KIJANA ALIYETOBOA MAISHA BAADA YA KUKOSA AJIRA
Wakati wengine wakilalamikia kwamba maisha ni magumu na hakuna ajira, kijana Richard yeye aliamua kujiongeza baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Dares Salaam na kukosa ajira.
Richard anaeleza kwamba aliamua kuwekeza kwenye kilimo cha vitunguu ambacho kimemfanya atoboe kimaisha, hivi sasa akiwa anafanya biashara ya kuuza magari, akimiliki ‘yard’ yake ya @troni_motors.
Credit : GP
Comments
Post a Comment