Posts

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 (ACSEE FORM SIX EXAMINATION RESULTS 2023)

Image
  Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato Cha sita 2023 kwa njia ya sms | formsix examination results 2023 BOFYA  >>HAPA>>  KUANGALIA MATOKEO Matokeo ya kidato Cha sita 2023 kwa wanafunzi wakidato Cha sita 2023 waliofanya mitihani ya kidato Cha sita 2023 yanatarajiwa kutolewa na Baraza la mitihani necta hivi karibuni. Yaliyomo HISTORIA YA MATOKEO YA MTIHANI YA KIDATO CHA SITA 2023 2. JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 3. MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2023 MIKOA YOTE 4. MASWALI NA MAJIBU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2023 HISTORIA YA MATOKEO YA MTIHANI YA KIDATO CHA SITA 2023 Baraza la mitihani necta ndilo lenye dhamani ya kusimamia mitihani yote ya elimu ya awali na secondary nchini Tanzania. Mitihani hiyo ni pamoja na MTIHANI wa kitaifa wa Darasa la nne, MTIHANI wa kuhitimu elimu ya msingi,  mtihani wa kitaifa wa kidato Cha pili, mtihani wa kuhitimu kidato Cha nne na mtihani wa kidato Cha sita. Hapa tutaangazia zaidi mitihan...

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023

Image
  Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2023 leo tarehe 13/07/2023. Matangazo hayo yatarushwa live kupitia youtube ya NECTA (Nectaonline) kuanzia saa 6:45 mchana. Matokeo hayo ya kidato Cha sita 2023 yatakuwa hapa live  BOFYA  >>HAPA>>  KUANGALIA MATOKEO

Ukifanya jambo hili moja tu, basi utapandishwa cheo kazini!

Image
   Kila mmoja anapenda kuona maisha yake yanapiga hatua kila siku, hakuna mtu ambaye hapendi kuona maendeleo yake binafsi ingawa vikwazo ni vingi hasa upande wa utafuta riziki. Jina langu ni Wambui toka Nairobi nchini Kenya, nimeajiriwa kwenye kampuni kubwa ya usambazaji vinywaji baridi, nimefanya kazi hii kwa miaka zaidi ya 12 sasa. Miaka mitatu iliyopita nilifanikiwa kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara baada ya kufanya kwa miaka tisa bila kupata fursa hiyo ambayo kila mfanyakazi huwa anaitamani.  Sababu ya kuikosa kwa muda mrefu sio kwamba sikuwa na vigezo au ofisi yangu haikuwa na uwezo, laah hasha!, bali ni fitna za kikazi ambazo baadhi ya wafanyakazi wenzangu walikuwa wanazifanya kwa kushirikiana na uongozi.  Nasema hivyo kwa sababu nilishuhudia vijana wengie wakitoka katika Vyuo na kuja kuanza kazi wakiwa hawana uzoefu wowote lakini baada ya miaka miwili au mitatu wanapandishwa vyeo na mishahara huku mimi nikisaliwa mtupu.  Siku moja nilitembelewa nyum...

USAJILI MPYA YANGA: MKUDE ASAJILIWA YANGA

Image
  Club ya Yanga imetangaza rasmi kuwa imemsajili aliyekuwa mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Jonas Gerald Mkude kama Mchezaji huru baada ya Mkataba wake na Simba SC kumalizika. Huu unakuwa ni usajili wa tatu wa Yanga msimu huu baada ya kumsajili Kibabage na Gift Fred kutoka SC Villa ya Uganda. Mkude ameondoka Simba SC baada ya kuitumikia kwa miaka 13 toka alipojiunga nayo 2010.

Sikuamini nitaolewa na miaka 43 na kupata mtoto

Image
  Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na kuishi maisha mazuri ya upendo, furaha, kujaliana na kuthaminiana. Vigumu kusema kuna mwanamke asiyekuwa na malengo hayo ingawa kuna wachache ambao wanaweza kuwa kinyume na hilo kutokana na sababu mbalimbali ambazo muda mwingine zinakuwa nje ya uwezo wa wao au sababu za kimazingira.  Jina langu ni Hawa, kwa sasa nina miaka 46, naishi Dar es Salaam, Tanzania, niliolewa miaka mitatu iliyopita, yaani nikiwa na umri wa miaka 43 jambo ambalo mwenyewe sikuamini hata familia yangu tayari ilikuwa imeshanikatia tamaa.  Siri ya kuolewa kwangu katika umri huo ni African Doctors ambaye alinitumia dawa zake baada ya kuwasiliana naye kwa namba hizi  +254769404965 ambazo nilizitoa kwenye tovuti yake, www.african-doctors.com kipindi kitafuta mbinu za kuweza kupata mume. Hapo awali nikuwa na mahusiano na kaka mmoja ambaye tulidumu kwa miaka saba nikitarajia atakuja kunioa lak...

High CPM ADS NETWORK AND ADSENSE ALTERNATIVE

Image
  Hi bloggers and website owner, I think monetag is now Google AdSense alternative and you can use to monetize your contents Why monetag Higher CPM Timely payment, and minimum payment is only 5$ Payment methods are, Skrill, bank, payoneer card, webmoney, wire, PayPal. Monetag ads format You can choose any format you want to use,  but I recommend to use , vignette banner, push notification and inpage push Ready more here how to earng with monetag high CPM visit >>HERE>>

KISWAHILI NI FURSA YA KIUCHUMI -MAJALIWA

Image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wananchi waliojitokeza katika Hafla ya Ufunguzi wa Siku ya Kiswahili duniani, Iliyofanyika katika Ukumbi wa Polisi visiwani Zanzibar. Julai 06, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuzungumza na kusoma lugha ya Kiswahili kwa kuwa lugha hiyo ni fursa ya kiuchumi Duniani. “Kuwa mzawa wa lugha ya kiswahili pekee, unakuwa hujapata fursa ya  kunufaika nacho, muhimu ni kuendelea kujifunza zaidi ili kuwa mahiri, leo hii kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki Kiswahili kinazungumzwa na hata nchi nyingine zimeingiza kwenye mpango wao somo la Kiswahili. ” Ametoa wito huo leo (Alhamisi Julai 06, 2023) wakati alipofungua maadhimisho ya Siku ya Kiswahili duniani yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Polisi, Ziwani Zanzibar. Amesema kuwa Watanzania wananafasi ya kuwa walimu kwenye nchi mbalimbali ambazo zimeingiza katika mitaala yao somo la Kiswahili “Nataka niwaamb...