Majukumu ya BAKITA

 




Baraza la kiswahili la taifai (BAKITA)

Chombo hiki kiliundwa kwa sheria ya bunge na 27 ya mwaka 1967. madhumuni ya kuunda bakita ni pamoja na, 

kukuza maendeleo  na matumizi ya kiswahili fasaha katika wizara mbalimbali na kwa watu binafsi.

kushirikiana na vyama navyuo katika nchi yetu vinavyohusika na ukuzaji wa kiswahili.

kutoa jarida la kiswahili litakaloongoza matamshi sahihi ya maneno

kulinda na kutoa tafsiri sahihi za maneno ya kiswahili

kuisaidia serikali na mashirika yake kwa haja watakazotaka watendewe pamoja na  kusaidia wenye nia katika kutunga vitabu vya kiswahili kwa mujibu wa lugha ya kiswahili.

Kujihusisha na ukuzaji wa misamiati

kuendesha mijadala  kuhusu matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili

kufanya uchunguzi kuhusu matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili

Kudhibitisha usahihi wa lugha ya kiswahili katika miswada mbalimbali inayotarajiwa kuwa vitabu vya lugha hiyo  vitakavyotumika shuleni


Hata hoivyo bakita bado inakumbana na changamoto mbalimbali kama vile uhaba wa fedha kwa kutochukuliwa  kwa umuhimu  kama taasisi ya serikali

ukosefu wa miundombinu ya kisasa


Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?