Posts

Showing posts from December, 2020

About Us

  About us We are creatives, innovators and changemakers. We’re big thinkers and doers.  Journalists and storytellers. Brand-marketers and event planners. Data scientists, designers, and engineers. Together, we reimagine what a modern media company should be. And together, we consistently pioneer new ways of engagement. CULTURE AND COMMUNITY We work hard, and we have fun doing it. And we give back to the communities we serve. We come together as #One masshele swahili—wherever we are in the world—for a Day of Impact or through service days. At Masshele swahili, we’re passionate about giving back to—and making a difference in—the communities where we live and work. RECOGNITION We celebrate each other. We work hard. We champion each other. And we take the time to celebrate our success. We believe that each of us brings something unique to the table, and collectively that makes us stronger, agile, unique. CORE VALUES We are entrepreneurs at heart. We create change from within, and...

Mchungaji azungumza, utata juu ya kifo cha Yussuf Deus aliyekutwa amejinyonga

Image
    Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Kijitonyama jijini Dare s Salaam, Eliona Kimaro amesimulia kifo cha utata cha muuza chipsi, Yusuf Deus aliyekutwa amejinyonga katika banda lake la biashara jijini humo juzi. Video iliyotumwa kwenye mitandao ya jamii jana ilimwonyesha Mchungaji Kimaro akieleza tukio hilo kuwa kabla ya kifo chake, kijana huyo aliyekuwa mwimbaji wa kwaya kanisani hapo aliwahi kutekwa na watu wasiojulikana tangu Desemba 2 hadi 8 mwaka huu. Mwananchi jana iliwasiliana na uongozi wa Jeshi la Polisi kupata taarifa ya suala hilo, ambapo Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, Ramadhan Kingai alielekeza atafutwe Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa. Mambosasa, hata hivyo, alipopigwa alijibu asingeweza kuzungumza kwa kuwa alikuwa ndani ya eneo la Ikulu kwa shughuli za kikazi. Mchungaji Kimaro anaeleza kwenye video hiyo kuwa walimtafuta Yussuf baada ya kutekwa na walipomkosa waliripoti Polisi. “Aliku...

Kama unatumia simu hizi hutaweza kutumia whatsapp kuanzia january Mosi 2021

Image
Ni pamoja na baadhi ya simu za iPhone na Samsung. Simu hizo ni zile zilizotolewa kabla ya mwaka 2010. Baadhi ya watumiaji wa simu watatakiwa kusasisha simu zao.  Dar es Salaam.  Msemo wa mwaka mpya na mambo mapya, huenda ukawakumba baadhi ya watumiaji wa simu ulimwenguni ambao maboresho ya mtandao wa WhatsApp yatawafanya kuukosa mtandao huo na hivyo kuwalazimu wanunue zingine. WhatsApp ambao ni mtandao wa mawasiliano unaotumia intaneti kutuma meseji, ujumbe wa sauti na video, ni kati ya mitandao ya kijamii maarufu huku ukiwa na  watumiaji  zaidi ya miloni 100 wanaofurahia mawasiliano yanayovuka mipaka ya kimataifa kwa teknolojia ya simu na kompyuta. Hata hivyo, mtandao huo unaomilikiwa na Facebook unatarajia kufanya maboresho ambayo yataanza kufanya kazi ifikapo Januari 1 mwakani ambayo yatasababisha mtandao huo usipatikane kwa baadhi ya simu zikiwemo za iPhone na Samsung. Watumiaji wa simu za iPhone 4 na Samsung Galaxy S2 wanalazimikakununua simu mpya endapowatahita...

ulimwengu wa masonic na njama za kutawala dunia

Image

Mwanaume humpima mwanamke anayefaa kwa mambo haya

Image
    Mara nyingi wanaume wametofutiana sana katika suala la kuwapima wanawake wanaofaa kuwa nao katika maisha, wengi wao huwapima kwa mambo yafutayo: 1. Ukienda kwake ukutana na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa tu, so wewe ujiongeze. 2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti anajali kihivyo. Anakutest aone kama utasema "Acha baby, ntakufulia mpenzi wangu". 3. Ukikuta kwake amefanya shopping ya vyakula vya kupika kama unga, mchele, na vingine halafu akakwambia mwende ule mgahawa fulani mkapate dinner usidhani eti ana hela kibao ya kutumia! Anakutest aone kama utamwambia mbaki kwake mpike mle. Uko chumba cha mtihani! 4. Siku kakuahidi kukutoa out halafu unafika kwake unakuta kajikunyata kama mgonjwa anakwambia mama ake kapiga simu anaumwa anaomba atumiwe hela. Halafu anakwambia hela aliyo nayo na ukipiga mahesabu unaona ni kama ile ya kutumia mkiwa ...

