Posts

Showing posts from January, 2023

MFANYA BIASHARA AFARIKI AKILA ASALI

Image
  Mfanyabiashara mwenye umri wa miaka 25, amepatikana amefariki dunia katika chumba cha hoteli alichokuwa amekodisha kumumunya urojo na mpenziwe. Ali Musstafa anaripotiwa kuanguka na kukata roho katika Hoteli ya Avenue Lodge mjini Arua, Uganda kutokana na kushindwa kupumua alikokuwa akirusha roho na mpenzi wake.   “Mwathiriwa alianguka na kufia chumbani. Mpenziwe alienda na kuwajulisha wasimamizi wa hoteli ambao mara moja walitoa taarifa kwa polisi wa Arua. Eneo la tukio lilikaguliwa na kuhifadhiwa vizuri,"  ilisoma ripoti ya polisi. Polisi katika Wilaya ya Arua eneo la Nile Magharibi walisema hawakupata dalili zozote za sumu, dawa za kulevya au athari zingine za mwili kutoka eneo la tukio. "Hakuna chembechembe za matumizi mabaya ya dawa za kulevya, sumu au athari zingine za mwili zilizopatikana katika eneo la tukio.  Mwili huo ulipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Arua na kuchunguzwa,” msemaji wa polisi, SCP Fred Enanga alisema Jumatatu, kama alivyonukuliwa na Dai...

WANNE WANUSURIKA KULIWA NA FISI KISHAPU

Image
  Mnyama Fisi Na Sumai Salum - Kishapu Wanaume wanne wa familia moja katika kijiji cha Mwalata Kata ya Shagihilu wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamejeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao kwa kushambuliwa na mnyama Fisi wakiwa wanalinda mbuzi na ng'ombe nyumbani kwao.  Mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Kishapu Bw. Mohamed Mkumbwa amesema waliwapokea majeruhi majira ya saa 10 alfajiri usiku wa kuamkia leo Jumatatu Januari 30,2023 wakiwa na hali mbaya  na baada ya kuwapa huduma sasa wanaendelea vizuri. "Ni kweli tumewapokea majeruhi wanne alfajiri ya leo wakiwa na hali si nzuri ,kuna aliyejeruhiwa kwa kung'atwa chini ya pua mwingine kichwani mwingine mapajani na mwingine sehemu ya kichwani kuelekea shingoni na sasa tunamshukuru Mungu wanaendelea vizuri",  ameeleza Dkt. Mkumbwa. Waliojeruhiwa ni Jishanga Izengo (18) aliyejeruhiwa sehemu ya chini pua, Kanizio Joseph mwanafunzi anayesoma darasa la 4 shule ya msingi Mwalata aliyejeruhiwa maeneo ya mapajani, Laza...

MATOKEO YA YANGA, YAPATA USHINDI MNONO

Image
  TIMU ya Yanga SC imetinga hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuichapa mabao 7-0 klabu ya Rhino Rangers kutoka mkoani Tabora. Mechi hiyo ambayo ilipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam tumeshuhudia mchezaji wao mpya Yanga Sc Kennethy Musonda akipachika mabao mawili kwenye mchezo huo. Yanga Sc ilianza kupata bao la kwanza kupitia kwa Dickson Ambundo dakika za mwanzo kippindi cha kwanza huku bao la pili likifungwa na nyota wao Kennethy Musonda. Mpaka dakika 25 ya mchezo kipindi cha kwanza Yanga Sc walikuwa mbele kwa mabao 5-0 na kwenda mapumziko wakiwa na mabao hayo ambayo mengine yalifungwa na Farid Mussa Yannick Bangala, David Bryson pamoja na Aziz Ki. Yanga Sc iliwapumzisha baadhi ya wachezaji wao akiwemo Fiston Mayele, Dickson Job, Kisinda pamoja na baadhi ya wachezaji wengine ambao walikuwa na sababu mbalimbali kuukosa mchezo huo.

