Posts

Showing posts from January, 2017

Jinsi ya kuongeza Akili ya mwanao

Image
Unashangaa? Yes, unaweza kumfanya mwanao awe smart kwa chakula tu! Ndio coz kuna vyakula vinarutubisha ubongo kuliko vingine, sasa ukivikazania hivyo utakuta mwanao anakua smart kuliko wengine wasiokula vyakula hivyo. Huamini? Basi bonyeza hapo palipoandikwa bofya hapa utiririke namie. Siri iko kwenye kifungua kinywa! Kibongobongo tunaita chai, ila kwa Kiswahili sanifu ni kifungua kinywa. Hiki wataalam wanasema kazi yake si kufungua kinywa tu, hata ubongo unafunguka. Tafiti zinaonyesha kuwa watoto wanaopata kifungua kinywa wanafanya vizuri kwenye test za kuangalia attention na kumbukumbu, kuliko wale wasiopata kifungua kinywa. Na wote tunajua, attention darasani ndio inamfanya mtoto aelewe, afu kumbukumbu ndio inamfanya afanye vizuri kwenye mtihani au hata application ya vitu alivyojifunza baadae. So bila hivyo vitu viwili mtoto kufanya vizuri darasani si rahisi. Kwa nini chai/kifungua kinywa? Kwa sababu chakula ndio mafuta ya miili yetu, sasa mtoto anamka mafuta yamepungua, inabidi ...

NAFASI ZA KAZI STAMIGOLG COMPANY LIMITED

Image
STAMIGOLD COMPANY LIMITED JOB VACANCY JOB TITLE: PROCUREMENT OFFICER (2) POSTS Reporting Line: Head Procurement Management Unit Work Roster: 6/3(42 days on, 21 days off) Contract Duration: Not exceeding 24 months, Subject to Renewal Position Objective To ensure that at organization level, there is fair application in all procurement process, competitive, transparent, non-discriminatory and value for money procurement to administer resources allocated to PMU, provide technical and operational advice to the Stamigold Company Limited in conformity with Public Procurement Act. Its Regulations and Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) Guidelines. Specific Duties and Responsibilities • To prepare, coordinate and implement Annual Procurement and disposal plans; • To assist in reviewing the Procurement Plan in collaboration with PMU staff and update it when required to reflect new development in plan and possible changes in dates, lots, procurement methods etc. • To prepare a...

Nafasi za kazi East Africa Community

Image
EAST AFRICAN COMMUNITY JOB OPPORTUNITIES The East African Community is a regional intergovernmental organization comprising the Republic of Burundi, the Republic of Kenya, the Republic of Rwanda, the United Republic of Tanzania, and the Republic of Uganda with its headquarters in Arusha, Tanzania. The Treaty for the Establishment of the East African Community provides that the partner states agree to establish a Customs Union, details of which shall be contained in protocol which shall, inter alia, include Competition. The protocols on the Establishment of the East African Community Customs Union and Common Market regulate Competition matters. The EAC Competition Act, 2006 established the East African community Competition in the Community, consumer welfare and for related matters. This is an exciting opportunity for highly motivated and result-driven professionals who are citizens of East African Community Partner states (Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania and Uganda) to apply for the f...

Nafasi za kazi CRDB

Image
CRDB BANK THE BANK THAT LISTENS JOB TITLE: INDEPENDENT DIRECTOR CRDB Bank PLC is a leading, private commercial bank in Tanzania. Established in 1996, the Bank has grown and prospered over the years to become the most innovative and trusted bank in the country. The Bank reached an important milestone when it was listed on the Dar es Salaam Stock Exchange on the 17th of June, 2009. CRDB Bank owns two subsidiary companies-CRDB Microfinance services Company Limited and CRDB Bank Burundi S.A. The Board of Directors would like to invite applications from suitable candidates for the position of Independent Director. A competitive remuneration package will be offered. Duties and Responsibilities As a part of the Board of Directors, the Independent Director will have the following primary duties and responsibilities. • To determine the Bank`s vision, mission and values, continuously monitor and evaluate its strategy and ensure the Bank survives and thrives. • To govern the bank by broad p...

