Posts

Showing posts from July, 2023

USAJILI MPYA YANGA , MKALI WA MAGOLI ASAJILIWA YANGA

Image
  KUTOKA Ghana Hafiz Konkoni  mwenye umri wa miaka 23 alikuwa anakipiga Club ya Bechem United ya Ghana amesaini dili jipya Yanga. Hafiz msimu wa 2022/23 rekodi zinaonyesha kuwa kwenye Ligi Kuu nchini Ghana aligotea nafasi ya pili kwa wanaowania Tuzo ya Mfungaji bora kwa kufunga mabao 15 na pasi tatu za mabao. Nyota huyo alipata nafasi ya kucheza katika michezo 26 kwenye ligi atakuwa kwenye changamoto mpya Yanga. Ni dili jipya amesaini ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamond akitajwa kueba mikoba ya Fiston Mayele ambaye huenda akaibukia Pyramid FC ya Misri. Mayele ni mfungaji bora ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 alipotupia mabao 17 na ana tuzo ya mchezaji bora wa msimu

Nyota huyu kutambulishwa United

Image
  Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta juu ya uhamisho wa mshambuliaji Rasmus Winther Højlund kwa ada ya uhamisho ya jumla ya euro milioni 70. Hojlund (20) raia wa Denmark atasaini mkataba wa miaka mitano wa kuwatumikia Mashetani hao Wekundu mpaka Juni 2028 na chaguo la kuongezeka mpaka 2029. Klabu ya PSG ilikuwa katika kinyang’anyiro cha saini ya mshambuliaji huyo lakini chaguo lake namba moja lilikuwa Manchester United.

Mke kanikimbia na kusema mtoto sio wangu

Image
  Nimekaa na mke wangu kwa miaka mitano bila ugomvi wowote na hakujawahi kuwa na tuhuma zozote za usaliti kati yetu, pamoja tuna mtoto mwenye umri wa miakaminne sasa, amekuwa akiniita Baba ila mwezi uliopita nilishangaa mama yake kumpiga kwa kuniita Baba. Nilimuuliza mke wangu kwa nini alikuwa akimpiga mtoto, aliniambia wazi kuwa mimi sio Baba yake, niliinuka kutoka mahali nilipokuwa nimeketi na kumpiga kofi kabla ya yeye kunitukana matusi ambayo siwezi kuyasema hapa. Baadaye alikimbia na kwenda kuishi na mtu mwingine katika mji wa Naivasha ambapo anafanya kazi, nilijaribu kumtumia SMS na aliniambia alikuwa ameenda kukutana na baba wa mtoto wake.  Niliamua kufanya utafiti wangu mwenyewe ya jinsi gani naweza kukabiliana na changamoto hiyo, nikaingia kwenye mtandao ambapo nilipata habari nyingi jinsi ya kupata mapenzi safi na mwanamke mwingine.  Tovuti hiyo ilielezea African Doctors kama wataalamu wa mitishamba ambao wanatoa huduma zenye uhakika kwa wale wanaosumbuliwa na m...

Uhusiano wa lugha na utamaduni

  KWA kuzingatia Nadharia ya Sapir na Whorf, tunapata kwamba kuna uhusiano wa lugha na utamaduni katika jamii. Nadharia hii inasema kwamba lugha hutawala namna wazungumzaji wake wanavyoiona dunia. Kwa kuchunguza baadhi ya misamiati ya  wanalugha  fulani, utagundua yapo maneno pekee yanayowakilisha yale wanayoona mbele ya macho yao au mazingira yao tu na kutokuwepo kwa neno kunamaanisha kwamba jambo hilo halipo ‘machoni’ pao. Sawa na kusema kuwa ‘lisilokuwepo machoni na moyoni halipo’. Lugha ya mtu hutawala mawazo yake. Dhana tulizonazo huunda kile tunachokiona, kinachotuzingira na kinachotuhusu. Lugha ni mfumo wa dhana, ni mhimili wa jinsi tunavyoiona dunia yetu ya kila siku. Nida (1986), anasema kuwa, lugha ni kielelezo cha utamaduni wa wazungumzaji wake na sio mhimili wa mtazamo wao. Lugha hufuata jamii na wala si kuiongoza jamii hiyo. Utamaduni Dhana ya utamaduni inarejelea jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazi...

