Mtanzania Millard Ayo Achaguliwa na CUF
Mtangazaji wa Clods media na mmiliki wa AYO TV ameteuliwa na CUF kuwa kati ya watangazaji watakao ripoti michuano ya Afcon live kutoka uwanjani, tunaweza kusema ni bahati ya Tanzania kwa mara nyingine baada ya Diamond platnmz kuteuliwa kutumbuiza katika mashindano hayo kila la kheri Millard ayo kumbuka pia michuano hiyo kila tokeo utalipata hapahapa katika blog hii
Comments
Post a Comment