Posts

Helkopta ya kijeshi ya Japan yatoweka karibu na mpaka wa Taiwan

Image
Walinzi wa bahari wa Japan wanaendelea na operesheni ya kutafuta na kuokoa ndege ya helikopta ya kijeshi iliyotoweka kwenye mitambo Alhamisi karibu na visiwa vya kusini magharibi karibu na Taiwan. Yasunori Morishita, ambaye ni kiongozi wa vikosi vya kijeshi vya ardhini vya Japan, GSDF wakati akizungumza na wanahabari amesema kwamba helikopta hiyo aina ya Black Hawk inaaminika kuanguka baharini kufuatia kuonekana kwa vifusi vinanyofanana na vya ndege karibu na eneo hilo. Maafisa wa GSDF wamesema kwamba helikopta hiyo ilikuwa imebeba watu 10, wakati ikifanya uangalizi karibu na kisiwa cha Miyakojima, takriban 400 mashariki mwa Taiwan. Ndege hiyo ilitoweka Alhamisi kwenye mtambo wa mawasiliano wa radar saa kumi na dakika 33 jioni saa za huko. Meli za ulinzi za kijeshi za Japan tayari zimetumwa kujiunga na GSDF kwenye eneo la tukio ili kusaidia kwenye operesheni za uokozi

MTANZANIA ASHINDA MASHINDANO YA UVUMBUZI WA TEKNOLOJIA

Image
   Deogratius Lazari Mosha raia wa ametangazwa mshindi wa mashindano ya blogi katika tuzo za Watanzania mashindano ya 'Forty under 40 Awards.' Mashindano hayo yalihusisha viongozi wa biashara na wavumbuzi kutoka Afrika. Gazeti la mwananchi limesema wakati wa kutoa hotuba, Deogratius alitamka kuwa “Mashindano haya hutoa hamasa kwa wavumbuzi wa kiafrika na kufanya juhudi zaidi katika nyanja mbalimbali katika masuala ya teknolojia.” Deogratius alisema ushindi wake unatakiwa kama “hamasa zaidi kwa vijana hasa Watanzania kujiamini na kushirikina katika ujumbe wa kimataifa.”  alisema. Mvumbuzi huyo amekuwa akijihusisha na ubunifu wa vifaa mbalimbali ikiwemo kuwezesha taasisi za kusajili wateja kidijitali na hata wanafunzi kujisomea kupitia simu za mkononi.

SABAYA AACHIWA HURU

Image
  Hatimaye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjaro mchana huu imetangaza kumuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya baada ya muda mfupi uliopita kukiri makosa yake yaliyokuwa yakimkabili. Sabaya amekiri makosa yake kwa njia ya 'plea bargaining' ambao ni mchakato wa makubaliano/maridhiano maalumu katika kesi ya jinai kati ya Mwendesha Mashtaka na Mshitakiwa ambapo Mshitakwa anaweza kukubali kukiri kosa moja au zaidi katika makosa aliyoshitakiwa nayo ili apate nafuu katika kesi inayomkabili. 

Video ya DJ Brownskin Akimrekodi Mkewe Akinywa Sumu

Image
Julai 29, 2022, mwanadada Sharon Mwangi alifariki dunia na wiki moja baadaye akazikwa; Watu wasijue kuwa kuna tukio lilitokea alilolirekodi mume wake aitwaye Hamisi Ramadhan au DJ Brownskin. DJ kwenye msiba wa mke wake Hivi karibuni video imevuja ikimuonyesha DJ akimtazama mkewe akinywa sumu mbele ya watoto wao…..Sharon akajilaza kwenye sofa huku Dj akiendelea kurekodi. Mtoto wao anaonekana kwenye video ingawa hajui kinachoendelea. Dj Brownskin baadaye akampigia simu msaidizi wao wa nyumbani ampe mke maziwa. Siku ya msiba DJ aliandika “Kifo chako kiliacha pengo maishani mwangu ambalo ninalijaza na upendo tulioshiriki.” Wadau wamekuwa na mitazamo mbalimbali huku wengi wao wakimlaumu mwanaume. Wengine wanadai kuwa ukitazama video hiyo ni wazi walikuwa na migogoro mingi, hasa mama huyo alivyokuwa akikataa kunywa Maziwa. Kwa hiyo ni vyema kumpa DJ nafasi aeleze kisa kizima kabla ya kumhukumu. Kulingana na sheria za Kenya, ukipatikana ...

