Posts

Showing posts from August, 2022

KENYA: RUTO HAKUPATA ASILIMIA 50+1 YA KURA

Image
Majaji wa Mahakama ya Juu nchini Kenya. Picha na Tuko. Majaji wa mahakama ya Juu nchini Kenya, wanaendelea kusikiliza ushahidi na mawasilisho ya upande wa mgombeaji wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga, kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Wakili wa Raila, James Orengo tayari amewasilisha stakabadhi za ushahidi kuonyesha kwamba William Ruto hakupata asilimia 50+1 ya kura zilizopigwa kama ilivyotangazwa na mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC), Wafula Chebukati. Amesema, kulikuwa na tofauti ya idadi ya wapiga kura ambao mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati alitangaza kwamba walijitokeza kupiga kura hivyo kuleta sintofahamu katika ujumlishaji wa matokeo ya ujumla. Orengo, pia amedai kulikuwa na mkanganyiko wa kura kuondolewa kutoka kwa Raila na kuongezwa kwa mpinzani wake William Ruto, ili kuhakikisha kwamba anaafikia kiasi cha idadi ya kura zinazohitajika na kutangazwa mshindi.

Nilivyofunzwa Kuvutia Utajiri kw a Boma Langu

Image
  Usitamani tu kushika pesa bila kujuwa ni vipi matajiri wanafanya ili wawe matajiri vile  walivyo sasa. Lakini usijali sababu nitafunza leo kikamilifu. Kumbuka wengi wanaoishi maisha ya kifahari wanashinda wakiendelea na kubarikiwa  kila kuchao huku maskini wakiendelea kuwa maskini. Ni kwa nini? Hii inatokana na  hali ya kwamba maskini wengi wanaishi maisha ya ufukara sababu wanakosa maarifa ya  kupigana na umaskini huo. Mimi nilikwa hivyo hivyo kwa miaka mingi hadi pale shangazi yangu mmoja kutoka  huko Pwani aliponitemeblea na kuniibia siri kubwa ya utajiri ambayo hata wanasiasa  wengi hutumia ili kuafikia malengo na ndoto zao za kimaisha. Rafiki yangu mpendwa nataka kukuambia kuwa vile tu unavyopambana na magonjwa  ndivyo unavyopaswa kupambana na umaskini manake umaskini ni ugonjwa tena mbaya  sasa. Bila pesa hata mke wako mwenyewe hawezi kukuheshimu sawa na jamii yako.  Ndugu au dada zako hawatakueshimu vilevile.  Yote tisa kum...

WALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI SERIKALINI

Image
  Call For Interview  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI BMC, ORCI, KCMC, BMH, MOI, TMA, ERB, TAWIRI, BAKITA, NACTEVET, IAA NA WIZARA YA ELIMU 30-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TIA, LGTI, AQRB, GCLA, MPRU, NIMR, WMA, GPSA, TAFORI, PURA,PCT, NARCO, LST, WI,EGA NA ISW 30-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU MZUMBE 28-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI HANDENI 28-08-2022

Breaking News: Mahakama ya Juu Kenya Yaamuru Kura za Urais Kuhesabiwa Upya

Image
Mgombea Urais Raila Odinga akiwa Mahakamani MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imeamuru kuhesabiwa upya kwa kura za urais katika vituo 15 kote nchini humo, zoezi ambalo limepangwa kuanza mchana wa leo Jumanne, Agosti 30, 2022 katika eneo lisilojulikana na litachukua saa 48 kuhakiki kura hizo.   Zoezi hilo linatarajiwa kukamilika Alhamisi saa mbili usiku na ripoti kuwasilishwa mahakamani. Kila upande utawakilishwa na mawakala wawili wakati wa mazoezi na wakati mwingine watakuwa chini ya usimamizi wa Msajili wa Mahakama ya Juu na wafanyakazi wake.   Msajili atawasilisha ripoti yake kabla ya saa kumi na moja jioni mnamo Septemba 1, 2022, na kutoa nakala kwa wahusika wote. Majaji wa Mahakama Kuu nchini Kenya Vituo vya kupigia kura ni pamoja na Nandi Hills na Shule ya Msingi ya Sinendeti huko Nandi, Belgut, Kapsuser na Shule za Msingi za Chepkutum katika Kaunti ya Kericho; Vituo vya Kupigia Kura vya Jomvi, Mikindani na Wizara ya Maji katika Kaunti ya Mombasa; Shule za Msingi za Mvita, Ma...

