Posts

UDSM ARIS LOGIN

 The management of the University of Dar es Salaam (UDSM) has enabled its Undergraduate, Diploma, Postgraduate, Certificate, Masters, and P.h.D. programs students and staff login portal online. The University of Dar es Salaam (UDSM) ARIS login portal is created for newly admitted ( freshers ) and returning students of the University to create an account or log in to perform certain academic actions at ease, for example: Course Registration Fees Payment View Admission List/Status Tenders Checking of Semester Results Acceptance Fees Payment Procedures Transcript View Academic Calendar Almanac Extra Credit Hours Deferment of Admission etc. How To Change/Reset UDSM ARIS Login Password: ​ Have you forgotten your password to log in to the UDSM aris profile and/or school portal? Don’t worry, kindly follow these steps to retrieve or change your password: To start, go to the Portal Login screen Next, click on the  Forgot/Change Password link , fill and enter the required details Click ...

Alinipa uroda kamili kitandani ila kanitapeli fedha zangu

Image
Naitwa Moraa kutoka kaunti ya Kisii, nilikuwa mtu maarufu katika kaunti hiyo kwani kazi yangu ya kukodesha majumba makubwa ya kifahari ilinifanya kujulikana na watu wengi na iliweza kunipatia fedha nyingi sana.  Ilikuwa ni matamanio yangu kuwa na mpenzi kwani nilikuwa nimempoteza mume wangu kupitia ajali ya barabara miaka miwili tu baada kufunga ndoa. Hali ya upweke ilikuwa imenizidi na hapo niliona ulikuwa ni wakati mzuri wa kupata mtu wa kunituliza moyo kwani ndio maisha yalivyo.  Kupitia mtandao mmoja wa kutafuta wapenzi (dating site), nilimpata mwanaume mmoja mwenye asili ya Nigeria na hapo nikaona ni vizuri tuwe wapenzi alikuwa mtanashati kweli na aliniambia sharti nimtumie nauli kwani alikuwa mbali kidogo na kaunti ya Kisii lakini ukweli alikuwa tu nchini Kenya kwenye kaunti ya Nairobi. Nilimtumia nauli kwani nilikuwa na hela ajabu, nilikuwa natamani sana kuwa na mtu haswa wa kuniliwaza moyo wangu, Jamaa aliwasili kwenye kaunti ya Kisii hadi nyumbani kwangu. Aliwasili ny...

Jinsi mimi na mke wangu tulivyokuwa Waganga wa Jadi wenye mafanikio

Image
   Niliishi katika eneo la Busia magharibi mwa Kenya nikiwa kama Mganga wa Jadi au Mtaalam wa Tiba Asilia anayechipukia, baada ya miezi kadhaa kupita, kazi ile ilianza kunipa kipato kikubwa na hapo sikuwa na budi na kuacha kazi yangu ya kuuza mahindi.  Kila mtu kwenye kijiji chetu alinitambua kama Dokta Okello, ama kwa hakika kazi hii ilinipa umaarufu sana katika kijiji chetu na hata mara nyingi Wanahabari walikuja kushuhudia kazi zangu. Wezi walipatikana na bidhaa za watu zilirejea kutokana na kazi yangu hii, lakini kwa hakika sikuwa na ujuzi kabisa wa kazi hii, nilihitaji ujuzi wa Wataalam wengine wa Tiba Asilia ambao wangenisaidia kupata ujuzi zaidi.  Basi nilianza kutafuta usaidizi, nilizunguka Kenya nzima nikitafuta waliokuwa na ujuzi zaidi wala sikupata kwani walaghai pekee ndio waliokuwa wamejaa.  Tulifanya kazi ile na mke wangu kwani naye pia alikuwa ameipenda kazi ile kwani ilikuwa na kipato kizuri, lakini tulikuwa tayari tumekata tamaa, ndipo jamaa ait...

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI TRA

Image
  Mamlaka ya Mapato Tanzania ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.11 ya mwaka 1995, na ilianza  kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. Katika kutekeleza majukumu yake TRA inaongozwa na sheria  na ina jukumu la kusimamia kwa uadilifu ukusanyaji wa kodi mbalimbali za Serikali. TRA  inatekeleza mpango kazi wa sita (CP6:2022/23 - 2026/27) ikitekeleza Dira ya kuwa ‘‘Taasisi ya  Mapato Inayoaminika kwa Maendeleo ya Jamii na Kiuchumi’’ na Dhamira ya ‘‘Kurahisisha na  Kuimarisha Ulipaji Kodi wa Hiari kwa Maendeleo Endelevu’’ TRA inapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 27 Mei 2023  mpaka 09 Juni, 2023 kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia tarehe  24 September, 2023 na hatimaye kuwapatia barua ya ajira waombaji kazi watakaofaulu.  Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: - 1. Usaili utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye ratiba ikianisha siku, muda na sehemu.  2. Kil...