UHAKIKI, RIWAYA YA KUSADIKIKA

Image
UHAKIKI WA RIWAYA YA KUSADIKIKA UTANGULIZI Katika kujadili vipengele mbalimbali vya Fani na maudhui vilivyotumiwa katika riwaya ya kusadikika iliyoandika na Shaaban Robert Washiriki hatukujikita zaidi katika kujadili maana ya riwaya za wataalamu mbalimbali bali tuliweza kujadili kazi hii kwa kuchambua vipengele vya fani na maudhui kutokana na masimulizi ya nchi ya Kusadikika. Masimulizi ya kitabu kwa kifupi. Riwaya ya kusadikika ni kitabu kinachoelezea masimulizi ya nchi ya kusadikika ambayo mwandishi ameanza kwa kusimulia tukio la kushitakiwa kwa Karama ambaye ndiye Mhusika mkuu kwa tuhuma za kuihujumu serikali ya Kusadikika. Kwa maelezo ya Waziri Majivuno aliwasilisha mashitaka haya mbele ya Mahakama eti kwa sababu Karama alikuwa akitoa elimu ya sheria ambayo kwa Mtazamo wa Waziri huyu alidai kuwa angewafanya raia wa kusadikika kuelewa haki zao ambako kungepelekea wananchi hao kutotii serikali au kwa namna nyingine kungekomesha unyanyasasaji, uonevu na uongozi mbaya wa wata...

Uhakiki , Diwani ya karibu ndani dhamira kuu

Image
 DETACH NO HIGHLIGHTING  Uchambuzi na Uhakiki - Karibu Ndani (Dar Es Salaam University Press, 1991, 26 p.)   5. Dhamira Kuu   (introduction...)  (a) Siasa na Harakati za Ujenzi wa Jamii Mpya  (b) Falsafa ya Maisha  (c) Suala la Ushairi  (d) SuaIa la Mabadiliko Kihistoria

Uhakiki ,Ushairi karibu ndani ya kezilahabi

Image
(a) Matumizi ya Lugha Karibu Ndani imetumia lugha ya kishairi ambayo ndani mwake kuna misemo, nahau na tamathali za usemi - ambazo kwazo kutumika kwake vizuri kumefanya taswira mbalimbali zijengwe. (i) Tamathali za Usemi Ziko tamathali mbali mbali katika diwani hii. Tutataja na kuziainisha baadhi ya tamathali hizo. Tashibiha Tamathali ya kitashibiha ni ile inayolinganisha vitu viwili au zaidi vyenye sifa tofauti kwa kutumia maneno - mithili ya, mfano wa, kama na kadhalika. Katika Karibu Ndani tamathali hizi ni nyingi, na kila pale ambapo zimetumika husaidia kuibua hisi na kujenga taswira fulani. Mfano ni huu (kutoka “Mkesho” uk.4). ......Kama jua jekundu lichwavyo Na mionzi hafifu ing’aavyo magharibi Ndivyo mwendo wetu uchechemeavyo! Picha inayojitokeza hapa ni kuwa mwendo u wa taratibu mno. Mwendo wa mashaka! Mfano mwingine unaonekana katika shairi la “Matumaini” (uk. 6). Akiyumbayumba Na sarawili zee mawinguni Kama mlevi mwenye mguu mmoja...... Tunaweza kumwona (huyu) anayeyumbayumba...

Baada ya Samatta sasa Ulimwengu

Image
BAADA YA SAMATTA SASA ULIMWENGU  MICHEZO Baada ya Mbwana Samatta, Baada ya kumalizana kimkataba na timu ya TP Mazembe ya Congo DRC mwishoni mwa mwaka 2016 na kutotaka kuongeza mkataba kwa madai ya kuwa anaenda kucheza soka Ulaya, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu amepata timu ya kucheza Sweden na tayari amesaini mkataba wa kuitumikia. Thomas Ulimwengu amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu ya inayoshiriki Ligi Kuu Sweden inayoshirikisha timu 16 ambapo kwenye Interview na shaffihdauda.co.tz Ulimwengu amethibitisha dili hilo kukamilika na kwa sasa anasubiri VISA tu. “Kweli nimesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo ambayo nitajiunga nayo hivi karibuni, kwa sasa nashughulikia mambo ya visa na taratibu nyingine, kuanzia wiki ijayo nitakuwa nimeshajiunga na timu ya Athletic Football Club Eskilstuna ya Sweden” ULIPITWA?: Mtazamo wa Thomas Ulimwengu kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi ya Tanzania, BONYEZA PLA...