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021

Image
  Matokeo ya kidato cha nne 2021 NECTA FORM FOUR EXAMINATION RESULTS 2021 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2021 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MIKOA YOTE. MATOKEO YA DARASA LA NNE 2021 MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2021 MATOKEO HAYO YATAPATIKANA KUANZIA SAA NNE ASUBUHI BOFYA HAPA MUDA HUO KUANGALIA MATOKEO YOTE>>> HAPA >>

Shimbi secondy form four Necta examination results 2019/20: matokeo ya kidato cha nne shimbi secondary

Kuona matokeo ya kidato cha nne kutoka shimbi secondary Bofya HAPA

MATOKEO YA FORM FOUR NECTA MKUU SECONDARY 2019/20

Necta examination results mkuu secondary Bofya HAPA kuona

MAJENGO SECONDARY SCHOOL FORM FOUR NECTA RESULTS

Matokeo ya form four majengo sekondar bofya HAPA

Necta yafuta orodha ya 10 bora kidato cha nne Tanzania

Image
  Dar es Salaam . Wazazi na viongozi wa shule waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuona iwapo watoto wao wameingia katika orodha ya dhahabu ya 10 bora katika mitihani ya taifa sasa watasubiri sana jambo hilo baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kutangaza kufuta rasmi utaratibu huo likisema “hauna tija”. Uamuzi wa Necta kufuta utaratibu huo uliokuwa ukishindanisha wanafunzi, shule, wilaya na mikoa kupitia orodha ya 10 bora huenda ukapeleka maumivu kwa baadhi ya viongozi waliokuwa wanatumia takwimu hizo kuvuta zaidi wanafunzi au kuonyesha ubora wa utendaji kazi wao. Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta Athuman Amas amewaambia wanahabari sasa baraza hilo limeuondoa utaratibu huo ambao hata wanahabari waliokuwa ndani ya chumba cha mikutano walikuwa wakisubiri kwa hamu kujua nani ni nani. “Tumeondoa utaratibu wa kutangaza shule 10 bora au watahiniwa 10 bora kwa sababu hauna tija, tunawafananisha watu ambao wamefanya mtihani sawa lakini mazingira tofauti,” amesema Amas huku baadhi ya wanahab...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MLAMBAI SECONDARI 2022

Image
  Matokeo ya kidato Cha nne shule ya sekondari mlambali DV1, 2,  DV 2, 12, Dv 3, 9 DV 4,  29, DV 0, 9. Mlambai Sec, s2836 Kuangalia Matokeo yote ya mlambai secondary Bofya >HAPA>>

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MKOA WA DAR ES SALAAM

Image
  Kuhusu mkoa wa Dar es salaam Eneo la mkoa ni  jiji  la  Dar es Salaam  ambalo ndilo  kitovu  cha shughuli za  biashara  (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi  duniani . Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni km² 1,393. Kuna  wilaya   tano :  Kinondoni  (wakazi 1,775,049),  Ilala  (wakazi 1,220,611) na  Temeke  (wakazi 1,368,881) ambazo zimeongezewa  Kigamboni  na  Ubungo . Kila moja inaangaliwa kama  mji . Takwimu hizi ni za mwaka 2012, kwa ujumla idadi ya wakazi ilikuwa 5,383,728 [1] . Wakazi asili wa eneo la mkoa walikuwa  Wazaramo  pamoja na  makabila  madogo kama vile  Wandengereko  na  Wakwere . Kutokana na kukua na kupanuka kwa jiji kuna makabila yote ya Tanzania. Source : www.wikipedia.org Kuangalia matoke...

NECTA 2022/2023 MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA LEO

Image
  Baraza la mitihani Baraza la mitihani Necta limetoa taarifa ya kutangaza matokeo ya kidato Cha nne 2022 Leo jumapili kuanzia saa nne tuatakuwekea matokeo hayo hapa

Mt Sac Student Portal Login

Image
Contents   1 Mt Sac Student Portal Login 1.1 Mt Sac Student Portal Login Mt Sac Student Portal Login Mt Sac Portal login Looking for how to access Mt Sac Portal ? The easiest way to do this is to use the official links we have provided below. We keep all of our links updated at all times. So, should you ever need to sign in again, you can rest assured that we will have the latest official links available. VISIT OFFICIAL PAGE Mt Sac Portal Login If you want to login to Mt Sac Portal, then there is a very easy way to do it. A lot of websites will offer you convoluted ways about doing it. However, there is a much easier way. All you need to do is follow these simple instructions below. Mt Sac Student Portal Login Login to Your Account Here Recover Your Password Here Claim Your Account IF YOU HAVE ANY ISSUES, PLEASE FOLLOW OUR TROUBLESHOOTING GUIDE BELOW. Step 1 – Go to the Portal official login page via our official link...

