TANZIA: Kiongozi wa Chadema afariki dunia

 



Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kata ya Bonga ambaye pia aligombea Udiwani katika Kata hiyo mwaka 2020 Zubeda Idd amefariki dunia katika hospitali ya mji wa Babati (Mrara)  alipokuwa akipatiwa matibabu.

Kifo cha Zubeda Kimethibitishwa na Mwenyekiti wa Bawacha Jimbo la Babati mjini Vaileth Shayo ambapo amesema amefariki Machi 28,2021 kwa Tatizo la Kupooza lililompekea kupofuka macho.

Mwili wa Marehemu utapumzishwa leo mchana Nyumbani kwake Bonga Halmashauri ya mji wa Babati Mkoani Manyara.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?