TANZANIA NA QATAR ZAJADILI AJIRA WAKATI WA KOMBE LA DUNIA

Image
Tanzania imeihakikishia Qatar kuwa ipo tayari kutoa vijana watakaoweza  kufanya kazi nchini humo, hususan katika kipindi hiki ambacho mahitaji ya nguvukazi ni makubwa kutokana na nchi hiyo kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa  Kombe la Dunia yatakayochezwa mwezi Novemba 2022.   Hayo yameelezwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar, Dkt. Ahmad Hassan Al-Hamadi yaliyofanyika kwenye Ofisi za Wizara hiyo Jijini Doha, Qatar tarehe 28 Agosti 2022.  Mazungumzo hayo yamefanyika ikiwa ni moja ya utekelezaji wa Mkataba wa Kazi uliosainiwa kati ya Tanzania na Qatar mwaka 2014.   “Tunawapongeza Qatar kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA litakaloanza mwezi Novemba mwaka huu. Aidha, napenda kukufahamisha kuwa Tanzania imewaandaa vijana wake  wenye ujuzi na hivyo tunaomba kupata nafasi za ajira na za viza (visa allocat...

VIDEO | Barnaba Ft. Diamond Platnumz – Hadithi

Image
  <span data-mce-type="bookmark" style="display: inline-block; width: 0px; overflow: hidden; line-height: 0;" class="mce_SELRES_start"></span>

AUDIO | Billnass Ft. Rayvanny – Utaonaje | Download

Image
Download | Billnass Ft. Rayvanny – Utaonaje [Mp3 Audio]

ASILIMIA 10 YA KODI YA PANGO YAWA GUMZO:

Image
  Wakati suala la wapangishaji wa nyumba kutakiwa kulipa asilimia 10 ya kodi yao kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) likizidi kuwa gumzo nchini, Serikali imesema itaendelea kutekeleza matakwa ya sheria hiyo huku pia ikipokea maoni ya wadau.  Wakati huo huo Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imetoa ufafanuzi juu ya kodi ya pango kwa kueleza siyo kodi mpya bali imeongezwa wigo kutoka kwenye nyumba za biashara hadi nyumba za kawaida za kupangisha. TRA imesema mabadiliko haya yametokea kwenye kifungu cha 82(2)(a) cha sheria ya kodi ya mapato sura 332 kilichokuwa kinawataka wapangaji ambao ni wafanyabiashara wawakate wenye nyumba asilimia 10 ya pato. Na kwa mabadiliko hayo, sasa kipengele hicho kitamtaka kila mwenye nyumba anayepangisha aweze kuchangia Serikali 10 ya mapato yake ya ada za pango. Nini maoni yako katika utekelezaji wa Takwa hili la Sheria?

Mambo ya kufanya ikiwa hautahesabiwa ndani ya siku saba

Image
  Dar es salaam . Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hawajahesabiwa na unafikiri unaweza usipate fursa hiyo katika muda uliopangwa wa siku saba, ondoa shaka maana kila mtu atafikiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi. Zoezi la hilo linalolenga kupata taarifa na data muhimu kuhusu watu  na makazi lilizinduliwa Agosti 23, 2022 na linatarajiwa kuendelea hadi Agosti 29 mwaka huu Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar.  Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Anna Makinda aliyekuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana Agosti 24 amesema amewaelekeza waratibu wa sensa wa mikoa na wilaya kuandaa namba maalum itakayotumika na watakaokuwa hawajahesabiwa baada ya Agosti 29. Hatua hiyo itasaidia wananchi ambao hawajahesabiwa kufikiwa katika maeneo yao na kutimiza wajibu wa kuhesabiwa. “Napenda pia kutoa wito kwa waratibu wa sensa wa mikoa na wilaya kuhakikisha kuwa wanaandaa utaratibu wa kuwa na namba rasmi ya simu ambayo wananchi wataitumia kupiga simu kama wa...