Njaa ! KACHUMBARI ILIVYO UWA SHINYANGA

Image
Gazeti hilo limeripoti kuwa mkazi wa Mtaa wa Mageuzi, Manispaa ya Shinyanga, Stella Ibrahim (39), anadaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na mume wake, Ibrahim Daniel kwa kile kilichoelezwa kuwa alipewa kachumbari iliyochacha. Tukio hilo limetokea juzi usiku, baada ya Daniel kumshushia kipigo mkewe akidai kuwa alimpa kachumbari ambayo haikuhifadhiwa vizuri na mboga nyingine aliyodai haina kiwango. Mashuhuda wa tukio hilo, walidai kuwa Daniel alifika nyumbani akiwa amelewa, kisha kuulizia kachumbari ambayo alikula jana, ndipo mtoto wake, Elizabeth Ibrahim (13) akamwonesha kachumbari ambayo inadaiwa tayari ilikuwa imechacha. Walisema hakufurahia kuona kachumbari hiyo imeharibika, ndipo alipoanza kuuliza kwanini haikuhifadhiwa vizuri, akisimulia mkasa huo, mtoto wa marehemu, Daniel Ibrahim (12) alisema baba yeke alifika nyumbani saa moja usiku, alimkuta yeye akiwa na mdogo wake, Elizabeth aliyemuhoji kwanini kachumbari imeharibika, lakini hakupata jibu. ‘Baada ya kuingia nd...

Sheria ya offside na penati kuondolewa katika soka ?

Image
Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili sola kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia 2026 kufikia timu 48 sasa Infantino amekuja na mpya.Kwa kumtumia mkurugenzi wa mambo ya ufundi wa FIFA Marco Van Basten amependekeza baadhi ya sheria mpya katika soka. Kuondoa offside. Akihojiwa na gazeti la Ujerumani liitwalo Bild,Van Basten amesema wanawaza kuondoa mchezo wa kuzidi katika soka.Alisema “sipati picha soka isipokuwa na ofside,washambuliaji watapata nafasi nyingi sana za kufunga”.Van Basten alisema mpira wa miguu utakuwa wakuvutia sana kama offside itaondolewa na anaamini jambo hilo litawafurahisha mashabiko na washambuliaji. Kubadili upigaji wa penati.Van Basten pia anaona kuna haja kubwa kwa FIFA kubadili aina ya upigaji wa penati.Kwa sasa adhabu ya penati mchezaji anauweka mpira mita kadhaa karibu na goli ma kuupiga.Lakini Van Basten anaona penati ibadilishwe.Anataka mpi...

Sheria ya offside na penati kuondolewa katika soka ?

Image
Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili sola kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia 2026 kufikia timu 48 sasa Infantino amekuja na mpya.Kwa kumtumia mkurugenzi wa mambo ya ufundi wa FIFA Marco Van Basten amependekeza baadhi ya sheria mpya katika soka. Kuondoa offside. Akihojiwa na gazeti la Ujerumani liitwalo Bild,Van Basten amesema wanawaza kuondoa mchezo wa kuzidi katika soka.Alisema “sipati picha soka isipokuwa na ofside,washambuliaji watapata nafasi nyingi sana za kufunga”.Van Basten alisema mpira wa miguu utakuwa wakuvutia sana kama offside itaondolewa na anaamini jambo hilo litawafurahisha mashabiko na washambuliaji. Kubadili upigaji wa penati.Van Basten pia anaona kuna haja kubwa kwa FIFA kubadili aina ya upigaji wa penati.Kwa sasa adhabu ya penati mchezaji anauweka mpira mita kadhaa karibu na goli ma kuupiga.Lakini Van Basten anaona penati ibadilishwe.Anataka mpi...

Nafasi za kazi BE FORWARD TANZANIA

Now Accepting Job Application for our Auto Parts Shop in Kariakoo Dar es Salaam BE FORWARD - 3:36 pm Application Period: January 19th – 22nd, 2017 | Lear More We are currently looking for new staff for our Auto Parts shop in Kariakoo, Dar es Salaam. If you are interested to apply, please refer to the qualifications below. Any questions, please email us at autoparts@beforward.jp Qualifications/Skills Required: - Computer Skill (Excellent skill in online search, Microsoft Office – Excel, Word, etc.) - Customer-service Skill (Must be able to professionally respond to inquiries/orders online (emails) or offline (office)) - Must have a pleasant personality and must be Punctual - Must be knowledgeable in cars and auto parts - Must have a Driver’s License (Must be familiar with places in Tanzania) For interested applicants, please fill out this application form and submit it not later than January 22nd, 2017. Click below for the Job Application Form: ----------...

