Posts

UHAKIKI NAGONA NA MZINGILE

Image
  Uhakiki wa riwaya ya nagona na mzingile RIWAYA ZA NAGONA NA MZINGILE 1.0 Utangulizi Katika makala haya tutachambua riwaya za Nagona na Mzingile. Katika kuchambua riwaya hizi tutajikita katika kuangalia baadhi ya vipengele kama dhamira, falsafa, lugha, mtindo wa usimulizi, wahusika, motifu na suala la ontolojia. 2.0 Maelezo kuhusu mwandishi na riwaya zake 2.1 Maelezo kuhusu mwandishi Euphrase Kezilahabi alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Namagondo kilichoko kisiwani Ukerewe katika ziwa Victoria nchini Tanzania. Alipata elimu ya msingi huko kijijini Ukerewe na baadaye alijiunga na seminari ndogo ya Nyegezi kwa ajili ya masomo ya upili. Baada ya kumaliza alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es salaam mnamo mwaka 1967. Katika masomo yake alijishughulisha na nadharia mbalimbali zihusuzo falsafa (Wamitila 1991:64). Mnamo mwaka 1976 alitunukiwa shahada ya umahiri ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kabla ya kutunukiwa shahada nyingine ya umahiri ya Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison mwaka 198...

Download | Flavour ft Fally Ipupa & Diamond Platnumz – Berna Reloaded [Mp3 Audio]

Image
  AUDIO | Flavour Ft. Diamond Platnumz & Fally Ipupa – Berna Reloaded | Download Download  | Flavour ft Fally Ipupa & Diamond Platnumz – Berna Reloaded [ Mp3 Audio ]

Majukumu ya BAKITA

  Baraza la kiswahili la taifai (BAKITA) Chombo hiki kiliundwa kwa sheria ya bunge na 27 ya mwaka 1967. madhumuni ya kuunda bakita ni pamoja na,  kukuza maendeleo  na matumizi ya kiswahili fasaha katika wizara mbalimbali na kwa watu binafsi. kushirikiana na vyama navyuo katika nchi yetu vinavyohusika na ukuzaji wa kiswahili. kutoa jarida la kiswahili litakaloongoza matamshi sahihi ya maneno kulinda na kutoa tafsiri sahihi za maneno ya kiswahili kuisaidia serikali na mashirika yake kwa haja watakazotaka watendewe pamoja na  kusaidia wenye nia katika kutunga vitabu vya kiswahili kwa mujibu wa lugha ya kiswahili. Kujihusisha na ukuzaji wa misamiati kuendesha mijadala  kuhusu matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili kufanya uchunguzi kuhusu matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili Kudhibitisha usahihi wa lugha ya kiswahili katika miswada mbalimbali inayotarajiwa kuwa vitabu vya lugha hiyo  vitakavyotumika shuleni Hata hoivyo bakita bado inakumbana na changamoto mbali...

maendeleo ya kiswahili hoja zinazodai kuwa kiswahili ni kiarabu

  Wapo wataalamu wanaodai kuwa kiswahili ni kiarabu. wataalamu hawa wanatiwa nguvu na hoja kuwa kiswahili kinayo maneno mengi kutoka katika lughas ya kiarabu.  Pia kwakuwa kiswahili kilienea zaidi pwani  kwanza na baadaye kuja bara basi hoja yao inazidi ushawishi kwakuwa wenyeji wengi wa pwani ya Afrika mashariki. hata hivyo baadhi ya wataalamu wanasema kuwa neno lenyewe kiswahili ni la kiarabu linalotokan na neno sahil lenye maana ya pwani. Je kiswahili ni kiarabu? toa maoni yako

40 Job Opportunities at Sanlam, Afisa Mauzo (Resident sales executives)

Image
  Afisa Mauzo (Resident sales executives) 40 posts at Sanlam June, 2021. Sanlam is a South African financial services group headquartered in Bellville, Western Cape, South Africa. Sanlam is the largest insurance company in Africa. It is listed on the Johannesburg Stock Exchange, the Namibian Stock Exchange and the A2X. Afisa Mauzo (Resident sales executives) 40 posts at Sanlam June, 2021 The deadline for submitting the application is 03 July 2021.

how to say ilove you in kiswahili

  english                          kiswahili I                                      MIMI LOVE                         KUPENDA YOU                       WEWE ILOVE YOU              NAKUPENDA ILOVE YOU TO                   NAKUPENDA PIA THANK                                  ASANTE BYE                                          BAI/KWAHERI NO                          ...

changamoto za istilahi katika uandishi wa tasnifu

 Changamoto za Istilahi katika Uandishi wa Tasinifu za Uzamili wa Kiswahili Tanzania  Arnold B. G. Msigwa  Ikisiri  Uthabiti wa taasisi yoyote ya elimu ya juu hasa katika ngazi ya Chuo Kikuu unatokana na uimara wa programu zitolewazo katika taasisi husika na ubora wa wahitimu katika ngazi husika. Kuimarika kwa programu kama za Umahiri na Uzamivu ni sifa mojawapo ya taasisi ya elimu ya juu. Kuimarika huko hakutawezekana kama eneo la istilahi za kitaaluma zinazotumika kwa uwanja husika isimu/fasihi na methodolojia ya utafiti hazitakuwa sanifu na thabiti. Hivyo, makala haya yanafafanua changamoto za kistilahi katika pragramu za M.A. (Kiswahili) na PhD (Kiswahili) katika TATAKI kwa uzoefu wa miaka mitano. Swali linaloibuliwa na makala haya ni je, kutakuwa na usanifu wa program kama usanifishaji wa istilahi haujafanywa na taasisi husika. Mwito wa makala haya kwa watawala wa TATAKI na Chuo Kikuu kwa ujumla wake, ni kwamba, hima usanifishaji wa Istilahi katika Kiswahili has...