Posts

Showing posts from February, 2019

Serikali yatangaza ajira za walimu

Image
Dodoma. Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Seleman Jafo amesema Serikali inatarajia kuajiri walimu wa shule za msingi na sekondari zaidi ya 4,549 ili kupunguza changamoto ya waalimu iliyopo nchini. Waziri Jafo ameyasema hayo jijini hapa leo Alhamisi Februari 28, 2019 wakati akizindua Umoja wa Walimu Wakuu wa Shule za Msingi Tanzania bara (Tapsha) na kusema katika kipindi cha mwaka huu na mwaka jana wanastaafu waalimu wengi wa Upe hivyo nafasi hizo zinatakiwa kuzibwa haraka iwezekanavyo. “Nafahamu kuna upungufu wa walimu, hivyo ofisi yangu niliwaagiza wataalamu wafanye tathmini nikijua wazi tulikuwa na waalimu wengi wa Upe walioingia maalumu ambao kwa sasa walimu hao ndio wanatoka katika kazi.” “Wengine walistaafu mwaka jana na mwaka huu tuna idadi kubwa ya walimu wa Upe wanaostaafu, hivyo nikamuomba mheshimiwa Rais (John) Magufuli na yeye akaridhia walimu zaidi ya 4,549 waajiriwe ili kuongeza nguvu ...

AUDIO | THT Group – ASANTE BABA (RIP RUGE MTAHABA)

Image
DOWNLOAD

FAHAMU HISTORIA YA KABILA LA "WAKILINDI"

Image
Wakilindi ni Wasambaa wenye asili ya Kiarabu, na chanzo cha kuwa Wasambaa ni kiongozi aliyeitwa Mwene/Mfalme Mbegha (Mbega). Wasambaa ni wakazi wa milima ya Usambara katika Tanzania kaskazini-magharibi. Na Mbegha ni jina la mtu muhimu katika historia ya Wasambaa anayekumbukwa kama mfalme wao au mwene mkuu wa kwanza katika kundi hili. Familia ya watawala iliyoanzishwa naye hujulikana pia kama nasaba ya Kilindi. Mbegha kiasili alikuwa mtoto wa Mwarabu aliyetoka Pemba na kuhamia Kilindi na mke wake Mngulu. Mbegha alikuwa mtoto kigego aliyewahi kupata meno ya juu hali iliyo onekana kama ishara baya kati ya makabila mbalimbali na mara nyingi waliuawa. Kutokana na tabia ya kuuliwa watoto wanaowahi kuota meno, Mbegha yeye alifanikiwa kuishi lakini baada ya kifo cha wazazi na kakaye alinyimwa urithi wake na nduguye waliomkumbuka kama kigego na kumshtaki kuwa ni mchawi. Mbegha alihamia Kilindi, kutokana na umaarufu wake kama mwindaji, Chifu wa Kilindi akampatia nyumba akawa rafiki wa ...

MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARY 27

Image

UFEMINISTI WA KIAFRIKA

Ujinzilizaji ni mchakato Wa kuinua jinsia moja ili iwe sawa na jinsia nyingine. katika ufeministi Wa kiafrika tunajikita katika misingi ya Kiutamaduni Kisiasa, na kidini Ubaguzi Wa rangi Mgawanyo Wa majukumu Wana ufemunisti  Wa kiafrika ni Filomena Chioma na Omurara ogundipe Mawazo ya Filomena chioma 1.Umuhimu wa kupata watoto 2.Sio kila utamaduni Wa kiafrika unamkandamiza mwanamke hivyo ule utamaduni mzuri tuuendeleze 3.kuna haja ya kuwa na waangalizi Wa majukumu 4. Mwanamke ajitambue 5. kuwepo na ushirikiano kati ya mwanaume na mwanamke. Mawazo ya Omurara ogundipe 1.mwanamke ahamasishwe ili kutambua nafasi yake katika jamii 2.ufeministi Wa kiafrika ni kwajili ya watu wrote 3.Utamaduni Wa kiafrika ukosolewe bile kupakwa matope. 4.Mwanamke apewe changamoto ili aelewe masula yanayo mkandamiza mwanamke Taasisi zinazo mgandamiza mwanamke 1.Dini 2.Ndoa pamoja na siasa, na utamaduni Lacan yeye anaona kuwa lugha ndiyo inayo mgandamiza mwanamke hivyo an...

Ruge Mutahaba alivyopambana miezi nane kuokoa maisha yake

Image
Alipambana kuirudisha afya yake lakini Mungu amependa zaidi Amepigana kiume. Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Ruge Mutahaba ambaye alipambania uhai wake kwa miezi nane katika hospitali mbalimbali ndani na nje ya nchi. Mwanzoni mwa mwaka jana, tarehe kama ya leo alikuwa mzima wa afya akiendelea na majukumu yake akiwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group. Katikati ya mwaka jana ndipo afya yake alipoanza kutetereka na Juni 2018 alikwenda mwenyewe nchini India kwaajili ya matibabu. Katika moja ya makundi ya WhatsApp, aliaga kuwa anakwenda kufanya uchunguzi wa afya yake na angerejea wiki tatu baadaye. Ingawa alichelewa kurudi tofauti na alivyotazamia, lakini alirejea na Agosti 21,2018 alionekana katika msiba wa Monica Magufuli ambaye ni dada wa Rais wa Tanzania, John Magufuli. Ruge alikuwa miongoni mwa waombolezeaji walioshiriki mazishi ya Monica yaliyofanyika Chato mkoani Geita. Baada ya hapo hakuonekana na taarifa z...