AUDIO | Aslay – Inauma | Download

Image
Download wimbo mpya wa Aslay Inauma hapa Download | Aslay – Inauma [Mp3 Audio]

MWALIMU ALIYEONEKANA AKIMCHAPA MWANAFUNZI KWENYE UNYAYO ASIMAMISHWA KAZI

Image
  Mwalimu akimchapa mwanafunzi Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Mwalimu anayeonekana kwenye video fupi inayosambaa mitandaoni akimchapa mwanafunzi kwenye nyayo za miguu yake huku amemkanyaga tayari amekwishachukuliwa hatua za kusimamishwa kazi. Kwa mujibu wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Mwalimu huyo ni wa shule ya msingi iliyopo wilayani Kyerwa mkoani Kagera na tukio hilo limetokea Januari 10, 2023. Aidha waziri Dkt Gwajima akatoa rai kwa Walimu, "Waalimu zingatieni utaratibu wa adhabu kwa wanafunzi, lazima sheria ziheshimiwe,

TAARIFA NECTA KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022/2023

Image
  Baraza la mitihani leo 25,1,2023 limekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni kuhusu kutolewa kwa matokeo ya kidato Cha nne. Taarifa hizo sio za kweli na kuwa matokeo hayo yatatangazwa muda wowote yatakapokuwa tayari. Unaweza kutembelea tovuti ya NECTA Tanzania katika kiungo hiki, www.necta.go.tz

Breaking News : RAIS SAMIA ATEUA WAKUU WA WILAYA

Image

Kenya News: Professor George Magoha is Dead

Image
 Former Education CS Professor George Magoha is dead.The professor died today at the Nairobi Hospital due to cardiac arrest. The professor had been provided with opportunity to head the Medicine department at Maseno University,he was to report in February. Here is the biography of Professor Magoha: Prof. George A. O. Magoha is the immediate former Vice-Chancellor, University of Nairobi (UoN), since January 2005  to January 2015 and a Professor of Surgery and a Consultant Urologist, College of Health Sciences, UoN.  He is the current President of the Association of Medical Councils of Africa (AMCOA) from August 2013 and will serve in this capacity for a period of 2 years. He is also the Chairman of the Kenya Medical Practitioners and Dentists Board (KMPDB) from 2009 to date and has been a member of the board from 1999. He has been Chairman of Kenya Association of Urological Surgeons (KAUS) from the year 1997 to 2013 and also the immediate former P...

Yanga yamlipa Fei Toto mamilioni, mwenyewe auchuna

Image
KAMA ulikuwa unadhani sakata la kiungo fundi wa mpira, Feisal Salum 'Fei Toto' na klabu ya Yanga limeisha, basi pole kwani, ngoma ndio kwanza bado mbichi kila upande ukishikilia msimamo wake. Fei alitangaza kuvunja mkataba na Yanga aliyojiunga nayo mwaka 2018 kwa kulipa Sh 112 Milioni zikiwamo fedha za kuvunjia mkataba na mishahara wa miezi mitatu ambazo zilirejeshwa na klabu kabla ya kukimbilia Shirikisho la Soka (TFF) kumshtaki katika Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji. Kamati ilitoa hukumu yake kwa kutamka kwamba Fei Toto ni bado ni mchezaji wa Yanga, huku kiungo huyo na watu wanaomsimamia wakishikilia msimamo kwamba alishajiondoa kikosini na kuendelea na mambo yake. Mabosi ya Yanga hawakuwa na hiyana kwani haikumkaushia jamaa na badala yake imekuwa ikimwekea fedha za mshahara kwenye akaunti yake kama mtego flani kwake licha ya kutoonekana kazini na juzi iliamua kumlima barua ya kumtaka aende kazini haraka. Yanga kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Andre Mtine ime...

