Posts

Showing posts from October, 2023

Kituo Cha Masaji chafungiwa

Image
  Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imechukua hatua kadhaa ikiwemo kukifungia kituo kimoja cha masaji kikichopo Nzasa, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo iliyochukuliwa na Waziri Dkt. Doroth Gwajima, imekuja baada ya video ya tangazo la huduma za masaji iliyowekwa mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina vitendo vilivyo kinyume na maadili. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imeeleza kuwa huduma za kituo zimesitishwa kuanzia Oktoba 26, 2023 kutokana na kutokidhi vigezo vya Sheria Namba 23 ya Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, pia mmiliki ametozwa faini ya Tsh. 500,000 pamoja na kupewa maelekezo mengine ambayo kama atayakiuka atafikishwa mahakamani. Pia Waziri Gwajima ameelekeza mamlaka husika kuwafuatilia watoa huduma wengine ili kuwabaini wasiotimiza matakwa ya sheria ikiwemo kuathiri ustawi wa jamii na kuchochea mmomonyoko wa maadili unaosababisha matukio ya unyanyasaji, udhalilishaji wa kijinsia ambapo waaathirika wakuu ni wato...

Hii dawa imemfanya mume ananipa dozi kitandani hadi nachanganyikiwa!

Image
  Hakuna taasisi ina siri kubwa kama ndoa jamani na hiyo ni kutokana na msingi wake wa kuanzishwa kwake, haifai hata kidogo kutoa siri za ndani ya ndoa kwa marafiki.  Hata hivyo, nikiri wazi kuna wakati uvumilivu ulinishinda na kujikuta nimetoa siri za ndani ya ndoa yangu, sikuwa na jinsi ilinibidi nifanye hivyo ili kuweza kupata raha kama wanawake wengine au kama ilivyokuwa mwanzo. Jina langu ni Kalunde kutokea Pwani, nimeishi katika ndoa kwa miaka sita na mume wangu kipenzi na tayari tumejaliwa kupata watoto wawili ambao tayari sasa wamenza shule. Mwanzo wa ndoa yetu mume wangu alikuwa akinitimizia mahitaji yangu ya msingi kama mwanamke na kufurahia sana hadi nikawa najiuliza kwanini nilichelewa kuolewa na kupata raha hizi. Lakini ghafla mambo yalianza kwenda sivyo, mume wangu alikuwa hawezi kunifikisha katika kilele kama ilivyokuwa mwanzo, hata raundi moja tu nilikuwa sipati wakati mwanzo nilikuwa napata hata raundi nne.  Hali hiyo ilikuwa inaniacha njiapanda kiasi kwa...

Hii dawa imefanya kila mwanamke anataka kuwa nami kimapenzi!

Image
   Jina langu ni Kev, ni kijana wa miaka 24 kutokea Mathare, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini Kenya na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri.  Kwa sasa naendesha maisha yangu vizuri tu, nimefanikiwa kujenga na kuwekeza mradi mdogo wa kuuza mbao kwa ajili ya ujenzi maeneo ya mjini.  Licha ya umri wangu kuonekana kwenda, bado sijafanikiwa kuoa wala kuwa na mtoto katika maisha yangu, lakini ni kitu ambacho nilikitamani sana tangu nikiwa na umri wa miaka 22.  Tatizo langu kubwa lilikuwa ni kila mwanamke ninayemtongoza alikuwa akinikatalia licha ya kutoa ahadi ya maisha mazuri na fedha lakini bado hakuna aliyekuwa tayari kuwa na mimi.  Nilijaribu mbinu mbalimbali ili kuweza kufanikiwa katika hilo lakini sikuweza, niliwaomba hadi rafiki zangu waweze kunitongozea mwanamke wa kuwa naye lakini walikuwa wanakubali kwa hao rafiki zangu ila wakiniona wanakataa.  Siku moja niliona tangazo katika mtandao kuwa African Doctors an...

Epuka Mambo haya wakati wa ujauzito

Image
Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa baadhi kama ifuatavyo: Kunywa Pombe Mwanamke mjamzito hapaswi kunywa pombe. Unywaji wa pombe kwa mjamzito husababisha mjamzito kujifungua kabla ya muda, kuzaa watoto njiti (low birth weight babies), kuharibu mfumo wa ubongo au ufikiri wa mtoto na kuharibu mfumo wa viungo vya mwili vya mtoto. Kuzidisha kunywa vinywaji vya chai, Kahawa, Energy na vyakula vya Chokoleti (chocolate) Vinywaji vya Chai, kahawa, Energy na vyakula vya Chokoleti vina kilevi aina ya Caffeine, Utafiti wa kisayansi unasema kwamba kuzidisha sana kilevi cha Caffeine wakati wa ujauzito unaongeza uwezekano mkubwa wa kuharibu ujauzito (miscarriage). Kwa hiyo inatakiwa mjamzito apunguze matumizi ya vyakula hivi ili kunusuru ujauzito wake. Inatakiwa mjamzito anywe si zaidi ya kikombe kimoja cha chai au kahawa kwa siku, pia kwa upande wa vinywaji vya Energy inatakiwa mjamzito anywe si zaidi ya mls 250 kwa siku. Kula vyakula vya kupunguza uzito Mjamzito hap...

