Posts

Showing posts from September, 2023

UDSM ARIS LOGIN

 The management of the University of Dar es Salaam (UDSM) has enabled its Undergraduate, Diploma, Postgraduate, Certificate, Masters, and P.h.D. programs students and staff login portal online. The University of Dar es Salaam (UDSM) ARIS login portal is created for newly admitted ( freshers ) and returning students of the University to create an account or log in to perform certain academic actions at ease, for example: Course Registration Fees Payment View Admission List/Status Tenders Checking of Semester Results Acceptance Fees Payment Procedures Transcript View Academic Calendar Almanac Extra Credit Hours Deferment of Admission etc. How To Change/Reset UDSM ARIS Login Password: ​ Have you forgotten your password to log in to the UDSM aris profile and/or school portal? Don’t worry, kindly follow these steps to retrieve or change your password: To start, go to the Portal Login screen Next, click on the  Forgot/Change Password link , fill and enter the required details Click ...

Alinipa uroda kamili kitandani ila kanitapeli fedha zangu

Image
Naitwa Moraa kutoka kaunti ya Kisii, nilikuwa mtu maarufu katika kaunti hiyo kwani kazi yangu ya kukodesha majumba makubwa ya kifahari ilinifanya kujulikana na watu wengi na iliweza kunipatia fedha nyingi sana.  Ilikuwa ni matamanio yangu kuwa na mpenzi kwani nilikuwa nimempoteza mume wangu kupitia ajali ya barabara miaka miwili tu baada kufunga ndoa. Hali ya upweke ilikuwa imenizidi na hapo niliona ulikuwa ni wakati mzuri wa kupata mtu wa kunituliza moyo kwani ndio maisha yalivyo.  Kupitia mtandao mmoja wa kutafuta wapenzi (dating site), nilimpata mwanaume mmoja mwenye asili ya Nigeria na hapo nikaona ni vizuri tuwe wapenzi alikuwa mtanashati kweli na aliniambia sharti nimtumie nauli kwani alikuwa mbali kidogo na kaunti ya Kisii lakini ukweli alikuwa tu nchini Kenya kwenye kaunti ya Nairobi. Nilimtumia nauli kwani nilikuwa na hela ajabu, nilikuwa natamani sana kuwa na mtu haswa wa kuniliwaza moyo wangu, Jamaa aliwasili kwenye kaunti ya Kisii hadi nyumbani kwangu. Aliwasili ny...

Jinsi mimi na mke wangu tulivyokuwa Waganga wa Jadi wenye mafanikio

Image
   Niliishi katika eneo la Busia magharibi mwa Kenya nikiwa kama Mganga wa Jadi au Mtaalam wa Tiba Asilia anayechipukia, baada ya miezi kadhaa kupita, kazi ile ilianza kunipa kipato kikubwa na hapo sikuwa na budi na kuacha kazi yangu ya kuuza mahindi.  Kila mtu kwenye kijiji chetu alinitambua kama Dokta Okello, ama kwa hakika kazi hii ilinipa umaarufu sana katika kijiji chetu na hata mara nyingi Wanahabari walikuja kushuhudia kazi zangu. Wezi walipatikana na bidhaa za watu zilirejea kutokana na kazi yangu hii, lakini kwa hakika sikuwa na ujuzi kabisa wa kazi hii, nilihitaji ujuzi wa Wataalam wengine wa Tiba Asilia ambao wangenisaidia kupata ujuzi zaidi.  Basi nilianza kutafuta usaidizi, nilizunguka Kenya nzima nikitafuta waliokuwa na ujuzi zaidi wala sikupata kwani walaghai pekee ndio waliokuwa wamejaa.  Tulifanya kazi ile na mke wangu kwani naye pia alikuwa ameipenda kazi ile kwani ilikuwa na kipato kizuri, lakini tulikuwa tayari tumekata tamaa, ndipo jamaa ait...

