Skip to main content

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Limetangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi Hilo kwa Kujitolea


Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kupitia kwa Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa kujitolea.

Brigedia Jenerali Mabena amesema zoezi la kutuma maombi linaanza rasmi leo Agosti 25, 2022 na litaratibiwa na Ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa ya waombaji husika.

Aidha amebainisha kuwa Jeshi hilo halitoi ajira na wala halitahusika kuwatafutia vijana ajira kwa wale watakaofanikiwa kupata fursa ya kujiunga kujitolea katika Jeshi hilo

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?