Okwi avunja mkataba na sonderjyske Fodbold huenda akarudi msimbasi

Image
Official: Okwi avunja mkataba na Sonderjyske Fodbold, Kurejea Msimbazi? By Aidan Charlie - January 18, 2017 Facebook Twitter  Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ameachana rasmi na klabu ya Sonderjyske Fodbold ya Denmark kwa makubaliano ya pande zote kuamua kusitisha mkataba. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo ya Danish Superliga Jorgen Haysen uamuzi huo umefikiwa baada ya Okwi kushindwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza. “Okwi hakuwa anapata nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi chetu, na matumaini ya kupata nafasi yamekuwa ya chini sana. Matokeo yake tumekubaliana kububja mkataba, tunamtakia kila la kheri huko mbeleni.’ Klabu hiyo ilimsaini Okwi mnamo July 2015 kwa mkataba wa miaka 5 akitokea klabu ya Simba SC ya Tanzania bara. Katika dirisha la usajili lililopita kulikuwa na taarifa kwamba mchezaji huyo alikuwa njiani kurejea Msimbazi, hata hivyo ilishindikana kutokana na ada ya usajili waliyokuwa wanataka So...

Diamondi ashinda tuzo nyingine Nigeria

Image
Mtanzania Diamond Platnumz ametangazwa kushinda tuzo ya Msanii bora wa Afrika wa mwaka 2016,tuzo hizi pia zimeenda kwa Mastaa wengine kama Wizkid ambaye ameshinda tuzo ya Msanii bora wa mwaka,Kiss Daniel,Ycee na wengine wengi,nimeipata list ya baadhi ya washindi kwenye tuzo hizo zilizotolewa na Africa Music Entertainment ya Nigeria. 

VODACOM KUGAWA MABILIONI YA M PESA KWA WATEJA WAKE

Image
Wakati wateja na wananchi mbalimbali wakiendelea kunufaika na promosheni ya Nogesha Upendo ya Vodacom kwa kujishindia mamilioni ya fedha kila siku pindi wanunuapo vifurushi kwenye simu zao. vodacom hawajaishia hapo sasa wameileta hii ya malipo ya faida ya kutumia M-Pesa ambayo imeanza wiki hii na inaufanya mwanzo wa mwaka mpya kuwa mzuri zaidi kwa mamilioni ya wateja na mawakala wa M-Pesa. Unaambiwa awamu hii ya malipo ya faida ya utumiaji wa M-Pesa inafikia jumla ya Tsh Bilioni 32/- ambapo kila mtumiaji atapata sehemu ya gawio kulingana na matumizi ya akaunti yake ya M-Pesa. Malipo haya yatafanyika kwa awamu na yatawanufaisha wateja na mawakala wa M-Pesa waliopo kila kona ya Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa mtandao wa Vodacom kuwarudishia faida ya gawio hilo. Kampuni ya Vodacom imekwishagawa zaidi yaTsh Bilioni 39 katika awamu zilizopita na hii inamaanisha kwamba awamu hii itakapokamilika ni zaidi ya Tsh Bilioni 70 zitakuwa zimewekwa moja kwa moja kwenye mifuko ya wateja vodacom. Aki...

Uchawi! Kigogo akwama akifanya ngono na mke wa mtu ,mganga amwokoa

Image

Dunia imeisha Angalia nyama ya binadamu inavyo liwa

Image

Dunia imeisha Angalia nyama ya binadamu inavyo liwa

Image

Mtanzania Millard Ayo Achaguliwa na CUF

Image
Mtangazaji wa Clods media na mmiliki wa AYO TV ameteuliwa na CUF kuwa kati ya watangazaji watakao ripoti michuano ya Afcon live kutoka uwanjani,  tunaweza kusema ni bahati ya Tanzania kwa mara nyingine baada ya Diamond platnmz kuteuliwa kutumbuiza katika mashindano hayo kila la kheri Millard ayo kumbuka pia michuano hiyo kila tokeo utalipata hapahapa katika blog hii