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI TRA

Image
  Mamlaka ya Mapato Tanzania ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.11 ya mwaka 1995, na ilianza  kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. Katika kutekeleza majukumu yake TRA inaongozwa na sheria  na ina jukumu la kusimamia kwa uadilifu ukusanyaji wa kodi mbalimbali za Serikali. TRA  inatekeleza mpango kazi wa sita (CP6:2022/23 - 2026/27) ikitekeleza Dira ya kuwa ‘‘Taasisi ya  Mapato Inayoaminika kwa Maendeleo ya Jamii na Kiuchumi’’ na Dhamira ya ‘‘Kurahisisha na  Kuimarisha Ulipaji Kodi wa Hiari kwa Maendeleo Endelevu’’ TRA inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023  mpaka 09 Juni, 2023 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia tarehe  24 September, 2023 na hatimaye kuwapatia barua ya ajira waombaji kazi watakaofaulu.  Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: - 1. Usaili utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye ratiba ikianisha siku, muda na sehemu.  2. Kil...

Google yashtakiwa kwa kusababisha kifo

Image
  Kampuni ya Google imeshtakiwa na Familia ya Philip Paxson ambaye kwa kufuatia ramani za Google aliendesha gari kwenye daraja lililoanguka na kupoteza maisha. Paxson alizama Septemba mwaka jana baada ya gari yake aina Jeep Gladiator kutumbukia katika daraja huko North Carolina,nchini Marekani. Alikuwa akirudi nyumbani kutoka kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 9 ya kuzaliwa kwa binti yake. Eneo alilokuwa akipita lilikuwa geni kwake ndipo ramani za Google zilipomuelekeza kuvuka daraja ambalo lilikuwa limeporomoka. Familia hiyo inaituhumu Google kwa uzembe, na kudai kuwa kwa takribani miaka mitano Kampuni hiyo ilikuwa ikipewa taarifa na watu kadhaa kuwa daraja hilo limeanguka na waliitaka irekebishe taarifa za ruti. Hata hivyo Kampuni hiyo haikurekebisha taarifa za ruti hiyo kwenye mfumo wa ramani. Kesi hiyo pia imezitaja kampuni kadhaa binafsi zilizokuwa na jukumu la kusimamia daraja na eneo hilo. Polisi walioukuta mwili wa mwanaume huyo kwenye gari yake iliyokuwa imepinduka na ku...

Pigo Kwa Wahubiri YouTube Ikitangaza Kufutilia Mbali Video Za ‘Maombi Ya Uponyaji Kansa

Image
  HUENDA ukawa umekutana video za maombi ya uponyaji katika mtandao wa kijamii haswa YouTube unapopekua. Video hizi huonyesha mgonjwa wa kansa, ukimwi au hata mtu mwenye ulemavu akiponywa baada ya kuamini. Huku video hizi zikinuiwa kutia watu nguvu na moyo wanapokuwa kwenye hali hii ngumu ya kiafya, wengi wamekataa kuzuru hospitali kutibiwa kwa kuamini ‘wataponywa.’ Ni kwa sababu ya upotoshaji huu ambao YouTube imeahidi kutoa video zote za uponyaji haswa ya magonjwa ya kansa mtandaoni katika wiki zijazo. Mtandao huo wa kijamii ulisema kuwa, “Kwa siku na wiki zijazo, tutaondoa video zote zinazoeleza kuhusu matibabu ya kansa ambazo si za kweli na zinapotosha wagonjwa kwa kuwafanya wasitafute matibabu.” Video hizo pia ni pamoja na zile zinazowashauri wagonjwa hao wa kansa kutumia kitunguu saumu au kula vyakula vyenye vitamini C badala ya kupata matibabu kwa njia ya mtambo wa kisasa unaotoa miale ya X-Ray kuua seli zinazosambaza saratani (radiotherapy). “Pia tutaweka kizuizi cha umri a...

