Posts

Showing posts from October, 2021

KUHUSU SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA NA CHA TANO 2021

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kitaifa. Baada ya baraza la mitihani tanzania NECTA, kutangaza matokeo ya kuhitimu kwa darasa la saba  kwa mwaka 2021, wengi wamekuwa wakiuliza ni lini hasa wanafunzi waliofaulu watapangiwa shule, Jibu lililopo kwa sasa ni kuwa baada ya baraza la mitihani kutangaza mabadiliko ya utolewaji wa machaguo  na kuwa machaguo yakidato cha kwanza yatatolewa pamoja na yale ya kidato cha tano, hivyo kwa  darasa la saba kwenda kidato cha kwanza watalazimika kusubiri mpaka matokeo ya kidato cha nne 2021 yatakapotolewa ndipo machaguo hayo  yatolewe kwa pamoja na huweza kuwa kati ya kipindi cha  mwezi wa 12  mwaka huu

393 wafutiwa matokeo ya mtihani

Image
    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 393 waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Oktoba 30, 2021, na Katibu Mtendaji wa baraza hilo Dkt. Charles Msonde, na kusema kwamba NECTA imezishauri mamlaka zinazohusika, kuwachukulia hatua kwa mujibu wa kanuni za utumishi na sheria za nchi wale wote waliohusika ama kusababisha kutokea kwa udanganyifu huo. Aidha Dkt. Msonde akizungumzia ufaulu amesema kwamba, idadi ya watahiniwa waliofaulu kwa mwaka 2021 imeongezeka kwa watahiniwa 74, 130 sawa na asilimia 8.89 ikilinganishwa na mwaka 2020, ambapo somo la Kiswahili limeongoza kwa wanafunzi kufaulu huku ufaulu katika somo la English ukishuka na kuwa na asilimia 48.02.

Mara, Dar zaibuka kidedea wanafunzi 10 bora matokeo darasa la saba

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Wanafunzi watano wanatokea shule ya Twiboki ya mkoani Mara. Watano ni wavulana na watano ni wasichana. Orodha nzima imebebwa na mkoa wa Mara na Dar es Salaam.  Dar es Salaam.   Mikoa ya Dar es Salaam na Mara imeibuka kidedea katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2021 baada ya wanafunzi 10 bora waliofanya vizuri kitaifa kutoka katika mikoa hiyo pekee.  Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles Msonde akitangaza matokeo hayo leo Oktoba 30, 2021 Jijini Dar es Salaam ametaja orodha ya wanafunzi 10 bora kuwa imetoka katika mikoa hiyo miwili tu. Dk Msonde akitaja wanafunzi hao amesema nafasi ya 10 kitaifa  imeenda kwa Jackline Manfred kutoka Shule ya Msingi Masaka ya Jijini Dar es Salaam akifuatiwa na Juliana Shimbala wa Shule ya Msingi ya St Joseph ya Dar es Salaam. Nafasi ya Nane imeenda kwa Rahma Juma k...

Shule 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

Image
  Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la saba hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>> HAPA >> Orodha hiyo inaongozwa na Shule ya Msingi Graiyaki ya mkoani Mara. Mkoa wa Kagera waingiza shule tatu. Kanda ya ziwa yaongoza kuingiza shule nyingi. Dar es Salaam.   Wakati matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa leo yakipokelewa kwa hisia tofauti, Shule ya Msingi Graiyaki ya mkoani Mara ndiyo imeongoza kitaifa katika matokeo hayo huku Mkoa wa Kagera ukiongoza kuingiza shule nyingi katika orodha ya shule 10 bora kitaifa.  Matokeo hayo ya mtihani huo uliofanyika Septemba mwaka huu yametangazwa leo Oktoba 30, 2021 na Baraza la Mtihani Tanzania (Necta) ambapo ufaulu wa ujumla umeongezeka kwa asilimia 6.6 ndani ya mwaka mmoja. Watahiniwa 907,820 kati ya 1,107,460 waliofanya mtihani huo wamefaulu sawa na asilimia 81.97 ikiwa ni ongezeko la wanafunzi 74,130 ikilinganishwa na mwaka jana. Katibu Mtendaji wa Necta, Dk...

