MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 (ACSEE FORM SIX EXAMINATION RESULTS 2023)
![]() |
Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato Cha sita 2023 kwa njia ya sms | formsix examination results 2023 |
BOFYA >>HAPA>> KUANGALIA MATOKEO
Matokeo ya kidato Cha sita 2023 kwa wanafunzi wakidato Cha sita 2023 waliofanya mitihani ya kidato Cha sita 2023 yanatarajiwa kutolewa na Baraza la mitihani necta hivi karibuni.
Yaliyomo
HISTORIA YA MATOKEO YA MTIHANI YA KIDATO CHA SITA 2023
2. JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023
3. MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2023 MIKOA YOTE
4. MASWALI NA MAJIBU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2023
HISTORIA YA MATOKEO YA MTIHANI YA KIDATO CHA SITA 2023
Baraza la mitihani necta ndilo lenye dhamani ya kusimamia mitihani yote ya elimu ya awali na secondary nchini Tanzania. Mitihani hiyo ni pamoja na MTIHANI wa kitaifa wa Darasa la nne, MTIHANI wa kuhitimu elimu ya msingi, mtihani wa kitaifa wa kidato Cha pili, mtihani wa kuhitimu kidato Cha nne na mtihani wa kidato Cha sita. Hapa tutaangazia zaidi mitihani ya kidato Cha sita 2023 na matokeo yake. Kama ilivyo kawaida mitihani ya kidato Cha sita 2023 ilifanyika mwezi Mei mwaka huu ambapo wanafunzi wa kidato Cha sita hufanya mtihani huo wa upimaji kabla ya kujiunga na vyuo mbalimbali vya elimu ya juu nchini. Matokeo ya mitihani kidato Cha sita kwa Mwaka 2023 yanatarajiwa kutangazwa hivi karibuni na Baraza la mitihani Tanzania NECTA 2023 FORM SIX EXAMINATION RESULTS
JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023
Ili kuangalia matokeo ya kidato Cha sita 2023 unatakiwa kuangalia kwa kubofya >>HAPA>> au tembelea tovuti rasmi ya Baraza la mitihani Tanzania Necta www.necta.go.tz vile vile unaweza kuangalia matokeo ya kidato Cha sita 2023 kwa njia ya sms kwa kufuata Hatua hizi
Piga *152*00#
Chagua namba 8.ELIMU
Chagua namba 2.NECTA
Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo source : www.necta.go.tz (form six 2023 examination results)
MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2023 MIKOA YOTE
Ili kuangalia matokeo ya mitihani kidato Cha sita 2023 Bofya> HAPA>
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2023
Swali Je nilini matokeo ya kidato Cha sita 2023 yatatangazwa?
Jibu: Matokeo ya mtihani kidato Cha sita 2023 yatangazwa hivi karibuni ndani ya wiki hii
Swali : Je nitaangalia vipi matokeo ya kidato Cha sita 2023?
Jibu: matokeo ya kidato Cha sita yatakapotangazwa yatawekwa katika tovuti ya Baraza lamitihani na katika tovuti hii.
Swali : Je nitawasiliana vipi na Baraza la mitihani necta?
Jibu: unaweza kuwasiliana na Baraza la mitihani necta kwa simu +255-22-2700495-6/9 /+255-22-2775966
Hitimisho: tembelea tovuti hii Mara kwa Mara ili matokeo ya kidato Cha sita yatakapotangazwa uyaone.
Comments
Post a Comment