Nilipojua Baba anakaribia kufa nikamuomba msamaha

Image
  Jina langu ni Omolla kutoka katika kaunti ya Homa Bay, nilikuwa mtoto pekee katika familia yetu, wazazi wangu walinithamini sana na kwa mara nyingi hawakutaka jambo baya litoke katika maisha yangu kwa wakati wowote ule. Baada ya kufika katika Chuo Kikuu, hapo ndipo nilianza kutoelewana na Baba yangu, kwa mara nyingi hatukusikilizana na hata nilimdhalilisha kwa kuwa hakuwa amesoma hadi kufikia Chuo Kikuu kama vile mimi.  Nilisahau kwamba yeye ndiye aliyeniwezesha kupata elimu hiyo, chochote alichonieleza sikutilia maanani licha ya yeye kuwa Baba yangu mzazi, nilikuwa nikibishana naye mithili ya kijana mwingine tu wa rika yangu.  Tabia hiyo ilipelekea yeye kunitelekeza kabisa, ilifikia hatua ya kunitamkia waziwazi kwamba sikuwa mtoto wake kabisa na kwamba sikuwa kwenye hesabu zake kama mwanawe.  Mara kadhaa mama Mzazi alikuwa akijaribu kumaliza ugomvi  kati yetu lakini hakuweza kufanikiwa, wakati fulani Baba yangu aliugua sana na hata alionyesha ishara kwamba al...

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO 2023

Image
  Wanafunzi 56,132 Heslb wapata mkopo wa elimu ya juu awamu ya kwanza “Niwaombe wale ambao hawataona  majina yao katika awamu hii ya kwanza waendelee kuwa wavumilivu na kuwa na subira kwani kuna ‘batch’ awamu nyingine ambazo zitakuja,” ameongeza  MariaIdadi hiyo ni wale waliokidhi vigezo vilivyoainishwa na Heslb. Sh159.7 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi hao. Dar es Salaam . Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (Heslb) imetangaza orodha ya kwanza ya majina ya  wanafunzi 56,132 wa mwaka wa kwanza waliopata mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Mikopo hiyo yenye thamani ya Sh159.7 bilioni itawawezesha wanafunzi hao kugharamia ada za masomo pamoja na fedha za kujikimu katika awamu ya kwanza ya masomo inayotarajiwa kuanza wiki ijayo. Fedha hizo zilizotumika ni asilimia 21.8  ya Sh731 bilioni zilizoidhinishwa na Serikali ya awamu ya sita kunufaisha wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa ya kupata mkopo huo....

Ukichukua hatua hii utaongezwa mshahara kazini kwako!

Image
  Ukichukua hatua hii utaongezwa mshahara kazini kwako!  Jina langu ni Muriithi na tangu nilipoanza kufanya kazi katika shirika ambalo ninafanya kazi sasa, sikuwahi kupata nafasi ya kumvutia Bosi wangu, alikuwa mtu mgumu sana, kwa hivyo wakati mwingine ilikuwa vigumu kwangu kuelewana naye.  Kwa bahati wale ambao alioelewana naye ndio waliopatana nafasi ya kupandishwa daraja au kupata nyongeza ya mshahara, nilihisi kwamba hakuniona hata kidogo licha ya kazi nzuri nilizokuwa nafanya.  Niliamua kuwa mfanyakazi bora kwa kwenda kazini mapema, kufanya kazi zaidi na kufanya kazi hata masaa ya ziada lakini baada ya miezi michache, alimpandisha daraja mtu mwingine na kuniambia kuwa bado sijafika hatua hiyo.  Nilijisikia vibaya sana baada ya kusema hivyo, nilifikiria kuacha kazi kwa sababu nilikuwa nimefanya kazi katika kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu.  Nilimuita mwenzangu mmoja kazini na kumuuliza ni vipi nitafanya Bosi wangu anipendelee kwa kupandishwa daraj...

Mchezo niliomchezea Bosi hadi kuongezwa mshahara mara nne!