Watoto watatu wateketea kwa moto Rombo

Image
  Eneo la sehemu ya nyumba iliyoungua na  kuteketeza watoto watatu wa kiume katika kijiji cha Lessoroma, wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro. Muktasari Moto huo ambao chanzo chake kimeelezwa ni kibatari umeteketeza watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wakati mama yao akiwa hayupo. Rombo . Watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao wanakolala kushika moto. Akizungumzia tukio hilo leo Januari 21, Mtendaji wa kijiji hicho, Emma Mosha amesema tukio hilo limetokea usiku wa saa mbili Januari 20, 2023 wakati mama yao alipotoka nje kumpelekea wifi yake simu jirani kidogo na nyumba wanayoishi ndipo aliporudi akakuta moto umeshika kasi. Amewataja watoto waliofariki dunia kuwa pamoja na wa miaka saba na wa miaka mitano wanaosoma katika shule ya msingi Kiraro, huku wa tatu aliyeteketea akiwa na miaka miwili. Mkuu wa wilaya ya...

NAFASI ZA KAZI TAKUKURU 2023

    Taasisi ya kupambana na Rushwa Takukuru imetangaza nafasi za kazi 2023, Nafasi hizo zilizotangazwa kufuatia tangazo lililotolewa na Takukuru ni maofisa upelelezi nafasi 220 na nafasi 100 za wapelelezi wasaidizi daraja la tatu. Tangazo hili limekuja ikiwa ni siku chache baada ya Jeshi la Polisi kutangaza nafasi 500 za ajira na watu 50,000 kujitokeza kuwania nafasi hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Takukuru leo Jumamosi, Januari 21, 2023, waombaji wa nafasi ya maofisa upelelezi wanatakiwa kuwa na Astashahada au shahada ya kwanza katika kozi ya uhandisi, usanifu, sayansi ya kompyuta, sheria na saikolojia. Kwa upande wa wapelelezi wasaidizi daraja la tatu, wanaohitajika ni waliohitimu elimu ya sekondari na mafunzo yoyote yanayotambulika ikiwemo ya ufundi kutoka katika taasisi zinazotambulika. Mwisho wa kutuma maombi ni Februari 10, 2023.

Wimbo wa Dully Sykes – Muntata | Download

Image
  AUDIO | Dully Sykes – Muntata | Download Download | Dully Sykes – Muntata [Mp3 Audio]

Wimbo wa Lady Jaydee Ft. Rama Dee – I Found Love | Download

Image
  AUDIO | Lady Jaydee Ft. Rama Dee – I Found Love | Download Download | Lady Jaydee Ft. Rama Dee – I Found Love [Mp3 Audio]

Chura mkubwa Apatikana Australia

Image
   Chura mkubwa zaidi ambaye maofisa wa wanyama-pori walifikiri ni bandia amepatikana katika msitu wa mvua kaskazini mwa Australia. Chura huyo ni mkubwa mara sita kuliko wa kawaida, ana uzito wa kilo 2.7 na anaweza kuvunja rekodi ya dunia. Chura huyo aliyepewa jina "Toadzilla", mara moja aliwekwa kwenye chombo na kuondolewa porini. Chura - ambao walililetwa Australia kwa mara ya kwanza mnamo 1935 - ni moja ya wadudu waharibifu zaidi nchini humo na sasa wanakadiriwa kuwa zaidi ya bilioni 2. Wakati mlinzi wa bustani hiyo Kylee Gray alipomwona mnyama huyo mkubwa kwa mara ya kwanza akiwa kwenye doria huko Queensland, hakuamini macho yake. "Sijawahi kuona chura mkubwa hivyo," aliambia Shirika la Utangazaji la Australia. "[Alionekana] kama mpira wa kandanda wenye miguu. Tulimuita Toadzilla." Timu yake ilimkamata haraka Toadzilla - anayeamini kuwa mwanamke - na kurejea kwenye kituo cha bustani hiyo kwenda kumpima. Walijua angekuwa mzito, lakini walishangaa kupata...