Posts

Chimbuko la lugha ya kiswahili

  Chimbuko ni istilahi yenye maana ya kitu fulani kilipoanzia. Ni dhahiri kuwa kuna mijadala ya wataalamu mbalimbali inayozungumzia chimbuko la lugha ya Kiswahili. Baadhi ya wataalamu hao ni pamoja na Chami (1994), Massamba na wenzake ( 1992  mpaka 1996), Freeman Granville (1959) na wengineo. Ifuatayo ni mitazamo yao kukusu chimbuko la lugha ya Kiswahili. Chami (1994), Massamba na wenzake (1992 hadi (1996) wanasema utafiti uliofanywa na wataalamu wanaosema kuwa chimbuko la lugha ya Kiswahili ni Kingozi kizungumzwacho Kenya na Kishomvu kizungumzwacho maeneo ya Bagamoyo na Dar es Salaam hauna mashiko, hivyo basi litakuwa ni jambo la busara kama watafanyia upya utafiti wao. Nae Freeman Granville (1959) Katika kitabu chake alichokiita "The Medieval of Kiswahili Language" anasema Kilwa hata kabla ya karne ya 10 ilikuwa na umuhimu mkubwa kibiashara, hivyo basi kulingana na umuhimu huo wa kibiashara miongoni mwa Wabantu wa Kilwa na wageni (Waarabu) ilipelekea kuibuka kwa lugha m...

Lowassa azikwa Monduli

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Kanitoa bikra yangu na mimba kaniachia!

Image
   Jina langu ni Gresia, mimi ni mama miaka 35 ni mwenyeji wa Moshi nchini Tanzania, katika maisha yangu nimepitia mengi yenye milima na ma bonde ambayo siwezi kamwe kuja kuyasahau.  Nikiwa na umri wa miaka 20, nilianzisha mahusiano na kijana mmoja yeye alikuwa mwenyeji wa Moshi pia ila familia yake ilikuwa inaishi Arusha, kwa ufupi usichana wangu aliufaham yeye. Kiukweli nilimpenda sanaa lakini mwisho wa siku aliniacha katika mazingira ya kutatanisha na nikashangaa mtu karudi Arusja pasipo kuniaga,ningefanya nini? niliumia sana lakini baadaye nikazoea. Kumbe nisijue kama kaniacha na mimba, nikawa naumwa umwa sanaa na nilikuwa na tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara.  Kutokana mama yangu na baba yangu walikuwa wanajiweza, nikapelekwa hospital nzuri kwa vipimo zaidi, japo mama yangu aliwahi nihoji kama nina mimba lakini nikamkatalia kwakuwa nilikuwa napata siku zangu kama kawaida kwahiyo sikuwa na hofu. Ugonjwa wangu ulikuwa unawanyima usingizi wazazi wangu, nilipung...

Swahili/English Translator Consultant

Image
Swahili/English Translator Consultant Production · Dar es Salaam, Dar es Salaam (Hybrid) Department : Production Employment Type : Full-Time Consultant Minimum Experience: Experienced UBONGO is Africa's leading producer of kids' edutainment. As a non-profit social enterprise, we create fun, localized and multi-platform educational content that helps kids learn, and leverage their learning to change their lives. Ubongo reaches millions of families across Africa through accessible technologies like TV, radio and mobile phones. Our show’s Ubongo Kids and Akili and Me currently air in 31 countries across Africa, in Swahili, English, French, and Kinyarwanda. We are currently adapting the shows to even more languages including Kikuyu, Luo, Yoruba, Hausa, Igbo, and Twi. This is a great time to join an organization that’s rapidly growing across the continent, and work with a creative and impact-driven team committed to reaching as many families in Africa with life-changing edutainment....

NAFASI ZA KAZI TAKUKURU 2024

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa katika  nafasi za kazi zifuatazo kujaza ofisi za Wilaya:  1.0 AFISA UCHUNGUZI (NAFASI 250)  1.1 Sifa za Mwombaji: 1.2 Sifa za Kitaaluma:  ▪ Muombaji awe angalau na elimu ya shahada ya kwanza iliyotolewa  na chuo kinachotambulika na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania katika fani zozote kati ya hizi: Sheria, Uhasibu, Kodi,  Sayansi ya Kompyuta, Sayansi ya Uhalisia, Ununuzi, Uchumi,  Mipango, Usalama wa Mitandao, Takwimu, Ukadiriaji wa  Majenzi, Uhandisi wa Umeme, Usanifu wa Majengo, Uhandisi wa  Ujenzi, Uhandisi wa barabara na Uhandisi wa Maji, Saikolojia,  Ushauri na Unasihi;  ▪ Muombaji awe na ufaulu wa kuanzia daraja la pili la chini (lower  second class). ▪ Waombaji waliosajiliwa na Bodi za Kitaaluma watapewa kipaumbele  zaidi.  1.3 Sifa zingine: ▪ Mwombaji ni lazima ...

MAANA YA KITABU NA UTATA WAKE

  Kwa mujibu wa Neil Fraistal (1985), wanafafanua kuwa kitabu ni makala iliyoandikwa  kisanaa na makala hii inaweza kuzalishwa na mtu yoyote yule mwenye uwezo wa kufanya hivyo. Tunaona fasili hii inajikita katika swala la sanaa na kufanya kitabu kiwe kipana zaidi kwani swala la sanaa ni pan asana na mtaalamu huyu hafafanui ni sanaa ipi. Halikadhalika, TUKI (2014), wanafasili kitabu ni maandishi yaliyowekwa pamoja katika kurasa zilizoandikwa kwa mkono au zilizopigwa chapa na kupangwa kwa utaratibu maalumu na kutiwa jalada. Tunaona fasili hii inajikita katika kurasa kuelezea maana ya kitabu huku haiweki wazi utaratibu maalumu ambao kitabu inabidi kiwe nao. Pia Kamusi pevu ya Kiswahili (2016) wakifafanua maana ya kitabu wanaeleza kuwa  ni kurasa zenye maandishi zilizofungwa pamoja kwa utaratibu. Pia fasili hii inajikita katika kuelezea utaratibu maalumu na kurasa lakini pia haiweki wazi huo utaratibu maalumu ni upi. Kwa mujibu wa Oxford Advanced Leaners Dictionary (2012), wa...

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024

Image
  Vigezo vya kujiunga Na kidato cha tano 2023 Baada ya Matokeo ya kidato channel kutangazwa wanafunzi wengi wamekuwa wakijiuliza Je ni vigezo vipi vitatumika katika selection za kidato cha tano 2023? Vigezo vinavyotumika katika miaka yote katika uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha tano ni hivi hapa -Awe amesoma angalau masomo 7 nakuyafanyia mtihani. -Awe umepata  division 1 hadi division 3 -awe amefaulu masomo matatu kwa kiwango cha credit yani A-C, Na ufaulu huo usihusishe masomo ya dini. -katika masomo aliyofaulu yawe Na uwezo wakuumba combination/taasusi isiyozidi salama kumi(10) A=1 B=2, C=3 , D=4 F=5 Mfano alipata Chem A, Bios B phy C A+B+C = 6 -Kwenye combination aliyoichagua kusiwe Na somo lenye F. -Awe alijaza selfom kwaajili ya kuchagua kujiunga Na kidato cha tano. Wengine huchagua kujiunga Na vyuo. -Awe Na umri usiozidi miaka 25  NB kwa kawaida wale waliofaulu sana kulingana Na taasusi walizozichagua hupewa kipaumbele. Lakini pia serikali hujitahidi kadri iwezav...