Posts

KCSE examination results 2022 |www.knec.ac.ke

Image
  Education Cabinet Secretary Ezekiel Machogu  About KCSE 2023 KCSE, ni kifupi kifupi cha Kenya Certificate of Secondary Education, ni shahada ambayo huchukuliwa baada ya mtu kukamilisha elimu ya sekondari nchini Kenya. Wanafunzi hupewa huu mtihani ili kujiandaa kuendelea kwenye ngazi nyingine za elimu kama Chuo Kikuu. (Source www.wikipedia .org ) TO SEE YOUR KCSE EXAMINATION RESULT FOR 2022 visit  knec website on tommorow  www. knec.ac. ke Education Cabinet Secretary Ezekiel Machogu is expected to release the 2022 Kenya Certificate for Secondary Education exam results on Friday January 20. Machogu is expected to announce the results at the Kenya National Examinations Council (KNEC) offices after reports indicated that marking of the papers had ended. The 2022 national tests were administered between February 28 and April 1, 2022. KNEC administered the KCSE exam to some 884,263 learners who sat the tests last year. Out of this, 420,845 were female whil...

MUUNDO WA VITENDAWILI NA DHIMA YAKE

Mfano kitendawili, utegapo mtegaji Jibule huwa twawili, wawatatiza majaji Likawateka akili, waume walo magwiji Mwisho hutolewa mji, mfumbi kutoshindika (Boukheit Amana) Kitendawili ni swali la kiistiari ambapo sehemu moja ya ulingannishi uliopo inadokezwa tu ilhali ya pili inabakia ya kukisiwa. Kama sanaa, vitendawili hutegemea uwezo alionao mtu kutambua, kuhusisha na kulinganisha vitu vya aina tofauti katika mazingira yake. Hii ni sanaa inayotendwa (performative) na inayosimama kivyake tofauti na sanaa tegemezi au elekezi (illustrarive) kama methali. Kitendawili ni kauli inayotenda mawili au inayotendwa na wawili. Ni mchezo wa kuficha maana. Ni utandu wa maneno ambamo dhana husimuliwa kijazanda ili mtu mwingine ang’amue. Vitendawili hulenga maisha ya jamii na shughuli wafanyazo. Vitendawili vingi hushughulikia mambo tofauti yanayomhusu binadamu kama kifo, uhai, chakula, maisha na mazingira. Asili ya Vitendawili Vitendawili vina asili mbalimbali (a)...

falsafa ya kiafrika katika riwaya za kiethnografia za kiswahili

Image
  Lameck mpalanzi PhD UDSM photo credit www.udsm.co. ac Lameck Mpalanzi Tasinifu ya Ph.D Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Institute of Kiswahili, 2019 Utafiti huu unachunguza ujitokezaji wa vipengele vya falsafa ya Kiafrika katika riwaya teule za  Ethografia ninini? Ethnogafia ni tawi mojawapo la anthropolojia na uchunguzi wa kimfumo wa tamaduni za mtu binafsi. Ethnografia inachunguza matukio ya kitamaduni kutoka kwa mtazamo wa SoMo la utafiti  kiethnografia za Kiswahili. Vipengele vilivyochunguzwa ni dini ya jadi, uganga na uchawi, uzazi, uhai na  kifo na uduara wa maisha. Katika kuchunguza vipengele hivyo, riwaya zilizoteuliwa na kuchambuliwa ni  Kurwa na Doto, Mirathi ya Hatari na Bw. Myombekere na Bi. Bugonoka; Ntulanalwo na Bulihwali. Vilevile, utafiti ulilenga kubainisha namna vipengele teule vilivyomo katika riwaya vinavyoakisiwa katika  jamii teule za Unguja, Njombe na Ukerewe. Aidha, utafiti ulilenga kuchunguza mwingiliano wa riwaya ya ...

FALSAFA ZA KIAFRIKA KATIKA FASIHI

Image
Kuhusu FALSAFA za kiafrika katika FASIHI andishi FALSAFA ZA KIAFRIKA imegawanywa katika sehemu mbalimbali. Sehemu ya kwanza ni utangulizi ambayo inaelezea maana ya Falsafa, Falsafa ya Kiafrika, maana ya Riwaya na maelezo mafupi kuhusu Riwaya ya BW. MYOMBEKERE NA BI.BUGONOKA kilichoandikwa na ANICETI KITEREZA. Sehemu ya pili ni kiini cha swali ambayo inaelezea Falsafa mbalimbali za Kiafrika zilizopo kwenye Riwaya na sehemu ya mwisho ni hitimisho. Kwa mujibu wa Odera (1990) anasema Falsafa ni taaluma ambayo kanuni za msingi kuhusu asili, binadamu na jamii huchunguzwa na kujadiliwa. Odera anazungumzia taaluma ambayo mtu anapaswa kuwa nayo ili kuchunguza jambo fulani na kanuni zake bila kuzitaja kanuni hizo ni zipi hasa ambazo kimsingi inawezekana kuwa hizo kanuni zenyewe ndizo Falsafa. Kwa maana hiyo, hizo kanuni zinapaswa kuwa ndizo Falsafa yenyewe kwa kuwa ndiyo inayomwongoza binadamu kuishi. Papineau (1993) anaeleza Falsafa ni fikra za ndani kabisa kuhusu maswali magumu ambayo yapo. Ma...