HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023
Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2023 leo tarehe 13/07/2023. Matangazo hayo yatarushwa live kupitia youtube ya NECTA (Nectaonline) kuanzia saa 6:45 mchana.
Matokeo hayo ya kidato Cha sita 2023 yatakuwa hapa live
BOFYA >>HAPA>> KUANGALIA MATOKEO
Comments
Post a Comment