Herrera speaks out after picking up an injury in draw against Liverpool

Image
ENGLISH PREMIER LEAGUE Manchester United midfielder Ander Herrera was unfortunate to last only 21 minutes in the barren draw against Liverpool and took to Instagram to post his frustration. Herrera was the first of a trio of Man United players to pull up with hamstring problems in the first half of the Premier League fixture against  the Reds , with Juan Mata and Mata's subsequent replacement, Jesse Lingard, both withdrawn before the half time break. Herrera has been a vital cog in the United midfield since the take over of Ole Gunnar Solskjaer and his absence alongside Nemanja Matic's was felt. The Spaniard was impressed by United in the game but was frustrated after his game was cut short by injury, "It was frustrating to have to leave the pitch in such an important game for us. But I'm proud of every one of my teammates today. They fought against the circumstances and gave everything on the pitch."

Ufanye nini kupata fursa mtandaoni?

Image
Dar es Salaam.  Licha ya vijana kuchangamkia fursa za mtandaoni lakini sio wote wanaofanikiwa kuzipata   kutokana na kutokujua mambo ya kuzingatia wakati wanapoomba fursa hizo. Fursa za mtandaoni zinaweza kuwa za masomo, mafunzo au hata kupata mtandao wa watu unaoweza kufanya nao biashara au kazi. Lakini kila fursa ina masharti na vigezo vyake ambavyo unatakiwa kutimiza kikamilifu ili kupata kile unachokitaka. Baadhi ya wazoefu na waliofanikiwa katika kupata fursa mtandaoni wamekuwa wakitoa mbinu ambazo zitasaidia vijana wenye shauku ya kukua kibiashara na kitaaluma na hatimaye kuanza kutengeneza faida. Katika wasilisho maalum kwa wajasiriamali Februari 21, 2019, Mkurugenzi wa kampuni ya StartUp Grind Dar es Salaam, Cynthia Bavo, ambaye ni mmoja wa vijana walionufaika na fursa za mtandaoni kutoka kwa Taasisi ya Tony Elumelu Foundation ya nchini Nigeria alieleza mambo muhimu unayotakiwa kufanya wakati unatafuta fursa mtandaoni. Jielezee vizuri wewe ni n...

NAFASI ZA KAZI 23 KUTOKA NGORONGORO CONSERVATION

Image
The Ngorongoro Conservation Area (NCA) was established under National Parks Ordinance CAP.412 of 1959. This unique area is currently managed by the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) pursuant to CAP 284 of 2002. It is under the Ministry for Natural Resources and Tourism. The main functions of the NCAA are to conserve and develop the natural and cultural heritage resources, to promote tourism in the NCA and promote the interests of indigenous people living in the area. The Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) invites applications from qualified Tanzanians to fill the following vacant positions:- 1. ASSISTANT WILDLIFE MANAGEMENT OFFICER II (6 POSTS) Direct entry Qualifications Holder of Diploma in Wildlife Management, Range Management, Wildlife Ecology, Zoology, Forestry or any other equivalent field from recognized institution.  Main Duties and responsibilities Wildlife Management To clear NCAA boundaries. To assist in implementation...

SIFA ZA SHUJAA KATIKA UTENDI: UCHAMBUZI WA SIFA ZA SHUJAA KATIKAUTENZI WA FUMO LIYONGO NA UTENZI WA NYAKIIRU KIBI

                                                  Mwandishi, Sarah Mayunga Iks/UDSM @mashele/kiswahili IKISIRI Makala haya yalikusudia kuchunguza sifa za shujaa katika tendi teule za Kiswahili. Mashujaa ambao tutawaangazia ni kutoka katika kitabu cha Utenzi wa Fumo Liyongo wa Muhammed Kijumwa (1913) na Utenzi wa Nyakiru Kibi wa M. Mulokozi (1997). Madhumuni makuu katika Makala haya; Mosi, kubainisha sifa za shujaa zilizoainishwa na Mulokozi, pili kuchunguza sifa hizo kama zinazojidhihirisha katika tendi teule na tatu ni kubainisha sifa za shujaa zinazojidhihirisha katika tendi teule tofauti na zilizoainishwa na Mulokozi. Kwa kawaida mashujaa huwa na sifa za kipekee na hutekeleza majukumu ya kimsingi katika jamii zao. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni Nadharia ya Ruwaza ya Shujaa iliyoasisiwa na Joseph Campbell (1904-1987) na kuhakikiw...