Image
  Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara nilikuwa nikituma maombi ya nyongeza ya mshahara lakini sikubahatika.  Kiukweli mshahara niliyokuwa napatiwa mwanzo hakuweza kukidhi mahitaji yangu ya kila siku maana ulikuwa ni mshahara wa wastani sana ambao wanaweza kufanya mambo ya kawaida tu katika maisha.  Basi kuna rafiki yangu ambaye alikuwa anafanya kazi ofisi tofauti na mimi aliniambia yeye aliweza kuongezwa mshahara na Bosi wake baada ya kupata usaidizi kutoka kwa African Doctors.  Aliniambia yeye alipambana sana kuomba nyongeza ya mshahara lakini Bosi wake alikataa hadi akafikia hatua ya kutaka kuacha  kazi hiyo lakini akafikiria akiacha kazi ni vigumu kwa yeye kwenda kupata kazi sehemu nyingine.  Ndipo alipopata namba ya African Doctors  kupitia tovuti yake ambayo ni africandoctorheals@gmail.com na kuwasiliana naye na kuweza kumpatia maisha mazuri kutokana...

MAHAFALI UDSM IDADI YA WAHITIMU WANAWAKE YAONGEZEKA JK ATOA NENO

Image
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne @jakayakikwete  amefurahishwa baada ya kuona idadi ya wahitimu wanawake chuoni hapo kufikia asilimia 54.7 na kuwashauri wanafunzi wanaume wafanye juhudi ili wasiachwe mbali sana na wenzao. Akiongea kabla ya kuhitimisha duru la pili la mahafali ya 53 ya chuo hicho, Dkt. Kikwete amesema kwamba kafurahishwa na kuona wanawake siku hizi wakiupiga mwingi na kuwataka vijana wa kiume walichukulie jambo hilo kama changamoto kwa wao kufanya vizuri zaidi kwenye masomo.  Katika mahafali hayo yalifofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jumla ya wahitimu 2796 walihudhurishwa ambapo 2700 walitunukiwa shahada za awali ikiwa ni wasichana 1488 na wavulana 1212. Jumla ya Stashahada 78 zilitolewa kwa wanaume 45 na wasichana 33, wakati wanaume 10 na wasichana wanane walitunukiwa Astashahada

MAELFU WAKUSANYIKA LONDON KUUNGA MKONO WAPALESTINA

Image
  Maelfu ya watu walikusanyika Jumamosi mjini London, Uingereza, kwa maandamano ya kuunga mkono Wapalestina kufuatia onyo la polisi kwamba mtu yeyote anayeunga mkono kundi la wanamgambo wa Hamas huenda akakamatwa. Waliohudhuria, ambao walikusanyika karibu na makao makuu ya shirika la habari la BBC , walianza kutembea katika barabara za mji huo kabla ya mkutano wa alasiri, karibu na bunge na afisi na makazi ya Waziri Mkuu Rishi Sunak ya Downing Street. Baadhi yao walipeperusha bendera na mabango ya Palestina -- yenye jumbe kama "uhuru kwa Palestina", "komesha mauaji" na "vikwazo kwa Israel" -- walipokuwa wakielekea eneo ambapo hotuba zilipangwa kutolewa. "Nadhani watu wote tu duniani kote, siyo tu nchini Uingereza, lazima wasimame na kutoa wito wa kukomeshwa kwa wazimu huu," Ismail Patel, mwenyekiti wa kampeni ya Friends of Al-Aqsa, aliliambia shirika la habari la AFP wakati wa maandamano hayo. "Vinginevyo, katika siku chache zi...

Kocha kiboko wa Yanga apewa mkono wa kwaheri

Image
  Klabu ya Ihefu ‘Mbogo Maji’ inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC, imempa mkonoo wa kwaheri kocha wake, Zuber Katwila. Katika taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo leo, Oktoba 14, 2023, Ihefu imeeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na kocha huyo. “Hata hivyo uongozi wa timu unamshukuru Kocha Katwila kwa wakati wote aliokua nasi ndani ya timu kama Kocha Mkuu tangu alipojiunga nasi mwaka 2020,” imesomeka taarifa ya klabu hiyo. Katwila akiwa Ihefu, amefanikiwa kuwafunga Yanga mara mbili mfululizo katika Uwanja wa Highland Estates, Mbarali ambapo mara ya kwanza ilikuwa ni msimu uliopita alipovunja ‘unbeaten’ ya Yanga na msimu huu

Moto mkubwa wateketeza majengo Kariakoo

Image
  Moto huo umetokea asubuhi ya Oktoba Mosi, 2023 eneo la Kariakoo Dar es Salaam ambapo umeripotiwa kuwaka kwenye zaidi ya Majengo 5 yenye Maduka likiwemo la Jengo la Big Bon ambalo ndani yake kuna ofisi za Bank of Africa (BoA) Imeelezwa Moto ulianzia eneo la Mnadani na kusambaa kwenye majengo mengine likiwemo jengo la Ghorofa 9 ambapo pia umeteketeza ghala la Pikipiki na baadhi ya Nyumba za Makazi ya Watu Jeshi la Zima Moto linaendelea na zoezi la uzimaji pamoja na kufanya uokoaji, hadi sasa bado haijafahamika athari za Kibinadamu na hasara iliyotokana na Moto huo. Endelea kufuatilia kurasa zetu, taarifa zaidi zitakujia muda mfupi ujao.