TMDA: SIO SAHIHI KUMWAMBIA MGONJWA MEZA DAWA KUTWA MARA TATU

Image
  Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imesema sio sahihi kumwambia mgonjwa meza dawa kutwa mara tatu kwani kwa kufanya hivyo, inamfanya mgonjwa ameze dozi nzima ya dawa kwa mgawanyiko wa saa 12 pekee kitu ambacho sio sawa. Hayo yamesemwa na Mkaguzi wa Dawa kutoka TMDA Kanda ya Mashariki, Joy Hezekieh, alipokuwa akitoa elimu ya matumizi sahihi ya dawa kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kibiti mkoani Pwani. Joy amesema makosa hayo yamekuwa yakijitokeza kwa jamii na ikichukuliwa kuwa ni sahihi na ndio maana kwa sasa wameamua kutoa elimu kwa kuwafikia wanafunzi ambao wanaamini baadaye watakuwa mabalozi wazuri kwenye jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. “Mfano unakuta cheti cha dawa kimeandikwa 2x3, ambapo 2 inawakilisha idadi ya vidonge ambavyo mgonjwa anatakiwa kutumia kwa wakati huo na 3 inawakilisha muda, siku 1 ina masaa 24 ukigawanya kwa 3 unapata masaa 8, hivyo mgonjwa atatakiwa kutumia vidonge vyake kila baada ya s...

Shairi la dhifa Kwa waalimu wote

 KWA WALIMU WOTE Sikilizeni wimbo huu: Nilipokuwa mtoto niliitwa Chacha Kwa matamshi yangu ya sasa  Nilipokuwa kijana niliitwa Chaupele Nilipokuwa mtu mzima niliitwa Manywele Nilipokuwa mwalimu nikaitwa Bure. Huu utakuwa wimbo wako Utakapostaafu urudipo nyumbani Umelewa kangara na nyayo zako Zikishidwa kulenga njia nyembamba vijijini Utakuwa kichekesho kwa watoto watakao kuita Ticha popote upitapo Kumbuka mwalimu utakapostaafu. Mijusi watataga mayai ndani ya viatu Vyako vilivyokwisha visigino Na ndani ya sidiria chakavu Zilizoshikizwa kamba kwa pini. Mende watazaliana ndani ya chupa tupu Za marashi na za bia Na manyigu yatajenga ndani ya kofia Zilizosahaulika kutani. Utakapokufa nge watazaliana Chini ya jiwe juu ya kaburi lako, Na mlevi fulani akipita atapenga Na kupangusa vidole kwenye jiwe pweke. Mwanzo na mwisho wako ndio huo

Niliitwa tasa ila sasa nina mtoto wa kiume!

Image
  Nilikuwa katika ndoa na mume wangu, Barack ambaye tuliishi kwa amani na hakuna lolote liloonekana kwamba lingetutenganisha, kwa kweli  maisha yalikuwa mazuri hadi wakati ambapo niligundua kwamba sikuwa na uwezo wa kupata mtoto kwani nilikuwa tasa. Ni suala ambalo mume wangu alilipokea kwa hali nzuri kwani aliniahidi kwamba angenisaidia kwa hali yoyote kwani alikuwa ananipenda kama mke wake.  Siku zilisonga na ndugu wa mume wangu walianza kejeli, tulikuwa tukiishi na mume wangu nyumbani kwao na hivyo ndugu zake walikuwa karibu nasi kila wakati. Mara mama mkwe alianza kila mara ugomvi nami huku akifoka kwamba hakutaka kukaa na mwanamke tasa.  Ama kwa hakika nilifahamu huu ulikuwa ni uchokozi ambao mama mkwe wangu aliniletea, mara nyingi nilimsikia akiongea na mume wangu huku akimuliza ni lini ataanza kulipa karo ya shule kama wanaume wengine walivyokuwa wakifanya.  Hali ile ya kuwa tasa ilinipa kiwewe kwani hata mama mkwe alitaka mume wangu kunifukuza, sikujua n...

Matapeli warejesha fedha zangu huku wakila nyasi kama mbuzi!