Ijue dawa ya kuikinga biashara na kukuletea faida

Image
Wanasema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa kamwe, hiyo ni kutokana matajiri wote duniani ni wafanyabiashara na wajasiriamali wakubwa ambao wamekuwa wakiuza bidhaa na kutoa huduma.  Jina langu ni Diana toka Nairobi, Kenya, tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana biashara, nakumbuka nikiwa kijijini kwetu huko Meru, mara kadhaa nilikuwa naenda sokoni kuuza vitu wakati ningali mdogo.  Niliamua kufanya hivyo kutokana na hali ya umaskini iliyokuwa imeikumba familia yatu kwa kiasi kikubwa. Nilijiapiza siku ambayo nakuja kuwa mtu mzima lazima nifanye biashara kubwa.  Baada ya kuwa mkubwa nilihamia Nairobi kwa shangazi yangu, nilianza kufanya kazi katika Mgahawa mmoja ambapo nilitunza fedha hadi kupata mtaji ambao niliutumia katika biashara.  Wakati namuaga yule mwenye Mgahawa nilimwambia wazi kuwa naenda kufungua biashara ya kuuza nguo za mitumba na kama nikishindwa basi siku moja nitarejea kwenye kazi ile hivyo asisite kunipokea.  Alifurahishwa na uwazi wangu k...

POLISI KENYA WAVAMIA NYUMBANI KWA MTOTO WA UHURU

Image
  Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta Kikosi cha maafisa wa polisi kimemvamia makazi ya Mtoto wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta huko Karen. Akizungumza huko Karen, Uhuru alithibitisha kuwa polisi walivamia nyumba ya Mtoto wake wa mwisho Jomo Kenyatta, wakitafuta bunduki na silaha zingine. Uhuru amedai kuwa maafisa wanaoripotiwa kutoka kwa Kurugenzi ya Upelelezi wa Jinai walikuwa wakitumia magari yenye nambari za Usajili za Sudan. “Nilipata ripoti kutoka kwa mwanangu kwamba kulikuwa na watu nyumbani wanaodai kuwa maafisa wa DCI kwenye gari lililokuwa na usajili wa Sudan na kudai kuwa walitaka kumuona na kuzungumza naye,” Uhuru amesema ikiwa utawala wa Kenya Kwanza unamlenga, basi wanapaswa kumfuata kama mtu binafsi. Uhuru ameongeza kuwa kukaa Kwake kimya baada ya Ruto mamlaka hakumaanishi kuwa anaogopa chochote. “Mwanangu amevamiwa nyumbani na sasa najiuliza hii serikali inataka nini? Kama ni mimi wananilenga basi waje tu, kukaa kimya kwangu haimaanishi kuwa naogopa, njoo kwangu. Mamangu ana u...

Wengine wanatumia dawa za kulevya kisa ushirikina

Image
  Kuna njia nyingi za kitaamu ambazo zimekuwa zinapendekezwa kuwasaidia watu wenye urahibu wa dawa za kulevya na kurudia maisha yao kawaida ya kila siku.  Hata hivyo, baadhi ya wahanga wameshindwa kuondoka na matumizi ya dawa za kulevya licha ya kupitia taratibu zote za kitaalamu, hii ni kitokana na msingi wa tatizo lenyewe  kwani kila mmoja huwa na chanzo tofauti.  Zipo baadhi ya familia zimekuwa ni kama jambo la kurithishana kwani kila mwanafamilia amekuwa akikumbwa na urahibu wa dawa za kulevya hadi unaweza kusikia jamilia fulani ni ya mateja.  Jina langu Urio mkazi wa Tanga, Tanzania, kaka yangu aliingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kwa kificho, ilichukua muda mrefu sana hadi kuja kutambua kuwa amekuwa na uteja huo.  Tulianza kupata taarifa kutoka kwa rafiki zake wa karibu na baada ya hapo tulimuita na kumuuliza ukweli wa jambo hilo, alikataa na kusisitiza hajawahi kutumia dawa za kulevya na wala hatambui zinafananaje.  Baada ya miezi kadhaa...