Wonder Woman 1984”: Filamu ya kufungua mwaka 2020

Image
Inamhusu Diana ambaye ni mwanadada anayenuwia kuukomboa ulimwengu kutoka kwa watu wabaya. Wivu wa Barbara juu ya mafanikio na kunawiri kwa Diana kunamuunganisha na Maxwell kuusumbua ulimwengu. Kurudi kwa mpenzi wa Diana, Steve kuna kuwa ni sababu ya Diana kupoteza baadhi ya nguvu zake. Dar es Salaam.  Tuzame kidogo katika ulimwengu wa kufikirika. Diana Prince ni shujaa wa kike ambaye nia yake ni kuukomboa ulimwengu kwa kutumia nguvu zake za maajabu kama mwana Amazon. Pale anapokutana na Barbara, na kuwa marafiki, urafiki wao hauzai matunda baada ya wivu wa Barbara juu ya mafanikio ya rafiki yake kusababisha kuungana na adui mkuu Maxwell ili apate keki ya mafanikio pale atakapofanikiwa kuuteka ulimwengu. “Umekuwa ukipata kila kitu wakati watu kama sisi tukiwa hatuna lolote,” anasema mwana dada ambaye wivu wake unamtafuna, Barbara akimwambia Diana. Maxwell ambaye anatumia satelaiti (Satellite) kufikisha ujumbe wa kuwataka watu kusema kile wanachokihitaji akiwa na nguvu ya kuwafanya w...

Semantic relation with other descpline (uhusiano wa semantiki na taaluma nyinginezo

    Foreword Praise be to God who will not cease to give grace, taufiq and guidance to his servant, and always pleased with our deeds. Prayers and greetings to Prophet Muhammad always terlimpahkan SAW.Dalam this paper discusses the semantics with other disciplines, has been discussed previously and historical understanding. In 1923 came the book The Meaning of Meaning Ogden & Richards works that emphasize the relationship of three basic elements, namely the 'thought of reference' (mind) as an element that presents a specific meaning that has a significant relationship with the referent (reference). The mind has a direct relationship with the symbol (symbol). The symbol has no direct relationship with the symbol (symbol). The symbol does not have an arbitrary relationship. In connection with the meaning, the experts used to determine the semantics of the fact that the origin of the word meaning (nouns) than to the mean (verb), in which many containing 'meaning' diffe...

Maneno ambayo unapaswa kumwambia mpenzi wako ili kuongeza ladha katika mahusiano

Image
  Mapenzi yanayotawaliwa na maneno matamu hunawiri na kuchanua kama mmea uliopandwa kando ya mto. Hakika maneno mazuri husadifu mambo mengi mazuri baina yenu ikiwemo upendo, kujali, kuthamini, heshima, utii, upole, nidhamu, uaminifu, unyenyekevu, usikivu, ukarimu na faraja hivyo ni vema kuhakikisha kama kweli unampenda kinywa chako daima kimtolee lugha nzuri ya maneno matamu. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mwenza wako hakika inazidisha furaha na amani kati yenu.. Nakupenda Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mwenza wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu kulisema neno hilo pindi mwenza wako anapokuchekesha au pale anapofanya kitu kinachokukumbusha kwanini mko pamoja.....``` Umependeza Kama umekuwa kwenye ndoa kwa muda mrefu, ni rahisi kujisahau katika mengi. Ni muhimu kumkumbusha mwenza wako kuwa anakuvutia. Kumjulisha kuwa ulivo vaa umependeza sana’ kutamfanya ajisikie vizuri na kukumbusha kwanini ulimchagua yeye. Samahani Kila mtu hukosea wakati fulani. ...

Fahamu kwa nini mji wa Jerusalem ni mtakatifu?

Image
  CHANZO CHA PICHA, AFP Maelezo ya picha, Maeneo matakatifu ya kidini Jerusalem Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na Wapalestina. Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na Jerusalem Magharibi. Jerusalem ya Magharibi hutazamwa na Israel kama mji wake mkuu nayo Jerusalem Mashariki hutazamwa kuwa mji mkuu wa taifa la Wapalestina (litakapoundwa), ingawa eneo hilo bado kwa kiwango kikubwa limetawaliwa na Israel tangu vita vya 1967. Tangu wakati wa vita hivyo, Israel imejengwa nyumba za walowezi wa Kiyahudi takriban 200,000 ambao huishi Jerusalem Mashariki, hatua iliyoshutumiwa na jamii ya kimataifa. Eneo hilo huishi Wapalestina takriban 370,000. Israel ilitangaza 1980 Jerusalem yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi duniani hazikubali azimio hilo. Hivyo basi, balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Jerusalem, katika mji wa Tel Aviv. Mzozo huo umefufuliwa tena kutokana na hatua ya Rai...