SIMBA KUKUTANA NA MABINGWA HAWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Image
  Kikosi cha timu ya Simba. KESHOKUTWA Jumatano Simba iatafahamu ni nani ambaye watakutana naye kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakati ambao droo ya hatua hiyo itakuwa inapangwa kule Misri lakini ni lazima waangukie kwa moja ya vigogo wa Afrika. Simba wametinga hatua hiyo mara baada ya kumaliza nafasi ya pili katika kundi C ambalo lilikuwa na timu za Raja Casablanca, Vipers, Horoya AC na wao. Championi Jumatatu limefahamu timu ambazo zina nafasi kubwa ya kukutana na Simba katika hatua hiyo kutokana na jinsi ambavyo droo ya michuano hiyo inachezeshwa. Kwa mujibu wa upangaji wa timu zinavyokutana, huchukuwa zile timu nne zilizoongoza katika kila kundi kisha kuchezeshwa droo na timu nne zilizoshika nafasi ya pili kwa ajili ya kupata timu nane zitakazokutana. Hivyo Simba ambaye ameshika nafasi ya pili atakuwa katika poti moja na timu nyingine tatu ambazo zimemeliza katika nafasi ya pili katika makundi yao kama Al Ahly, JS Kabyile na CR Belouzidad ambapo watacheshwa droo ...

Hii dawa ndio iliyonitoa Jela baada ya kufungwa kwa kosa la uongo!

Image
  Ukweli ni kwamba sio kila aliyejela ametenda kosa, wapo wengi wamefungwa vifungo virefu jela kwa mambo ya kusingiziwa na kufungwa kutokana pengine waliofanya hivyo walitoa rushwa ambayo ni adui ya haki. Nasema jambo hilo nikiwa na ushahidi wa kutosha na uzoefu kwa sababu niliwahi kupitia hilo, nilifungwa kwa kosa la kusingiziwa kuwa nimevunja duka la mtu na kuiba kitu kitu ambacho hakikuwa kweli. Asubuhi moja nikiwa katika eneo langu la kazi nilishangaa Polisi wakija na kunikamata, nilishtuka na nilipouliza tatizo ni nini hasa?, waliniambia kuwa nitaenda kujieleza huko mbele ya safari, basi nilifikishwa kituo cha Polisi na baada ya siku mbili, nilifikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya wizi. Nilikana mashtaka yote yaliyonikabili, niliambiwa kuwa nimeiba fedha na mali katika duka lile ambalo kiukweli nilikuwa na muda mrefu tangu niende hapo kupata huduma, siwezi kusahau jinsi ambavyo nilipitia maumivu makali kihisia. Kwangu maisha yalikuwa ni magumu sana maana sikuweza kup...

Unaweza kupata kazi kwa urahisi kupitia mtu huyu!

Image
  Siku zote huwa nasema hakuna kitu ambacho kimekuwa kikiwasumbua vijana wengi kwa sasa kama kupata ajira, bila ajira ni vigumu kwa kijana kuweza kuendesha maisha yake na kuwa mtu mwenye mafanikio. Siku zoye imekuwa ikiaminika kuwa mtu aliyeenda shule kusoma hadi elimu ya juu amekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kupata kazi, lakini kadiri miaka ambavyo imekuwa ikienda suala la ajira limekuwa changamoto kwa wasomi na wasio wasomi. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya ufundi stadi nilikaa nyumbani miaka minne bila kufanikiwa kupata ajira licha kutuma maombi katika ofisi mbalimbali za kiserikali na kibinafsi.  Jambo lilonishangaza ni kwamba kuna ambao walimaliza masomo nyuma yangu walikuwa wakipata ajira na kuanza hatua za kimaendeleo kama kujenga na kufungua biashara zao ila kwangu ilikuwa ni tofauti. Hali hiyo ilinifanya kujiona mwenye bahati mbaya maishani sana ingawa niliamini kuna muda wangu utafika.  Siku moja nikiwa natembelea wavuti mbalimbali ambazo hutoa matangazo ya ...