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI SERIKALINI

Image
  Call For Interview  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 26-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MSALALA DC 26-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 25-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KONGWA DC 25-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TANGA CC 25-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA 25-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MISUNGWI DC 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUSOMA MC 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI IKUNGI DC 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KONDOA DC 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI KONDOA 24-08-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE ...

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Limetangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi Hilo kwa Kujitolea

Image
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kwa Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa kujitolea. Brigedia Jenerali Mabena amesema zoezi la kutuma maombi linaanza rasmi leo Agosti 25, 2022 na litaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa ya waombaji husika. Aidha amebainisha kuwa Jeshi hilo halitoi ajira na wala halitahusika kuwatafutia vijana ajira kwa wale watakaofanikiwa kupata fursa ya kujiunga kujitolea katika Jeshi hilo

TANZIA: MWANASIASA MKONGWE AUGUSTINO MREMA AFARIKI DUNIA

Image
  Mwanasiasa Mkongwe nchini Tanzania, Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Msemaji wa H ospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) , Aminieli Eligaisha amesema, Mrema alilazwa hospitalini hapo kuanzia Agosti 16,2022 na kufikwa na mauti asubuhi ya leo Jumapili Agosti 21,2022 saa 12: 15. Mrema alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro na amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, mgombea urais kupitia NCCR-Mageuzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amewahi kuwa Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Temeke (NCCR Mageuzi) na Vunjo kupitia TLP na hadi amefikwa na mauti alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole

Lead Primary School Teachers Opportunities at Christ Church International School

Image
    Job Overview Lead Primary School Teachers Arusha Christ Church International School Christ Church International School is a vibrant primary school community in Arusha, Tanzania. Seeking enthusiastic teachers with a heart for Christian education! CCIS is now accepting applications for a primary school Lead Teacher to start in August 2022. Applicants must be willing to teach on-campus (in Tanzania). If necessary, online learning platforms may be utilized through distance learning teaching models. This quaint school with approximately 100 students (ages 3-14) is located in the foothills of majestic Mount Meru in the gateway city to the natural wonders of several of Tanzania’s wildlife parks and Mount Kilimanjaro. We Are Looking For Experienced Teachers Who Are Passionate about teaching children from around the world Excited about contributing to the development of a Christian international school Eager to collaborate with teachers, staff, parent...

JAMAA AKATA NYETI ZAKE AKIOTA ANACHINJA MBUZI

Image
Mwanaume mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzikata sehemu zake za siri na kisu ndotoni, baada ya kuota anachinja mbuzi kwa ajili ya kumsaidia mke wake kuandaa chakula cha jioni. Tukio hilo limetokea Agosti 12, 2022, na kusema kwamba baadaye alikuja kushtuka na kugundua kwamba alikuwa akizikata sehemu zake za siri badala ya mbuzi kama alivyokuwa anaota. Imeelezwa kwamba mke wa mwanaume huyo hakuwepo nyumbani na ndipo alipopigiwa simu na majirani zake kumuarifu kwamba mume wake amejeruhiwa na ndipo alipowahi kurudi nyumbani na kumkuta amezishikilia sehemu zake za siri na kisha kumpeleka hospitali.