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 MIKOA YOTE

Image
   NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2021 EXAMINATION RESULTS ARUSHA IRINGA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA DAR ES SALAAM RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA KAGERA TANGA MANYARA DODOMA GEITA KATAVI NJOMBE KIGOMA SIMIYU SONGWE

Mambo unayoweza kufanya ukiwa “singo”

Image
  Dar es Salaam.   Mwanadada Sarafina akiwa ameshirikishwa na msanii Baddest 47   wameimba   kuwa “Single” kuna raha yake na utafurahia.  Kufurahia huko ni pamoja na kulala usingizi bila hofu ya kusahau kutuma meseji ya “usiku mwema”. Hata hivyo, kwa wengi kuwa singo ni kipindi cha mpito kwani utawadia muda ambao Adam atakutana na Hawa wake. Ombi ni kuwa, nyoka asiwafikie tena. Lakini kwa kipindi ambacho hauna mawazo ya mahusiano, yapo mambo ya msingi ambayo unaweza kuyafanya ili Adamu au Hawa wako akiwasili, akukute upo tayari. Wekeza katika kitu cha kukupatia kipato Sijasema uache kutoka mtoko na marafiki zako kwenda kule mnakoendaga kujirusha. Ninachojaribu kusema ni kuwa, ni muhimu kuwa na kiasi. Usitumie fedha zako zote kwa kula bata na badala yake, anza kuwekeza. Kuna mifuko ya uwekezaji kadha wa kadha ambayo unaweza kuwa unaweka fedha zako huko ili zijizolee faida baada ya muda fulani. Pia unaweza kufungua akaunti ya benki ambayo hautoibugdhi na kuwa unaw...

1,097 Job Opportunities at Tanzania Revenue Authority (TRA), Download PDF Here

Image
  Overview: The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1) On behalf of Tanzania Revenue Authority (TRA), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanian's to fill (1,097) vacant post as mentioned in the PDF file attached; New Government Job Opportunities UTUMISHI at The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)- Various Posts, 2021 Click link below to download the file: Position: Various Posts (1,097 Vacancies) Deadline for application is 04th November, 2021. DOWNLOAD PDF FILE HERE

Meseji nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupenda zaidi

Image
  Kila wakati nimekuwa nikisema ya kwamba maneno mazuri yana mchanago mkubwa sana katika mahusiano ya kimapenzi. Hivyo kila wakati tumia maneno mazuri ili kufanya mpenzi wako akupende daiama. Zifuatazo ndizo massage nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daiam: 1. Wangu kipenzi ninayekuenzi, jua wanitia uchizi na kuninyima usingizi, sijui kama una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima huo usingizi, la azizi nimekumiss kichizi, u hali gani mpenzi? 2. Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi! 3. Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda. 4. Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nitunzie zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv. 5. Hak...

Mfungwa Adungwa Sindano ya Kifo

Image
  Jimbo la Marekani la Oklahoma limetekeleza adhabu ya kifo kwa kumdunga sindano ya sumu iliyomuua mfungwa mara ya kwanza baada ya miaka sita tangu adhabu hiyo ilipotekelezwa mara ya mwisho.   Walioshuhudia tukio hilo wanasema John Grant – mwanaume aliyekuwa na umri wa miaka 60, alionekana akitetemeka na kutapika baada ya kudungwa sindano hiyo.   Hukumu hiyo ya kifo ni ya kwanza katika Oklahoma tangu mipango ifanyike mipango ya jimbo hilo kusitisha adhabu ya kifo. Mawakili wa Grant wanadai kuwa matumizi ya sindano za mid-zolam ni adhabu isiyo ya kawaida, inayokiuka haki zake za kikatiba.

31 New Government Job Opportunities KAGERA Ras Office and MDH October, 2021 - Data Officers

Image
    Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbours Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329.  For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third-highest in the country.  It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometre. On 10 September 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale. It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.  Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of...

