la mitihani Necta.go.tz 

Past papers za mitihani ya Kiswahili Darasa la saba

Image
  SoMo la kiswahili kwa Darasa la saba Ni miongoni mwa masomo yanayetahiniwa mwanafunzi wakati wa kumaliza elimu ya msingi, nchini ambayo hufanyika kila mwezi wa 9 kwa kila mwaka. Past papers za SoMo la Kiswahili zinalenga kumwandaa mtoto (mwanafunzi wa Darasa la saba) katika kukabiliana na mtihani wa kiswahili wa kuhitimu darasa la saba na kufanya vyema katika mitihani yake hiyo Table of contents (Yaliyomo) Mitihani ya Kiswahili Darasa la 7 (standard seven kiswahili subject past papers) Jinsi ya kufanya mitihani ya kiswahili Darasa la saba Je Kuna umuhimu wa kusoma past papers za Kiswahili Darasa la saba? Mitihani ya Kiswahili Darasa la 7 (standard seven kiswahili subject past papers) Past papers zote za Kiswahili darasa la 7 kwa miaka kadhaa zinaoatikana katika tovuti hii na unaweza kuzinunua kwa Bei rahisi Sana na zikamsaidia mwanao (mwanafunzi kufaulu mitihani yake ya Darasa la saba. Mitihani hiyo inakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mahiri katika kujibu maswali mbalimbali ya D...

UWAVITA CHAPATA VIONGOZI WAPYA

Image
  Chama Cha umoja wa waandishi wa vitabu Tanzania (UWAVITA) kilichotamba miaka hiyo na kufariki baadaye Sasa kipo katika mchakato wa uhuishaji ambapo wanachama wake wamechagua viongozi wapya watakao ingiza jahazi la chama hicho, Cha waandishi wa viatabu Tanzania  Viongozi waliochaguliwa  kwa kupigiwa kura Ni Hawa wafuatao Mwenyekiti wa uwavita Makamu mwenyekiti UWAVITA Katibu mkuu uwavita Katibu msaidizi UWAVITA Mhariri mkuu UWAVITA Mhariri msaidizi UWAVITA Mweka Hazina UWAVITA Mwenezi UWAVITA Ambaoo viongozi Hawa ndio walioshinda kwa idadi ya kura na kutangazwa rasmi kuwa Viongozi wapya wa Uwavita uongozi ambao utadumu kwa miaka mitatu kutoka January 2024. Profesa Mulokozi , mwandishi, na profesa mstaafu wa Taasisi ya Taaluma za kiswahili TATAKI, pia mwenyekiti wa zamani wa Uwavita atia neno " Hongereni nyote mliochaguliwa kutuongoza. Ni imani yangu kuwa mtaongoza Chama kwa juhudi na maarifa huku mkizingatia Katiba na Kanuni za Chama.  Msisite kuomba ushauri au msaa...

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2023 NECTA TANZANIA

Image
  Baraza la mitihani Necta limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji kidato Cha pili kwa WANAFUNZI waliofanya mtihani mwaka 2023. Matokeo hayo yametangazwa Leo na katibu wa baraza la mitihani Necta leo January 7, 2024.  Kuona matokeo ya Kidato Cha pili mwaka 2023/2024 Bofya >Hapa> Tafadhali Shea na wengine matokeo haya ya Kidato Cha pili 2023 Unaweza kuchagua shule husika ili kuona matokeo ya Kidato Cha pili 2023 kwa urahisi zaidi. Angalia katika Orodha hapa chini Chagua herufi ya shule aliyosoma mwanafunzi Kidato Cha pili mwaka Jana  NATIONAL EXAMINATION COUNCIL OF TANZANIA FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2023 RESULTS ENQUIRIES CLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET ALL CENTRES A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

MATOKEO YA DARASA LA NNE 2023 NECTA

Image
  Baraza la mitihani tanzania (necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji Darasa la nne iliyofanyika mwaka Jana 2023  Kuona matokeo yote ya Darasa la nne 2023 Bofya >HAPA> Matokeo ya mitihani Darasa la nne mikoa yote tanzania bara yako hapa.  NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA STANDARD FOUR NATIONAL ASSESSMENT (SFNA) - 2023 RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA GEITA IRINGA KAGERA KATAVI KIGOMA KILIMANJARO LINDI MANYARA MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA NJOMBE PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SIMIYU SINGIDA SONGWE TABORA TANGA Bofya mkoa husika kuona matokeo ya mwanao wa Darasa la nne aliyefanya mtihani mwaka 2023

Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko

Image
K ILA  mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa wengi. Wengi wetu wameumizwa kwa mapenzi hasa kutokana na tatizo la uaminifu katika mahusiano yao. Zifuatazo ni dalili zitakazokusaidia kuwa macho mara utakapoona mazingira ya kufanana nazo yanatokea katika uhusiano wenu. KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa siri. Yamkini pia alikuwa yuko huru hata simu yake inapolia waweza ukaichukua na kumpatia lakini ghafla anakuwa na hofu kubwa na kuificha simu yake, au anakwenda na simu hadi bafuni isije ikasikika juwa kuna jambo. Wengine wanaondoa milio katika simu zao wakati haikuwa kawa...