Jinsi ya kupata mtoto wa kiume au wakike

Image
BAADA ya kuandika makala yangu kuhusu madhara anayoweza kupata mtu kwa kutofanya tendo la ndoa, nimepokea maswali mengi huku wengi  wao wakitaka kujua zaidi kuhusu masuala ya uzazi ikiwemo mambo yanayosababisha kupata mtoto wa kiume ama wa kike. Kulingana na tamaduni zetu, wengi huwa tunamtanguliza Mungu na kumuomba atupatie mtoto tunayemtaka. Zipo njia nyingi za kitaalam, ikiwemo ya kupandikiza kizazi Intra Vitro Fertilization (IVF) ama kutumia kalenda. Mwanamke huzalisha mbegu aina moja ‘XX’ (X-Chromosomes) Mwaanaume anazalishwa mbegu za aina mbili ‘X’ (kike) na ‘Y’ (kiume) (XY-Chromosomes). Wakati wa uchavushaji;  Mama akitoa X na baba X = XX (mtoto wa kike) Mama akitoa X na baba Y = XY (mtoto wa kiume) Mbegu ‘X’ ni imara ukilinganisha na ‘Y’, pia ‘X’ zinatembea polepole kulinganisha na mbegu ‘Y’ ambazo zenyewe ni dhaifu (sio imara na hufa mapema), lakini zina mwendokasi mkubwa.     Kalenda Lazima ujue mzunguko wa mwanamke husika ni wa aina gan...

Mbinu ya kuwafanya watoto wafaulu masomo yao!

Image
  Ukweli ni kwamba kila mzazi anapompelekea mtoto wake shule anatarajia kuwa atafanya vizuri katika masomo yake na kufaulu mitihani ili aweze kusonga mbele na hitimaye kupata aina fulani ya taaluma ambayo itamsaidia maishani mwake.  Siku zote unajua hakuna kitu kinawapa wazazi wengi changamoto kama ambapo anatoa fedha nyingi kumlipia mtoto ada shuleni lakini anakuwa anafeli kila wakati. Hii changamoto yenye kuumiza sana, usiombe ukutane nayo. Nasema hilo kwa sababu limewahi kunitokea katika maisha yangu ambapo mtoto wangu wa kwanza toka darasa la kwanza hadi kufika la nne yeye alikuwa anashika nafasi mbaya sana katika masomo yake.  Hadi leo kwa kipekee namshuruku African Doctors ambaye nilipata namba yake kupitia mazazi mwenzangu ambaye mwanaye alikuwa anafanya vizuri sana kwenye masomo yake hadi waalimu wakawa wanamsifia.  Hiyo ni baada ya kumuuliza siri ya mafanikio ya mtoto wake katika msomo ndipo alipomtaja African Doctors kuwa alimpatia dawa ya kumuwezesha mtoto...

ALERTA DE NOVO JOGO! JetX na Olabet!

Image
  🚀✨ Prepare-se e embarque em uma aventura cheia de adrenalina! Levante voo com JetX, a melhor experiência de jogo na Olabet! 🎮🛩️ 🌌 Prepare-se para batalhas intensas e competições emocionantes enquanto se esforça para chegar ao topo das tabelas de classificação. Você se tornará o melhor campeão do JetX? 🏆✈️ Clique >>AQUI>> 💥 Junte-se à emoção hoje mesmo! Entre no mundo do JetX na Olabet e comece a jornada! 🎉🚀 https://www.olabet.co.mz/crash-games/ Realise os seus sonhos! #Olabet #JetX #VoadoresAltos #JogosDeAventura

EPL FRIENDLY MATCHES

Image
  ARSENAL FRIENDLY MATCHES: •Arsenal vs MLS All Stars || 3:30am (Thur 20th) •Arsenal vs MAN UNTD || 12:00am (Sun 23rd). •Arsenal vs Barcelona || 5:20am (Thur 27th). •Arsenal vs Monaco || 8:00pm (Wed 2nd Aug). CHELSEA FRIENDLY MATCHES: • Chelsea vs Wrexham || 2:30am (Thur 20th). • Chelsea vs B. Dortmund || 3:30am (3rd Aug). Manchester United FRIENDLY MATCHES: • Man United vs Lyon || 4:00pm (19th July). • Man United vs Arsenal || 12:00am (23rd July). • Man United vs Wrexham || 5:30am (26th July. • Man United vs R. Madrid || 3:30am (27th July) • Man United vs B. Dortmund || 4:00pm (31st July). • Man United vs lens || 4:45am (5th August). • Man United vs Bilbao || 6:00pm (6th August). LIVERPOOL FRIENDLY MATCHES: • Liverpool vs Karlsruher  || 7:30pm (19th July). • Liverpool vs Furth || 2:00am (24th July). • Liverpool vs Leicester || 12:00pm (30th July). • Liverpool vs B. Munich || 2:30pm (2nd Aug). • Liverpool vs Darmstadt || 9:00pm (8th Aug). MANCHESTER CITY FRIENDLY MATCHES: • Ma...