RUTO ASHINDA URAIS KENYA

Image
  Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila Odinga kutoka Chama cha Azimio la Umoja

Sales and Marketing Job Opportunity at Soila PLC

Image
    Job Overview Sales and Marketing   Morogoro Soila PLC We’re a Public Company aiming to Bring Solutions to Investors in livestock and Agriculture Qualifications: Bachelor degree/Diploma in marketing ,business or related field Knowledge of modern marketing techniques Proven work experience as a sales and marketing (not less than 2 years) High level communication and net working skills A passion for sales Understanding of Commercial trends and marketing strategies Good project management skill Excellent interpersonal skill Ability to work well under pressure MODE OF APPLICATION Submit your CV accompanied with cover letter of motivation written in English with three referees send via email below before 20/08/2022 SEND YOUR CV & COVER LETTER TO: Email: hr@soila.co.tz

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KENYA IEBC

Image
  Time ya uchaguzi na mipaka IEBC inatarajia kutoa matokeo ya jumla ya ngazi ya uraisi ukiofanyika juzi. Mpaka sasa bado vituo kadhaa havijamaliza zoezi la kuhesabu kura. Mpaka sasa Makamu wa Rais Willium Samoei Ruto nduye anayeongoza kwa karibu Akifuatiwa na KINARA wa Azimio Ndugu Raila Odinga. Matokeo YA uraisi ni Kama hayatabiriki baada ya mchuano mkali na kukabana Koo kwa wagombea Hawa wawili. Hata hivyo Mgombea wa kiti hicho Cha uraisi bwana Raila Odinga tayari anaongoza kwa wingi wa viti bungeni hivyo endapo atashinda urais haitakuwa vigumu kwake kuingiza serikali hasa katika wakati wa kupitisha bajeti na miswada mbalimbali. Nini kitatokea iwapo watalingana kura au mmojawapo kutofikisha 51% kwamujibu wa katiba ya Kenya endapo Mgombea hatafikisha kiwango hicho katika ngazi ya Uraisi Basi uchaguzi utarudiwa Tena. Kwa Mujibu wa tuko.co.ke Matokeo ya Leo mchana yalikuwa Kama ifuatavyo, 12:27 PM William Ruto leads Raila Odinga with 68k votes UDA’s William Ruto is leading Azimio’s ...

PACHA WAPILI ALIYETANGANISHWA MUHIMBILI NAYE AFARIKI

Image
  Dar es Salaam. Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Rehema amefariki dunia siku 32 baadaye tangu kifo cha pacha wake ‘Neema’ kilichotokea Julai 10 mwaka huu. Neema alifariki dunia baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa ICU. Pacha huyo alizikwa Julai 14 katika makaburi ya Ulongoni B yaliyopo Gongo la Mboto. Akizungumza na Mwananchi leo Agosti 12, 2022 Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kwa umma, Muhimbili, Aminiel Aligaesha amethibitisha kutokea kwa kifo hicho. “Ni kweli Rehema alifariki jana.” Bibi wa Pacha hao Dorica Josiah amesema amepokea taarifa hiyo kwa masikitiko makubwa kwani hali ya mtoto huyo ilikuwa ikiendelea vizuri lakini siku chache nyuma ilibadilika ghafla baada ya kupata shida ya mapafu. Pacha hao Rehema na Neema walitenganishwa Julai Mosi mwaka huu upasuaji uliofanyika kwa ush...

Kila baada ya dakika tatu, msichana mmoja anaambukizwa VVU

Image
Ni wasichana wa umri wa miaka 15 hadi 24 wanaoishi Kusini mwa Jangwa la Sahara. Dar es Salaam . Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, nguvu kubwa ielekezwe kuwalinda wasichana ambao wamekuwa wahanga wa ugonjwa huo. ​ Kwa mujibu wa  ripoti ya masuala ya Ukimwi duniani ya mwaka 2022 inayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi Duniani (UNAIDS), wanawake na wasichana wapo hatarini kupata maambukizi ya VVU kuliko wenzao wa kiume. “Kila dakika tatu (wasichana) wana uwezekano wa kupata VVU mara tatu zaidi ya vijana wa kiume wa rika moja Kusini mwa Jangwa la Sahara,” imesema ripoti hiyo.  Ripoti hiyo imeshauri wadau wa masuala ya afya kuongeza kasi ya kuwafikia wasichana kwa elimu sahihi ya masuala ya uzazi na namna wanavyoweza kujikinga wasipate ugonjwa huo. Hatua hiyo itasaidia wasichana kutimiza ndoto zao ikiwemo kujikwamua kiuchumi na kielimu.