Posts

MO SCHOLARS PROGRAM 2017/2018

Image
The Program: The Mo Dewji Foundation provides scholarships to outstanding high school students planning to pursue higher education, which cover four years of undergraduate college. The scholarship program is intended to create a community of passionate students and provide them with the capacity to achieve their greatest potential. Eligible students must be admitted to the University of Dar es Salaam (UDSM) or Sokoine University of Agriculture (SUA).  Focus Areas: Education Please be sure to read the program overview before applying to the program. If you feel you meet our eligibility criteria, you may download and complete the application form. Send this form and all other application materials (listed on the application) to moscholars@modewjifoundation.org  by October, 20th, 2017 at 11:59PM EAT. Apply now! Program Overview Eligibility Requirements What do we look for in our scholarship recipients? High Academic Achievement: Recipient must have obtained a grade point avera...

SAUT: First batch,selected Applicants for Diploma and certificate programmes 2017/2018

Image
MPORTANT NOTE TO ALL SELECTED APPLICANTS All selected applicants are required to read, understand and abide by these instructions . JOINING INSTRUCTION FOR 2017/2018 ACADEMIC YEAR Second Round,Selected Applicants for Diploma and certificate programmes for Academic year 2017/2018 First Round,Selected Applicants for Diploma and certificate programmes for Academic year 2017/2018 source: saut  share plz

Njia za kufanikiwa katika Betting

Image
  Watu wengi wanachukulia mchezo wa kubashiri matokeo (betting) kama ni mchezo usiofaa katika jamii, lakini mimi napingana na huo mtazamo ambao upo kwa watu wengi. Kwa namna nyingine huu mchezo unategemeana na wewe mchezaji unavyouchukulia na namna unavyoshiriki kuucheza. Kimsingi kama ukiuchukulia huu mchezo kama ndio chanzo chako cha kupatia kipato na ukaucheza bila staha ukitegemea utaenda wewe unavyofikiri au unavyotaka na matokeo yake ikawa tofauti unaweza kuuchukia huu mchezo na kuuona mbaya sana.  Huu mchezo ukiuchukulia staha na kuucheza kwa makini ni mchezo unaoweza kuwa msaada katika maisha yako hasa kukusaidia kuinua kipato chao. JARIBU KUFUATA HIZI NJIA ILI KUWEZA KUFANIKIWA KATIKA BETTING Usiufanye huu mchezo wa kubet kama chanzo chako kikuu cha mapato cha kutegemea. Hii itakuepusha wewe kutoshusha kipato chako hata iwapo hutapata matokeo uliyotarajia katika betting. Ukizingatia ya kwamba huu ni mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbal...

How to play Tatua 3 Kenya

Image
It's as easy as 1-2-3! Go to M-PESA on your phone and select Lipa na M-PESA. Enter Mpesa paybill number 150150 Enter your 3 lucky numbers from 0-9 followed by WEB on the account name section eg 637 WEB Enter your bet amount. Minimum Sh10 maximum Sh1000 That’s it! You will receive your ticket by SMS. Match 2 or 3 numbers in order and you can win between  Sh100  and  Sh300,000 . You will receive an sms upon winning, and your winnings will automatically be transferred to your Mpesa account. Odds & Payouts - Example Table Every bet is split into a "hybrid bet" - 50% is bet on matching 2 numbers and 50% is bet on matching 3 numbers. Your Bet Your Numbers Winning Numbers Odds Multiplier You would win Sh10 112 512 1:37 10x Sh100 Sh100 112 117 1:37 10x Sh1,000 Sh1000 112 212 1:37 10x Sh10,000 Sh10 121 121 1:1000 300x Sh3,000 Sh100 112 112 1:1000 300x Sh30,000 Sh1,000 211 211 1:1000 300x Sh300,000

UREMBO: FAIDA ZA PAPAI KATIKA UREMBO WAKO

Image
TUNDA la papai lina vitamini C na E,  lina siri kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali. Papai limekuwa likitumiwa kama tunda kwa kula lakini pia kwa kupaka na humfanya mtu awe na ngozi ya asili. Bidhaa ambazo  zimekuwa zikitengenezwa kwa kutumia tunda la papai ni pamoja na sabuni, losheni, tona, moisturiza, ‘facial peels’ na nyingine nyingi. Ukitumia facial mask ya papai utakuwa na sura nzuri ya asili na kukupa muonekano mzuri wa uso wako. Facial mask hii huweza hutumika kwa watu wa umri na aina yoyote ya ngozi. Facial mask ya papai ina nguvu ya kung’arisha uso wako. Mask ya mchanganyiko wa papai na yai ni nzuri katika kuhakikisha kuwa unakuwa na ngozi nzuri na nyororo. Njia hii pia husaidia hata wale wenye nyuso za mafuta ambao wamekuwa wakisumbuliwa na chunusi mara kwa mara kwa kufanya ngozi kuwa kavu. Utengenezaji: Chukua papai, likate kisha toa mbegu na ulisage kwa kutumia blenda au pondaponda kwa kinu kisha weka ...

Afya:ONGEZA AKILI YAKO KWAKULA VYAKULAHIVI

Image
BILA shaka ubongo ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache sana wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na utendaji kazi wote wa mwili na ndiyo unaowezesha mwili kuishi maisha ya furaha au karaha. Hata hivyo, wakati mwingine utendaji kazi wa mwili unaweza kuwa siyo mzuri kutokana na sababu mbalimbali zinazoathiri ubongo, mojawapo ikiwa ni kukosekana kwa lishe bora na staili ya maisha inayotakiwa kuimarisha ufanisi wa ubongo. Chakula ni moja ya sababu za msingi kabisa za kuimarisha ufanisi wa ubongo na kuzuia magonjwa mengine ya akili. Lakini kwa bahati mbaya watu wengi hawajui wale vyakula gani kwa lengo la kujenga akili na kuimarisha ubongo. Ifuatayo ni orodha ya vyakula ambavyo vinaongoza kwa kuimarisha utendaji kazi mzuri wa ubongo: MAFUTA YA SAMAKI Mafuta ya samaki ni muhimu kwa ubongo na mfumo wa fahamu. Ulaji wa samaki wenye minofu kama samoni (salmon) na dagaa, utaweza kupata faida hizo kwa sababu aina hii ya samaki ina k...

KOSA SI KIDONDA

Kukosea kumekuwa ni sehemu ya kila kiumbe duniani. Kuanzia unapozaliwa  ni mara nyingi Sana'a utajikuta kwenye makosa aidha kwa kujua ama kwa kutokujua. Pamoja na kuwa ni asili ya mwanadamu kukosea jambo hili limekuwa na uzito mkubwa sanaa kwenye maisha yetu na hii ni kwa kuwa watu wengi huona makosa zaidi kuliko mema au mazuri atakayofanya mwingine. Kukosea kumefanya watu kujidharau na kurudi nyuma katika hatua zao. Naamini utakubaliana nami kuwa ni Mara nyingi tumekuwa tukijuta na kuumia na wengine hata kulia tukikumbuka Yale tuliyoyafanya nyuma. Lakini umeshawahi kujiuliza baada ya uchungu huo na maumivu ni nini kitafata!?? Je utaendelea kulia kila siku na kuumia na kuishi maisha ya kujilaumu kwa makosa yako??!! Je kitabadilika nini baada ya majuto hayo ??   Jibu la haraka ni kuwa hakuna kitakachobadilika na hapa ndio nakumbuka ule msemo wa Yaliyopita si ndwele tugange yajayo  Ni lazima Leo  uamue kuishi maisha mapya ,kukubali kuwa MTU mpya, kufanya mamb...