Nyota huyu kutambulishwa United

 

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta juu ya uhamisho wa mshambuliaji Rasmus Winther Højlund kwa ada ya uhamisho ya jumla ya euro milioni 70.

Hojlund (20) raia wa Denmark atasaini mkataba wa miaka mitano wa kuwatumikia Mashetani hao Wekundu mpaka Juni 2028 na chaguo la kuongezeka mpaka 2029.

Klabu ya PSG ilikuwa katika kinyang’anyiro cha saini ya mshambuliaji huyo lakini chaguo lake namba moja lilikuwa Manchester United.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?