UFEMINISTI WA KIAFRIKA



Ujinzilizaji ni mchakato Wa kuinua jinsia moja ili iwe sawa na jinsia nyingine.
katika ufeministi Wa kiafrika tunajikita katika misingi ya

Kiutamaduni
Kisiasa, na kidini
Ubaguzi Wa rangi
Mgawanyo Wa majukumu

Wana ufemunisti  Wa kiafrika ni
Filomena Chioma na Omurara ogundipe

Mawazo ya Filomena chioma
1.Umuhimu wa kupata watoto
2.Sio kila utamaduni Wa kiafrika unamkandamiza mwanamke hivyo ule utamaduni mzuri tuuendeleze
3.kuna haja ya kuwa na waangalizi Wa majukumu
4. Mwanamke ajitambue
5. kuwepo na ushirikiano kati ya mwanaume na mwanamke.

Mawazo ya Omurara ogundipe

1.mwanamke ahamasishwe ili kutambua nafasi yake katika jamii
2.ufeministi Wa kiafrika ni kwajili ya watu wrote
3.Utamaduni Wa kiafrika ukosolewe bile kupakwa matope.
4.Mwanamke apewe changamoto ili aelewe masula yanayo mkandamiza mwanamke



Taasisi zinazo mgandamiza mwanamke

1.Dini
2.Ndoa
pamoja na siasa, na utamaduni

Lacan yeye anaona kuwa lugha ndiyo inayo mgandamiza mwanamke hivyo anadai mabadiliko nilazima yaanzie kwenye lugha.

UHAKIKI WA KIMAX NA KIFEMINISTI
unahusu matabaka ya kijinsia

mambo mawili ya msingi
1.miundo ya kiitikadi
i. Ndoa
ii. Elimu
iii. Sheria

2.Miundo ya kiuchumi.
i. Uzalishaji Mali
iii. Umiliki
iii. Majukumu.

UANDISHI KWA MTAZAMO WA KIFEMINISTI

je uandishi Wa waandishi wanaume na mwanamke unatofauti?
Lange (2008) yeye anaona kuwa hakuna tofauti.

Mambo yanayo sababisha pasiwepo na tofauti

1.wote wanatoka katika jamii moja
2.Historian
3.Itikadi

Utofauti unasababishwa na
1.Tajiriba
2.Uharakati
3. Wanaume kuwa na mtazamo hasi juu ya mwanamke
4.Namna wanavyo utazama utamaduni.

Katika mada zijazo tutaangalia mwanamke katika

1.USHAIRI SIMULIZI NA FASIHI SIMULIZI KWA UJUMLA
2.  USAWIRI WA MWANAMKE KATIKA BUNILIZI PENDWA, BONGO FLEVA , MAGAZETI MATANGAZO YA KIBIASHARA.

itaendelea
Emanuel G. Mashele
Info.mashele@gmail.com

info

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?