Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha
.jpeg)
Mke wangu ambaye tulikuwa tumekaa kwenye ndoa kwa miaka minne, siku moja aliamka na kuniarifu ameamua kunipa talaka, kisa cha kufanya hivyo ni kwa sababu sina fedha za kuweza kumlinda na kumtunza kama inavyohitajika. Nilipigwa na butwaa mbona aliamua kufanya hivyo kwani tulikuwa tumekaa kwenye ndoa kwa miaka minne bila hayo mambo ya talaka kuwahi kutokea. Aliponipa talaka hapo ndipo nilipogundua kuwa wanawake wengi humpenda mume kwa kuwa ana fedhaa na wakati utakapokosa kupata hizo fedha hapo ndipo atakapokuacha kuenda kumtafuta mwingine. Sikuwahi kudhani kuwa mke wangu Stella niliyempenda na kumdhamini kwa kiasi hicho angeweza kunipa talaka, kabla ya hayo kutokea tulikuwa tunaishi maisha mazuri yenye furaha na upendo sana. Alionekana kuwa mwenye furaha na kutaka kuwa nami kila wakati, kwa kuwa nilikua na fedha, niligundua kuwa sio mimi aliyenipenda bali alizipenda fedha nilizokuwa mfukomi mwangu. Jambo hilo lilinifanya kumjua ni mtu mpenda mali na nilikuwa na u...