Image
  Tuliishi katika mji wa Eldoret ambapo mume wangu alikuwa mfanyibiashara wa kuuza bidha za ujenzi, tuliifanya kazi ile na yeye kwani ilikuwa kazi ambayo tuliitegemea na kwa hakika ilituleta kipapo kizuri.  Jirani yetu Kamau pamoja na marafiki zake walikuja nyumbani siku moja huku wakiwa na ajenda kwamba walikuwa wakijua mahali ambapo tungepata bidhaa za ujenzi za kuuza na ambazo zilikua bei rahisi. Mimi na mume wangu hatukusita kwani tulipokea suala lile kwa mikono yote kwani ingeturahisishia mambo katika biashara yetu, walisema kwamba bidhaa zile zingegharimu takribani Ksh100,000 tu.  Basi Kamau alitaka zile pesa kwa wakati ule na mume wangu hakusita kwani alimuandikia hundi mara moja na kumkabidhi, ilikuwa bidhaa zile zifike baada ya wiki moja. Wiki moja hiyo ilikamilika na bidhaa zile hazikuwa zimeingia na kila tulipojaribu kumpigia simu ya Kamau haikupatikana. Tuliripoti kwenye kituo cha PolisI, wakatoa hakikisho kwamba wangeanzisha uchunguzi wa kumtafuta alikokuwa n...

Nimepata kazi ya ndoto zangu kupitia mtu huyu!

Image
  Naitwa Hezbon, lengo langu maishani lilikuwa ni kuwa Daktari, nilifanikiwa kuhitimu Chuo kimoja Kikuu nchini Kenya ambapo nilikuwa nimesomea Udaktari. Ila hali ilikuwa ngumu kwani kila mahali nilipopeleka barua zangu za kuomba kazi mara waliniambia kwamba hapakuwa na nafasi ama mara nyingine walisema kuwa walitaka niwe na uzoefu wa miaka kama minne.  Miaka mitatu ilipita na hali ilikuwa ni ile ile tu ya mahangiako ya kutafuta kazi kila mara, Hospitali zingine zilitaka niangie mfukoni ili niwahonge ndipo waweze kunipa ajira lakini sikuwa na chochote.  Nilijipiga moyo konde na kuamini kwamba siku moja ningekuja kupata ajira licha ya changamoto hizo, wazazi wangu hawakuwa na mali au utajiri wowote ambao wangetumia ili kunitafutia ajira.  Ilifikia wakati ambapo niliona kama maisha yalikuwa na upendeleo kwa wengine kwa sababu marafiki zangu wengi ambao tulisoma nao walikuwa washapata ajira.  Hata hivyo, nilijua ipo siku moja nitakuja kupata ajira na maisha yangu ya...

Mchezaji mpya Simba kurejea kwao , Maheraha ya Tajwa

Image
  UONGOZI wa Simba, upo katika mipango ya kumruhusu kiungo wao, Muivory Coast, Aubin Kramo, kurejea nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu ya majeraha yake ya goti. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kiungo huyo, ajitoneshe majeraha hayo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC uliochezwa Simba Mo Arena, Bunju, Dar, wikiendi iliyopita. Katika mchezo huo, Simba walibuka na ushindi wa mabao 6-0 ambao kiungo huyo alitolewa katika dakika 42 baada ya kujitonesha jeraha hilo linalomsumbua tangu ajiunge na timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, kiungo huyo juzi alikutana na uongozi wa timu hiyo, na kuomba arejee kwao kwa ajili ya matibabu hayo ya goti. Mtoa taarifa huyo alisema, uongozi unafikiria kumruhusu kiungo arejee kwao, licha ya hivi sasa kusubiria vipimo vya MRI, ili kufahamu ukubwa wa tatizo lake. “Jeraha hilo la goti limekuwa likimsumbua mara kwa mara tangu Kramo ajiunge na timu, hivyo hivi sasa yupo katika mazungumzo na uongozi kwa ajili ya kupewa ruhusa ya ...

Mume alikuwa anakula Tunda mara moja kwa wiki ila sasa ni kila siku jamani!

