Time ya uchaguzi na mipaka IEBC inatarajia kutoa matokeo ya jumla ya ngazi ya uraisi ukiofanyika juzi. Mpaka sasa bado vituo kadhaa havijamaliza zoezi la kuhesabu kura.

Mpaka sasa Makamu wa Rais Willium Samoei Ruto nduye anayeongoza kwa karibu Akifuatiwa na KINARA wa Azimio Ndugu Raila Odinga.


Matokeo YA uraisi ni Kama hayatabiriki baada ya mchuano mkali na kukabana Koo kwa wagombea Hawa wawili.

Hata hivyo Mgombea wa kiti hicho Cha uraisi bwana Raila Odinga tayari anaongoza kwa wingi wa viti bungeni hivyo endapo atashinda urais haitakuwa vigumu kwake kuingiza serikali hasa katika wakati wa kupitisha bajeti na miswada mbalimbali.


Nini kitatokea iwapo watalingana kura au mmojawapo kutofikisha 51% kwamujibu wa katiba ya Kenya endapo Mgombea hatafikisha kiwango hicho katika ngazi ya Uraisi Basi uchaguzi utarudiwa Tena.


Kwa Mujibu wa tuko.co.ke Matokeo ya Leo mchana yalikuwa Kama ifuatavyo,

12:27 PM William Ruto leads Raila Odinga with 68k votes UDA’s William Ruto is leading Azimio’s Raila Odinga with 68,303 votes in the provisional presidential results. Ruto has 6,702,438 votes (49.92%) while Raila comes in second with 6,634,135 votes (49.41%). Roots Party candidate George Wajackoyah is third with 59,449 votes (0.44%). Agano’s David Waihiga is ranked last with 31,265 votes (0.23%). Total votes cast: 13,427,287. According to nation.africa, the results have been tallied from 41,417 out of 46,229 polling stations. Read more: https://www.tuko.co.ke/kenya/467042-elections-results-raila-odinga-william-ruto-locked-tight-presidential-race/



Tembelea Iebc.or.ke