21 New Government Job Vacancies UTUMISHI at TALIRI, MPRU and UDOM October, 2021

Image
  Overview : The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29. On behalf of Tanzania Livestock Research Institute (TALIRI), Marine Parks and Reserve Unit (MPRU) and University of Dodoma (UDOM), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanian's to fill (21) vacant post as mentioned in the PDF file attached; New Government Job Opportunities UTUMISHI at The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)- Various Posts, 2021 Click link below to download the file: Position: Various Posts (21 Vacancies) Deadline for application is 10th November, 2021. DOWNLOAD PDF FILE HERE!

Mhadhiri UDOM asimamishwa kazi tuhuma za kuomba Rushwa ya ngono kwa mwanafunzi

Image
LEARN MORE CHUO Kikuu cha Dodoma (Udom) kimemsimamisha kazi mhadhiri wa chuo hicho, Basil Mswahili kufanya majukumu yake yote ikiwa ni pamoja na kufundisha kwa tuhuma za rushwa ya ngono. Tangu jana katika mitandao ya kijamii kumekuwa na ujumbe mfupi wa maneno ukionyesha kuwa mtumishi huyo kanaswa na mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho akitaka kupewa rushwa ya ngono ili amnasue katika mitihani ya marudio anayoifanya baada ya kufeli. “Sio mmoja kuna wahadhiri kibao wanaofanya michezo michafu,” imeeleza sehemu ya ujumbe uliotumwa katika mtandao wa Twiter. Katika taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano kwa umma ya chuo hicho leo Alhamisi Oktoba 28, 2021 imesema kuwa Mswahili alisimamishwa tangu Oktoba 25 mwaka huu baada ya kupokea tuhuma hizo. Amesema mhadhiri huyo amesimamishwa kufanya majukumu yote ikiwemo kufundisha hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika. “Chuo kimekuwa kikichukua hatua stahiki za nidhamu kwa mujibu wa sheria na taratibu za kiutumishi bila kumwonea mtu,” ames...

15 Job Opportunities at UDOM,

Image
POST:  DRIVER II  – 15 POST POST: CATEGORY(S) DRIVER’S EMPLOYER: The University of Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2021-10-28 2021-11-10 JOB SUMMARY NATURE OF EMPLOYMENT: ONE YEAR CONTRACT DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To drive vehicles towards approved destinations and in accordance with traffic regulations. ii. To undertake minor mechanical repairs. iii. To take vehicles due for routine maintenance/repair to the appointed service agent. iv. To maintain motor vehicle log books. v. To make pre–inspection to the assigned vehicle prior travelling and report mechanical damages/defects. vi. To ensure safety and cleanliness of the vehicle at all times. vii. To ensure that valid documents and permits are acquired prior commencement of any journey. viii. To report promptly accidents or incidents involving the vehicles to the relevant authority QUALIFICATION AND EXPERIENCE Holder of Form IV Certificate and a Class “C1 or E” Driving License who has attended Basic Driving Course of...

18 Government Job Opportunities UTUMISHI at MZUMBE, NCT and CBE October, 2021 - Various Posts

Image
Overview: The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1) On behalf of Mzumbe University(MU), National College of Tourism (NCT) and College of BusinessEducation (CBE), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanian's to fill (18) vacant post as mentioned in the PDF file attached;! Click link below to download the file: Position: Various Posts (18 Vacancies) Deadline for application is 09th November, 2021. DOWNLOAD PDF FILE HERE

Tangazo La Usaili Kwa Waombaji Wa Ajira Ya Jeshi la Polisi | Call For Interview at Police Force Tanzania

Image
  Job Overview Call For Interview at Police Force Tanzania 2021 The police force in Tanzania is a national body that falls under the Ministry of Home Affairs and is lead by the Inspector General of Police. The Tanzania Police Force (TPF) is divided into five departments Call For Interview at Police Force Tanzania 2021 | Tangazo La Usaili Kwa Waombaji Wa Ajira Ya Jeshi la Polisi DOWNLOAD /PAKUA  MAJINA (NAMES )IN PDF FILE HERE