Posts

Showing posts from March, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri. 

Breaking : RAIS SAMIA AMPENDEKEZA DK. PHILIP MPANGO KUWA MAKAMU WA RAIS

Image
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kinachofuata sasa ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuthibitisha jina lake katika kikao cha bunge kinachoendelea muda huu jijini Dodoma.  Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Rais Samia amepeleka bungeni jina la Dkt. Philip Mpango ili awe Makamu wa Rais na kwamba utaratibu wa kupiga kura unafanyika bungeni.

MCHANGO WA RAIS MAGUFULI KATIKA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI

Image

Namna wanafunzi wanavyoweza kubadili ‘combination’ kidato cha tano, vyuo mwaka 2021

Image
Inawahusu watahiniwa wa kidato cha nne wanaotarajia kujiunga na kidato cha tano mwaka huu. Watakiwa kuingia katika mfumo wa selform.tamisemi.go.tz ili kufanya mabadiliko. Serikali yaanzisha tahasusi mpya tano za PMC, KFC, BPF, PGE na KEC. Dar es Salaam.  Kama wewe ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2020 na una mpango wa kubadilisha tahasusi (combination) uliyochagua kusoma utakapojiunga kidato cha tano au chuo cha elimu ya ufundi mwaka huu, dirisha limefunguliwa kwa ajili yako.  Serikali imetangaza utaratibu mpya kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2020 kubadilisha tahasusi za kidato cha tano na kozi za vyuo vya elimu ya ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa kieletroniki wa uchaguzi wa kidato cha tano na vyuo mwaka 2021. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo amesema kuwa  lengo la kufanya mabadiliko ya tahasusi na kozi  ni kuwawezesha wanafunzi  kubadilisha  machaguo yao kulingana  na ufa...

TANZIA: Kiongozi wa Chadema afariki dunia

Image
  Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kata ya Bonga ambaye pia aligombea Udiwani katika Kata hiyo mwaka 2020 Zubeda Idd amefariki dunia katika hospitali ya mji wa Babati (Mrara)  alipokuwa akipatiwa matibabu. Kifo cha Zubeda Kimethibitishwa na Mwenyekiti wa Bawacha Jimbo la Babati mjini Vaileth Shayo ambapo amesema amefariki Machi 28,2021 kwa Tatizo la Kupooza lililompekea kupofuka macho. Mwili wa Marehemu utapumzishwa leo mchana Nyumbani kwake Bonga Halmashauri ya mji wa Babati Mkoani Manyara.

MAMA WA MIAKA 50 NA WATOTO WATANO ARUDI SHULE KUSOMA SHULE YA MSINGI

Image
  Mwanamke aitwaye Justina Onwumere, (50) nchini Nigeria anagonga vichwa vya habari mtandaoni baada ya kurejea shuleni akiwa na miaka 50 ambapo alishindwa  kuendela na masomo yake ya msingi wakati akiwa mchanga kwa sababu ya kuolewa mapema. Mwanae wa kiume kwa jina Chima Onwumere, ndiye alitangaza taarifa hiyo kupitia Facebook, huku akimsherehekea mama yake. Chima alisimulia namna mama yake alimpigia simu mwaka 2020 kumfahamisha kuhusu hamu yake ya kutaka kurejea shuleni.  Huo ulikuwa wakati wa furaha kwake Chima huku mama yake akiamua kufuata ndoto yake aliyokuwa amewacha miaka mingi iliyopita.  Alifurahia kwamba hii itakuwa rekodi ya Justina huku mama huyo wa watano akisema ni mtu ambaye anapenda sana masomo.  "Mwaka jana nilipata simu kutoka kwa mama yangu akisema kuwa anataka kurejea shuleni kwa sababu alipoteza nafasi hiyo kutokana na ndoa ya mapema. "Nilifurahia sana kama mpenzi wa masomo na umuhimu wake, nilimwamba nitaunga mkono uamuzi wake," aliand...

Magufuli PLAYLIST 2021 #1

Image
  Download Nyimbo 21 za Magufuli za Maombolezo V1 Pumzika kwa Amani RIPMagufuli [Aslay Bye  Magufuli | Download Audio Player 00:00 00:00   Baba Kash  KIFO HAKINA HURUMA | Download Audio Player 00:00 00:00   Balaa Mc –  R.I.P Magufuli | Download Audio Player 00:00 00:00   Best Naso –  John Magufuli | Download Audio Player 00:00 00:00   Christina Shusho –  Tutakukumbuka Daima | Download Audio Player 00:00 00:00   CYRILL KAMIKAZE –  MAGUFULI TUNALIA | Download Audio Player 00:00 00:00   EL NINO MUSIC –  MAOMBI | Download Audio Player 00:00 00:00   Foby –  Nenda Baba Magufuli | Download Audio Player 00:00 00:00   Haitham Kim Ft. Wyse –  Tunalia Watanzania | Download Audio Player 00:00 00:00   HAMIS BSS –  MAGUFULI UMEKWENA | Download Audio Player 00:00 00:00   Ibraah –  Bado ( Magufuli ) | Download Audio Player 00:00 00:00   J SISTERS –  MAGUFULI KWAHERI | Download Audio P...