Image
   Jina langu ni Anna, tulifunga ndoa na mume wangu Ben, kwa hakika maisha yalikuwa mazuri kwani  alikuwa mwenye mapenzi na mtu ambaye alikuwa mchangamfu katika kila hali, katika siku zetu za kuchumbiana alikuwa ni mtu ambaye anajali sana.  Hali hii ilianza kubadilika ambapo mume wangu pole pole alianza kuwa mwenye dharau nisijue ni lipi zuri ambalo sikufanya kwake, alianza kuja nyumbani akiwa amenuna na hata wakati mwingine hakuzungumza na mimi.  Kila wakati alifika nyumbani na kujitupa kwenye kochi bila hata ya kuzungumza chochote, suala lililonitia wasiwasi kama mke. Akilini nilijiambia labda alikuwa keshapata mrembo mwingine ambaye alikuwa ndiye mpango wa kando.  Lakini ni vipi mpango wa kando wake alikuwa na mapenzi kuliko mimi ambaye nilimuelewa mume wangu? Nilifanya uchunguzi wala sikubaini chochote ambacho mume wangu alikuwa akikasirikia kila mara.  Pesa alikuwa nazo, na mimi pia nilimsaidia kukimu majukumu kadhaa ya nyumbani kwani nilikuwa na ...

NMB BANK YASHIKA NAFASI YA TATU AFRICA MASHARIKI UTENGENEZAJI WA FAIDA KUBWA

Image
  Benki ya NMB imeshika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa faida katika ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na mafanikio yake kiutendaji hasa ufanisi katika uendeshaji na utoaji wa huduma bora za kibenki nchini. Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu benki hiyo imeweza kutengeneza faida baada ya kodi ya Shilingi Bilioni 262 ikiwa ni ongezeko la asilimia 27 ukilinganisha na nusu ya kwanza ya mwaka 2022. Kutokana na kutengeneza kiasi hicho cha faida, NMB imeweza kushika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa faida kati ya mabenki yote ndani ya ukanda huu wa Afrika Mashariki, ikitanguliwa na Benki ya Equity pamoja na Benki ya KCB zote kutoka nchini Kenya ambazo zimepata faida ya TZS bilioni 430 na TZS bilion 264 mtawalia. NMB imepanda kutoka nafasi ya 10 mwaka 2018 hadi kufikia nafasi ya tatu sasa. Takwimu na uchambuzi wa hivi karibuni wa masoko ya hisa katika ukanda huu unaonyesha kuwa taasisi hiyo kubwa ya fedha nchini yenye mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh Trilioni 11 imekua sana kiushindani...

Mtu huyu amewezesha watu wengi kuwa matajiri!

Image
  African Doctor ni mtaalam maarufu sana katika eneo zima la Afrika Mashariki ambaye ana ueledi mkubwa katika kutibu na kusuluhisha shida mbali mbali katika maisha yako ambazo kwa wakati mwingine zinaweza kuwa kikwazo kwako.  Tofauti na wataalam wengine wa mitishamba, African Doctor ana ueledi mkubwa na iwapo utamtembelea Ofisini kwake mjini Nakuru basi shida zako zitasuluhishwa haraka. Yeye hawezi kukutapeli kwani tiba zake na baadhi ya dawa zake zimeweza kusaidia watu wengi katika maisha yao.  Ana uwezo wa kukupa bahati maishani kwani yeye hukutabiria, amewezesha watu wengi zaidi kuwa mamilionea kwa kuwapa kipawa na uwezo wa kubashiri mechi na kubadilisha maisha yao.  Hii imethibitika kwa shuhuda nyingi ambazo zinapatikana kwenye tovuti yake; www.african-doctors.com African Doctor pia ana uwezo wa kukuponya kutokana na magonjwa ya zinaa ambayo wakati mwingi yanaweza kuwa tishio katika maisha yako.  Usiwe mwepesi wa kupoteza imani iwapo una baadhi ya magonjwa y...

KIJANA ALIYETOBOA MAISHA BAADA YA KUKOSA AJIRA

Image
Wakati wengine wakilalamikia kwamba maisha ni magumu na hakuna ajira, kijana Richard yeye aliamua kujiongeza baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Dares Salaam na kukosa ajira. Richard anaeleza kwamba aliamua kuwekeza kwenye kilimo cha vitunguu ambacho kimemfanya atoboe kimaisha, hivi sasa akiwa anafanya biashara ya kuuza magari, akimiliki ‘yard’ yake ya  @troni_motors . Credit : GP