Dalili za mwanaume asiyekupenda

 DALILI 10 KWAMBA MWANAUME ULIYENAYE ANAKARIBIA KUKUACHA/KASHAKUCHOKA Mabadiliko katika mapenzi ni kitu cha kawaida sana, wakati mwingine mtu anahitaji muda wa peke yake, muda wa kutafakari mambo. Lakini kuna mambo mengine yakitokea unapaswa kuamka na kujua kuwa kuna kitu. Mara nyingi wanawake ni vipofu katika mabadiliko, wanaachwa na kuoneshwa dalili zote za kuachwa lakini bado wanang’angania hawaoni, zifuatazo ni dalili kumi kuwa mwanaume wako hakutaki tena kashakuchoka na anakaribia kukuacha. (1) Anawasiliana, anatamani na kuongea kimahaba na wanawake wengine mbele yako. Wala hajali upo, hajali kuwa anakuumiza, hajali kama unahisia, atawasiliana na wanawake wengine, ataongea nao na kuongea maneno ya kukuumiza huku akikudharau mbele yao. Dada Unaachwa! (2) Hakuchukulii siriasi tena; Yaani unaweza kuongea kitu wala hajali, mnaahadi hatokei na wala haombi msamaha, kuna kitu cha muhimu kinachokuhusu wewe wala hajali na haumizi kichwa, ukiongea hakuchukulii siriasi atakebehi na kukas...

Nafasi za kazi mbalimbali Zilizotangazwa leo

Image
   TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA 17-07-2023  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI 17-07-2023  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO 17-07-2023

Wadudu walionifanya kushinda kesi kubwa Mahakamani!

Image
  Jina langu ni Waithera kutoka katika kaunti ya Nairobi, tulimiliki shamba katika mtaa wa kifahari wa Runda ambapo shamba hilo lilikuwa takriban ekari 10. Mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hatimiliki ya shamba lile na hata tulikuwa tumejenga nyumba za kupangisha katika shamba hilo.  Muda ulivyosonga, mume wangu alipata ajali mbaya ya barabarani na kufariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Aghakan mjini Nairobi. Baada ya wiki moja hivi, alijitokeza jama moja tajiri aliyedai kwamba alikuwa mmiliki wa shamba letu, sio hayo tu, bali pia alipeleka kesi kortini kutaka kulichukua shamba letu.  Alianza hata kunipa vitisho kwamba ananipa siku chache ili niweze kumpa hatimiliki ya shamba lile, sikuwa tayari kufanya hivyo kwani nilifahamu kwamba shamba lile lilikuwa langu na marehemu mume wangu.  Baada tu ya kumzika mume wangu hali ilianza kuwa mbaya kwani alikuwa akiwalipa vijana mtaani ili waweze kunitishia niligeze kamba na yeye kutwaa shamba lile.  ...

USAJILI MPYA : SAMATTA ASAJILIWA PAOK FC

Image
    Nyota wa soka kutoka Tanzania anayekipiga kimataifa, Mbwana Ally Samatta, amesajiliwa na timu ya PAOK FC ya nchini Ugiriki ambapo leo ametambulishwa rasmi. Kupitia akaunti za mitandao ya kijamii za timu hiyo, Samatta amepostiwa leo, ikielezwa kuwa atakuwa akivaa jezi namba 33. Kabla ya kwenda PAOK, Samatta alikuwa akiichezea Genk ya Ubelgiji kwa mkopo, akitokea Fenerbahce ya Uturuki. Safari ya soka ya Samatta ilianzia katika timu ya Mbagala Market kabla ya kuhamia Simba na baadaye akatoboa kimataifa ambapo mpaka sasa anaendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa.

Platnumz Ft. Chike – My Baby | Download

Image
  AUDIO | Diamond Platnumz Ft. Chike – My Baby | Download Msanii wa bongo fleva Diamond platnumz kwa kushirikiana na Chike (platnumz Ft. Chike) ameachia ngoma mpya inayoruma kwa jina la My baby. Wimbo huo mpya wa diamond platnumz umetolewa leo July 4. Unaweza kufurahia ngoma hii kwa kuipakua hapa chini MSANII wa muziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘ Diamond Platnums’, ametimiza ahadi yake kwa mashabiki wa muziki baada ya kuachia wimbo mpya mapema leo Julai 4, 2023. Siku za hivi karibuni msanii huyo alichapisha kwenye ukurasa wake wa Intagram kuanzia Julai mwaka huu atakuwa akiachia ngoma kali bila kituo hadi mwakani. Msanii huyo ambaye ni mmliki wa lebo ya muziki ya Wasafi, amesema  kwakuwa mwezi Julai ni mwezi wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mama yake, basi atakuwa akitesa katika soko la muziki hadi mwakani ambapo atampisha msanii mpya anayetarajiwa kutambulishwa kwenye lebo hiyo.  Diamond leo ameachia video ya wimbo mpya ujulikanao kama My Baby, aliomshirikisha msanii kut...

