Posts

ROMBO: AUAWA AKIMENDEA ASALI YA WENYEWE, MUUAJI AJISALIMISHA POLISI

Image
    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu. Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo, Riziki Shirima (22) alidaka simu ya mkewe na kukuta meseji za mapenzi. Baada ya kukuta meseji hizo, mwanaume huyo aliweka mtego kwa kuendelea kumtumia meseji kijana huyo aliyeuawa, akijifanya yeye ndio mwanamke huku akimtaka kuja nyumbani jambo ambalo alifanya hivyo. Baada ya kijana huyo kufika nyumbani alianza kushambuliwa kwa kukatwa mapanga na baadaye kufariki dunia. Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema tukio lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 4 na kusema baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi. "Ni kweli hili tukio limetokea katika kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo ambapo...

FUMANIZI

Image
  *FUMANIZI* (Sehemu ya III) *©Mwafrika Merinyo* Fatima hakuelewa chanzo cha maradhi haya yaliyomsibu Himid na hakutaka hata kujua. Alishamuuliza mumewe kama amewaona matabibu na jibu la mumewe likawa kwamba wataalam wamemweleza kuwa hana tatizo, ni hali ya kupita tu. Na sasa Fatima hakujali kuhusu hali ya Himid, kwani alikwishaona kuwa hapa ndoa haiwezi kuwepo. Alishawasiliana na bi mkubwa Salama, mke wa kwanza wa Himid, kuulizia kuhusu shida hii ya mume wao. Naye Salama akakiri kuwa kuna tatizo, ila kwa mawazo ya bi Salama Himid haelekei kujishughulisha na tiba yoyote. Mwaka wa pili baada ya mchezo wa vidole kuanza, Fatima alichoka, akihisi kuwa anajitesa bila sababu. Kuomba talaka akahofia kuwa angeonekana mkorofi, kwa kuwa wenzake wawili walikuwa wanaendelea kuvumilia. Lakini kwa umri wake wa miaka arobaini na uzao wa mtoto mmoja tu, akajihisi mhitaji sana na asiye na msaada. Katika hali ile, na katika kuwa na maelewano ya kirafiki kati yake na Rama, mmoja wa wateja wake wa bia...

18 Job Opportunities Mwanza at CUHAS BUGANDO - Various Posts

Image
  OVERVIEW OF CUHAS The Catholic University of Health and Allied Sciences - Bugando (CUHAS-BUGANDO) is located at Bugando Hill, within the Bugando Medical Centre (BMC) premises in Mwanza. Our core business is training, research and consultancy services. We train health professionals in the fields of Medicine, Pharmacy, Medical Laboratory Sciences, Nursing and Public Health through our Diploma, Bachelor, Masters and PhD programmes. Our students include local and international/foreign students from all walks of life. We work in close partnership with the Bugando Medical Centre (BMC) in the training of our students and in offering services that address the challenges within the Lake Zone, thus contributing to the Health Sector in a purposeful and meaningful way THE HISTORY OF CUHAS CUHAS-Bugando, as a Constituent University College of SAUT, became operational in September 2003. It was granted a Certificate of Interim Authority (CIA) on the 28th M...

Job Opportunity at Ifakara Health Institute, Field Worker

Image
  Position: Field Worker Reports To: Project Leader Work Station: Ifakara Apply By: 9th December, 2021 Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record in developing, testing and validating innovations for health. Driven by a core strategic mandate for research, training and services, the Institute’s work now spans a wide spectrum, covering biomedical and ecological sciences, intervention studies, health-systems research and policy translation.  Position Summary  … Ifakara Health Institute is looking for a qualified and experienced individuals to fill the vacant positions of Fieldworker in the District Entomologist Project. Duties and Responsibilities Adhere to protocols and standard operating procedures for experiments that will be provided. Conduct mosquito trapping and collections, larval collections. Supervise and perform sorting, identification, and packaging of mosquitoes in the ...

yakula 7 vizuri kwa kuongeza nguvu za kiume

Image
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi. Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi. Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri kuzingatia vyakula vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia " booster" . Vyakula ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako. Sababu za kukosa nguvu za kiume  Ili kutatua tatizo ni muhimu kung’oa kabisa mzizi wake. Mwili wako una maarifa ya kujirekebisha pasipo kuhitaji vilevi au mawada, unachotakiwa kuzing...

FUMANIZI

Image
  *FUMANIZI* (SEHEMU YA II) *©Mwafrika Merinyo* Hulka yake ilimwepusha ugomvi na mapigano kati yake na Rama. Tena hakumjua yule jamaa kwa jina wala kwa wasifu, seuze kipimo cha nguvu zake. Kidudumtu wake alimwambia tu kwamba kuna mtu, tena mtu mzima mwenziye, aliyekuwa anatia mkono katika sahani yake ya ugali na kusokota matonge makubwa kumzidi. Mwanzoni hakutaka kuamini. Kidudumtu akakoleza moto na kumwambia aje siku ya Jumanne kufumania, kwani mwizi wake alikuwa na tabia ya kuja kuchonga na kula nanasi siku za jumanne. Jambo hili kwanza lilimfadhaisha. Kisha likamtia hasira. Akaweka nia na kuingia mjini Uswazini siku ya Jumatatu kwa jahazi la jioni kutoka Chanjali. Akalala kwa jamaa yake na siku ya Jumanne akazuga mitaa ya mbali mpaka pale alipoletewa taarifa kuwa tayari nyegere analipua mashuzi mzingani na keshaanza kubugia asali. Himid akatoka huko atokako kwa hasira na wahaka kwenda kumfumania mkewe Fatima. Baada ya kushindwa kupambana na mgoni wake, sasa alijikuta pia anaishi...

FUMANIZI

Image
  *FUMANIZI* (Hadithi fupi) *©Mwafrika Merinyo* Himid aligonga mlango mara ya kwanza. Akagonga mara ya pili. Mara ya tatu akalazimika kusindikiza na mwito: “Hodi!” Mwili ulimtetema kwa fukuto la hisia mchanganyiko. Hasira, uchungu, wivu, maumivu, wahaka. Alijua kilichokuwa kinaendelea ndani, kwani kaja kwa taarifa za kidudumtu na bila kumpa taarifa mkewe Fatima. Kaletwa na wahka, kabebwa na roho ya kisasi japo hakujipanga atakavyolipiza, kasukumwa na mshawasha wa kuadhibu bila kujua aina ya adhabu wala utekelezaji wake utakavyokuwa.  Ndani, Fatima na Rama walikuwa ngomani. Walikuwa wamekolea mchezoni, kila mmoja akikwea mlima kutoka upande wake, wamekaribia kukutana kileleni. Kitanda kilikuwa kinaonewa, la kinaadhibiwa. Pumzi zao zilikuwa zikipishana mithili ya fuo za msana chuma. Palikuwa hapatoshi. Na katika patashika ile ya “Njoo basi! Nipishe nipite miye kwanza! Utaniua! . . .” ndipo hodi tatu  zilipogongwa kwa mfululizo mlangoni. Ilikuwa adhuhuri, jua limeuacha tu ut...