Mtoto wangu ameingizwa kwenye chama cha kuabudu Mashetani

Image
  Watu wengi husema kwamba nguvu za kishetani hazipo kabisa lakini hilo si kweli kwa maana mwanangu wa kiume alionyesha kuwa nguvu hizo zipo. Tuliishi na kijana wangu ambapo nilikuwa mama mjane hii ni baada ya mume wangu kufariki kutokana na ajali ya barabarani.  Maisha yalikuwa si shwari kabisa kwani kila mara aliniuliza alipokuwa Baba yake kwani marehemu mume wangu alifariki dunia wakati mtoto wetu wa pekee akiwa mdogo sana.  Alipofika darasa la saba hali yake ilianza kubadilika sana, maongezi yake yalibadilika kwani alianza kuwa mwenye hasira, alikuwa akisoma shule ya kulala katika mji wa Mombasa nami nilikuwa naishi Nairobi.  Tulikutana wakati wa likizo tu,wakiwa katika mapumziko nilipata fursa ya kuzungumza naye kama mama yake na baba kwa wakati mmoja kwani mimi ndiye mzazi wake wa pekee niliyekuwa nimesalia. Nilishangazwa wakati mmoja alipofunga shule na kuja nyumbani ambapo kila alipoenda kulala, sauti kama aliongea na mtu mwingine chumbani mwake. Siku moja sa...

FALSAFA YA UBUNTU NA FAIDA ZAKE KATIKA JAMII

Image
  Ubuntu   ni   falsafa   ya Kiafrika inayosisitiza mahusiano na ushirikiano wa   jamii   kama msingi wa   maisha   bora na   amani   katika jamii. Falsafa hii inaonesha nafasi ya mtu katika jamii iliyomzunguka. Ushirikiano ni njia bora ya kuishi kama jamii kuliko   ubinafsi . (Kwa mujibu wa Wikipedia) Sanamu ya tembo yenye mchoro wa Ubuntu, Florianópolis, Brazil Neno Ubuntu limetoka kwenye lugha za Kizulu na Kixhosa za Afrika Kusini. Neno la Kihaya "Obuntu" au kwa Kiswahili "utu" linabeba, kwa kiasi fulani, maana ya neno Ubuntu. Falsafa ya Ubuntu imetokana na mila na utamaduni wa Kiafrika ambao umejengwa juu ya maslahi ya jamii zaidi ya maslahi ya mtu binafsi. Msingi wa falsafa hii ni, "mtu si mtu bila watu," kwa Kizulu, "Umuntu ngumuntu ngabantu." Kwa Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu" kwa kichagga , "mndu Ni mndu ku bila Vandu" B...

MASWALI YA USAILI WATENDAJI WA KIJIJI NA MTAA

 Hapa tumekuwekea MASWALI ya usaili yanayoulizwa Mara kwa Mara kwa waombaji wanaoitwa kwenye usaili nafasi za kazi utendaji wa Kijiji na mtaa. MASWALI haya yatakusaidia kujipanga vyema na kujiandaa na usaili katika  kutafuta nafasi za utendaji wa Kijiji. Chamuhimu unapaswa kufahamu mambo kadhaa kabla ya kuingia katika usaili kuhusu nafasi uliyoomba ya utendaji wa Kijiji au mtaa. ORODHA YA MASWALI YA USAILI MTENDAJI WA KIJIJI AU MTENDAJI WA MTAA. MASWALI NA MAJIBU YA USAILI UTENDAJI MBALIMBALI ZILIZOFANYIKA MAENEO YA HALIMASHAURI, MANISIPAA PAMOJA NA MAJIJI MBALIMBALI NCHINI TANZANIA KATIKA NAFASI YA KAZI YA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU. 1. Kila Afisa mtendaji wa kijiji anatakiwa kutunza daftari la mali za kudumu, Daftari hilo litaonyesha mambo gani? yaeleze kwa upana. a) Aina ya mali ya kudumu, hati na mahali ilipo. b) Jina la mmiliki. c) Gharama ya mali ya kudumu. d) Tarehe ya kununulia mali ya kudumu. e) Ongezeko la thamani ya mali ya kudumu. f) Mauzo na taari...