Google yashtakiwa kwa kusababisha kifo

Image
  Kampuni ya Google imeshtakiwa na Familia ya Philip Paxson ambaye kwa kufuatia ramani za Google aliendesha gari kwenye daraja lililoanguka na kupoteza maisha. Paxson alizama Septemba mwaka jana baada ya gari yake aina Jeep Gladiator kutumbukia katika daraja huko North Carolina,nchini Marekani. Alikuwa akirudi nyumbani kutoka kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 9 ya kuzaliwa kwa binti yake. Eneo alilokuwa akipita lilikuwa geni kwake ndipo ramani za Google zilipomuelekeza kuvuka daraja ambalo lilikuwa limeporomoka. Familia hiyo inaituhumu Google kwa uzembe, na kudai kuwa kwa takribani miaka mitano Kampuni hiyo ilikuwa ikipewa taarifa na watu kadhaa kuwa daraja hilo limeanguka na waliitaka irekebishe taarifa za ruti. Hata hivyo Kampuni hiyo haikurekebisha taarifa za ruti hiyo kwenye mfumo wa ramani. Kesi hiyo pia imezitaja kampuni kadhaa binafsi zilizokuwa na jukumu la kusimamia daraja na eneo hilo. Polisi walioukuta mwili wa mwanaume huyo kwenye gari yake iliyokuwa imepinduka na ku...

Pigo Kwa Wahubiri YouTube Ikitangaza Kufutilia Mbali Video Za ‘Maombi Ya Uponyaji Kansa

Image
  HUENDA ukawa umekutana video za maombi ya uponyaji katika mtandao wa kijamii haswa YouTube unapopekua. Video hizi huonyesha mgonjwa wa kansa, ukimwi au hata mtu mwenye ulemavu akiponywa baada ya kuamini. Huku video hizi zikinuiwa kutia watu nguvu na moyo wanapokuwa kwenye hali hii ngumu ya kiafya, wengi wamekataa kuzuru hospitali kutibiwa kwa kuamini ‘wataponywa.’ Ni kwa sababu ya upotoshaji huu ambao YouTube imeahidi kutoa video zote za uponyaji haswa ya magonjwa ya kansa mtandaoni katika wiki zijazo. Mtandao huo wa kijamii ulisema kuwa, “Kwa siku na wiki zijazo, tutaondoa video zote zinazoeleza kuhusu matibabu ya kansa ambazo si za kweli na zinapotosha wagonjwa kwa kuwafanya wasitafute matibabu.” Video hizo pia ni pamoja na zile zinazowashauri wagonjwa hao wa kansa kutumia kitunguu saumu au kula vyakula vyenye vitamini C badala ya kupata matibabu kwa njia ya mtambo wa kisasa unaotoa miale ya X-Ray kuua seli zinazosambaza saratani (radiotherapy). “Pia tutaweka kizuizi cha umri a...

TMDA: SIO SAHIHI KUMWAMBIA MGONJWA MEZA DAWA KUTWA MARA TATU

Image
  Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imesema sio sahihi kumwambia mgonjwa meza dawa kutwa mara tatu kwani kwa kufanya hivyo, inamfanya mgonjwa ameze dozi nzima ya dawa kwa mgawanyiko wa saa 12 pekee kitu ambacho sio sawa. Hayo yamesemwa na Mkaguzi wa Dawa kutoka TMDA Kanda ya Mashariki, Joy Hezekieh, alipokuwa akitoa elimu ya matumizi sahihi ya dawa kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kibiti mkoani Pwani. Joy amesema makosa hayo yamekuwa yakijitokeza kwa jamii na ikichukuliwa kuwa ni sahihi na ndio maana kwa sasa wameamua kutoa elimu kwa kuwafikia wanafunzi ambao wanaamini baadaye watakuwa mabalozi wazuri kwenye jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. “Mfano unakuta cheti cha dawa kimeandikwa 2x3, ambapo 2 inawakilisha idadi ya vidonge ambavyo mgonjwa anatakiwa kutumia kwa wakati huo na 3 inawakilisha muda, siku 1 ina masaa 24 ukigawanya kwa 3 unapata masaa 8, hivyo mgonjwa atatakiwa kutumia vidonge vyake kila baada ya s...