Kama hukusikia hiki kihoja soma hapa

Image
SIKU FIDEL CASTRO ALIPOMUKABA NYERERE TAI AIRPORT DAR ES SALAAM!! kwanini alimukaba?? fuatana nami. Ilikuwa ni mwaka 1982, ilikuwa ni ktk mapokezi ya viongozi wa nchi zilizofuata siasa za mlengo wa kushoto. Yahaani nchi zilizofuata siasa za Max!! siasa za usoshalisti (UJAMAA) zikiongozwa na UNITED SOCIALISIT SOVIET UNION au URUSI, kisha Uchina ya Mao tise dong, Cuba, Venezuela, Northern Korea, Romania, Tanzania n. k. Mkutano ulifanyika Dar es salaam ktk ukumbi wa Karimujee.       Kambarage alikuwa airport akiwapokea viongozi hao, kisha transport officer wa ikulu alikuwa na kibarua cha kusafirisha hadi kwenye mahoteli walikopangiwa kufikia, wapo waliofikia Sea cliff. hotel, wapo waliofikia Peacock hotel, wapo waliofikia Sheraton hotel, na kwingineko!! Mara akateremka Comrade Fidel Castro kwenye ndege, ndege haijasimama yeye keshafungua mlango na kudondoka nje yupo anaturoti. Wahuni Dar es salaam nao hawakukawia kumushangilia kwa kelele na vigelele!! Mtangazaji ...

IF THERE IS NO UNITY THERE IS NO FUTURE FOR AFRICA

Image
“My generation led Africa to political freedom. The current generation of leaders and peoples of Africa must pick up the flickering torch of African freedom, refuel it with their enthusiasm and determination, and carry it forward,” said Tanzania’s first president, Julius Nyerere, one of the founding fathers of the OAU, in a speech given in Accra on the occasion of Ghana’s 40th independence anniversary celebrations on 6 March 1997. This piece is extracted from that speech. In May 1963, 32 independent African states met in Addis Ababa, founded the Organisation of African Unity (OAU), and established the Liberation Committee of the new organisation, charging it with the duty of coordinating the liberation struggle in those parts of Africa still under colonial rule. The following year, 1964, the OAU met in Cairo [Egypt]. The Cairo Summit is remembered mainly for the declaration of the heads of state of independent Africa to respect the borders inherited from colonialism. The principle of n...

SIMBA YA ITWANGA YANGA ZENJ

Image
Simba Mkude KAFUNGA Agyei KAFUNGA Mwanjale KAKOSA (Dida anadaka hapa) Muzamiru KAFUNGA Bukungu KAFUNGA (WAMEPATA 4, WAMEKOSA 1) Yanga Dida KAKOSA (Agyei anadaka hapa) Msuva KAFUNGA Kamusoko KAFUNGA Mwinyi KAKOSAA (Agyei anadaka hapa) (WAMEPATA 2, WAMEKOSA 2) Simba wameshinda kwa jumla ya penalti 4-2 Wanakwenda fainali dhidi ya Azam FC, mechi itapigwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar ilipopigwa mechi ya watani, hii leo.

ALOFONI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Image
Mutta line  MAR 2 ALOFONI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI ALOFONI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI Imeandaliwa Na, Mutashobya A. T (BAED mwaka wa tatu-UDSM) 1.0 UTANGULIZI Alofoni katika lugha ya Kiswahili ni dhana ambayo haijashughulikiwa vizuri. Hii ni kutokana na wataalamu mbalimbali kutofautiana juu ya dhana hii. Tofauti hizi za wataalam zinajitokeza juu sauti za lugha wanazozitoa kama mifano ya alofoni za Kiswahili. Wengine huenda mbali na kusema kuwa lugha ya Kiswahili haina Alofoni. Madhumuni ya makala hii ni kujaribu kuchunguza alofoni katika lugha ya Kiswahili. Na kufikia hitimisho iwapo lugha ya Kiswahili ina Alofoni au la. Na iwapo lugha ya Kiswahili ina alofoni basi alofoni hizo ni zipi? Tutachunguza dhana ya alofoni kama inavyofasiliwa na wataalam mbalimbali, mbinu mbalimbali za kuzitambua alofoni na fonimu za lugha na kisha tutaichunguza mifano mbalimbali ya alofoni inayotolewa na wataalam mbalimbali. Mwisho nitatoa msimamo wangu na kuhitimisha kwa kuchokoza mjadala. 2.0 ...