VIDEO | Alikiba Ft. Marioo – Sumu

Image
  VIDEO | Alikiba Ft. Marioo – Sumu  

Bosi wangu anataja kuzaa na mke wangu

Image
  Ama kwa hakika ukistaajabu ya Musa utayaoana ya Firauni, ndivyo waswahili wa hapo kale walipata kusema, ni msemo ambao hadi  sasa unaishi katika maisha ya watu na jamii kwa ujumla.  Mimi ni mume na baba watoto wanne, jina langu ni Mustapha, nimeamua kuandika ujumbe huu baada ya Bosi wangu kuleta mambo ya ajabu sana, nayo ni kung'ang'ania kuzaa mtoto na mke wangu wa ndoa. Ajabu!. Hili ni suala ambalo lilighubikwa na usiri mzito ajabu, ila kwa uwezo wa African Doctors  ndipo nilipobaini mbinu hiyo chafu ya Bosi wangu, nakumbuka nafiki yangu mmoja alinipa namba ya mtaalamu huyo (+254 769404965), na kuniambia anaweza kumfunga mke wangu asiweze kutoka nje ya ndoa.  Nilifika ofisini kwake, African Doctors  alinipatia dawa na kuanza kuzitumia, niliendelea na shughuli zangu, wakati huo Bosi wangu alikuwa kila mara ananipa safari nyingi za kikazi ili apate muda wa kuendelea kumshawishi mke wangu.  Hata hivyo, mke wangu hakujua kama nimemfunga, wala Bosi wangu...

MEYA MOSHI ASHUSHIWA KIPIGO

Image
  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali  kutoka kwa diwani mwenzake,ABUU SHAYO wakati akiendesha kikao cha kamati Ya Mipango miji na Ardhi katika manispaa  hiyo.  Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi,wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake ,ambapo wajumbe wa kamati hiyo walikuwa wakiuliza maswali mbalimbali kwa mstahiki meya huyo ili kupata ufafanuzi wa masuala ambayo wanaona hayako sawa. Mmoja Ya wajumbe wa kamati hiyo Abuu Shayo ambaye ni diwani wa kata Ya mji Mpya,katika manispaa hiyo,alihoji mchanganuo wa sh,milioni 50 zilizotumika kwenye ujenzi wa madarasa mawili Ya shule Ya msingi ,wakati kunafedha kiasi cha sh,Milioni 20 zilizotolewa na Rais Samia Suhulu na kutosha ujenzi wa darasa pamoja na madawati yake. Taarifa zimedai kuwa Meya alimjibu kuwa taarifa za ujenzi wa madarasa hayo zitatolewa kwenye kata yake ,hata hivyo diwani huyo alionesha kutoridhika na majibu hayo kwa sababu Meya a...

TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 HAPA

Image
  Matokeo Kidato Cha Sita 2023 | NECTA ACSEE Results 2023 | Form Six Results 2023 BOFYA >>HAPA>> KUANGALIA MATOKEO NECTA ACSEE Results 2023-2024, Form Six Results 2023, Matokeo Kidato Cha Sita 2023-2024, Form Six Results 2023-2024.  NECTA Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE)  is offered to candidates who have completed two years of secondary education (advanced level) and have had three credits at CSEE level. Contents ACSEE Examination CalendarThe objectives of ACSEEEligibility of Candidates who Seats for the ExaminationExamined Subjects/Courses Matokeo Kidato Cha Sita 2023Form Six Examination FormatsGrade Za UfauluPassing GradesHow to check Matokeo Ya Kidato Cha sita 2023/2023-2024| Form Six Results 2023 online?Check NECTA ACSEE RESULTS 2023 BY SMS.ACSEE Examination Results 2023 | Matokeo Kidato Cha Sita 2023 and All years:- ACSEE Examination Calendar The ACSEE is administered on the first week of May every year. The objectives of ...